Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wagner wanasonga kwa Kasi sana

Wagner are developing a rapid encirclement of Bakhmut. The speed of the offensive has reached one full settlement a day, even faster. Yesterday Berkhovka was liberated - today Yagodnoe.

On northern front of Bakhmut arc are Orekhovo-Vasilevka & Bogdanovka, fairly large villages,
Wameishiwa silaha hao Wagner. Wanakufa Kama kumbikumbi.Jeshi la vijana wakakamavu wa Rais Zelensk wanazidi kumuadabisha fashist . Na kuendelea kumpigisha danadana fashist na kumpa kilema Cha maisha.


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Russia anapendekeza Lend Lease kutoka China

Marekani imesema itamuwekea vikwazo vikali sana ikiwa atampa Urusi silaha.

China kwa upande mwingine atataka apewe ardhi yake iliyotwaliwa na Russia

Russia hupoteza vifaru 60 kwa wiki, wakati ana uwezo wa kutengeneza vifaru 60 kwa mwezi
Kama sikosei kwa Sasa UChina haidai ardhi yoyote kutoka Russia baada ya makubaliano yaliyoipa Uchina eneo flani huko Siberia miaka kadhaa iliyopita

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wameishiwa silaha hao Wagner. Wanakufa Kama kumbikumbi.Jeshi la vijana wakakamavu wa Rais Zelensk wanazidi kumuadabisha fashist . Na kuendelea kumpigisha danadana fashist na kumpa kilema Cha maisha.


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ndugu..unaongea ngonjera tu...kama upo kwenye kijiwe cha kahawa au bao....

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Warusi kwenye mambo ya maslai yao uwa awataki utani kabisa.

Aliyewahi kuwa Naibu waziri mkuu wa Urusi Boris nemtsov akiwa kwenye interview alisema" Putin kaitumbukiza Urusi katika mzozo kwa "ukichaa wa uvamizi na sera hatari za vita dhidi ya Ukraine"

Baada ya kumaliza inteview yake akuweza kuipata asubui.alipigwa risasi katika daraja la moscow View attachment 2530415
Boris aliuawa mwaka 2012 mgogoro wa Ukraine 2022.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Serikali za US na German zimemwambia Zelensky kwamba hadi kufikia majira ya Autumn awe ameonyesha progress ya Ukraine kushinda hii SMO.

Kinyume na hapo, aanze Negotiations na Russia.

Yaani lugha nyingine ni kwamba ili swala linatakiwa kuisha mwaka huu 2023.
Screenshot_20230227-151827_Telegram.jpg
 
[emoji778]️Peskov: It is impossible to return Crimea to Ukraine

[emoji617] In response to the comments of the Ukrainian authorities, the Kremlin spokesman said that the Crimean Peninsula is an inseparable part of the Russian territory.
 
Anzisha uzi wa kúwaunga mkono wavamizi uone käma sijakuombea Laana
We jamaa unajikuta msooomi wa dini! Sasa Hapo laana ya Nini? Sheekh haupo tayari kusikia mawazo ya walio kinyume nawe? Ndo dini inasema hivyo?
Hakuna kipindi mtume aliamua mateka wa kivita wasilimu na si kuuawa kwa uasi walioufanya dhidi ya waislam?
Munkari wako upo juu kiasi kwamba ungekua karibu na yeyote usingeacha kutupa mkuki !
Nb.
Pole Sana mkuu kwa ukosefu was uvumilivu

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa unajikuta msooomi wa dini! Sasa Hapo laana ya Nini? Sheekh haupo tayari kusikia mawazo ya walio kinyume nawe? Ndo dini inasema hivyo?
Hakuna kipindi mtume aliamua mateka wa kivita wasilimu na si kuuawa kwa uasi walioufanya dhidi ya waislam?
Munkari wako upo juu kiasi kwamba ungekua karibu na yeyote usingeacha kutupa mkuki !
Nb.
Pole Sana mkuu kwa ukosefu was uvumilivu

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Nadhan huyo sio muislam
 
Donbass Devushka:
⚡Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation (27 February 2023)

Part I (see Part II)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

◽In Kupyansk direction, the 'Zapad' Group of Forces inflicted fire on enemy manpower and hardware in the areas of Novosyolovskoye (Lugansk People's Republic), Dvurechnaya, Gryanikovka, Masyutovka, Olshana, Liman Pervy, and Sinkovka (Kharkov region).

💥More than 70 Ukrainian servicemen, three armoured fighting vehicles, and two motor vehicles have been eliminated in this diretion during the day.

◽In Krasny Liman direction, the 'Tsentr' Group of Forces, Operational-Tactical Aviation, artillery fire and heavy flamethrower systems hit AFU units close to Yampolovka and Torskoye (Donetsk People's Republic), Chervonopopovka and Chyrvonova Dibrova (Lugansk People's Republic).

💥The enemy's losses for the day have amounted to around 140 Ukrainian troops killed and wounded, three armoured fighting vehicles, three motor vehicles, a Gvozdika self-propelled howitzer, and a D-20 howitzer.

◽In Donetsk direction, as a result of the offensive by the 'Yug' Group of Forces, supported by air strikes, artillery fire and heavy flamethrower systems, over 250 Ukrainian servicemen, two tanks, four armoured fighting vehicles, five motor vehicles, and a D-20 howitzer have been destroyed in the past 24 hours.

💥An ammunition depot of the 72nd Mechanised Brigade of the Ukrainian Armed Forces has been hit close to Artyomovsk (Donetsk People's Republic).

💥A US-made AN/TPQ-37 counterbattery radar station was destroyed near Novomarkovo (Donetsk People's Republic).

◽In South Donetsk and Zaporozhye directions, the 'Vostok' Group of Forces inflicted a complex fire damage on AFU units close to Ugledar, Nikolskoye, Prechistovka (Donetsk People's Republic) and Zeleny Gai (Zaporozhye region).

💥The enemy's losses in these directions during the day amounted to 95 Ukrainian servicemen, one tank, three armoured fighting vehicles, a motor vehicle, three pickups, and a D-20 howitzer.

💥An ammunition depot was annihilated close to Chernovoye (Zaporozhye region).

◽In Kherson direction, up to 60 Ukrainian servicemen, four motor vehicles, and two D-30 howitzers have been neutralised destroyed by fire.

💥Moreover, an ammunition depot of the 63rd Mechanised Brigade of the Ukrainian Armed Forces was destroyed close to Snigiryovka (Nikolayev region).

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en

⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation
(27 February 2023)

Part II (see Part I)

💥Operational-Tactical and Army aviation, Missile Troops and Artillery of the Armed Forces of the Russian Federation have neutralised 98 AFU artillery units at their firing positions, enemy manpower and hardware in 173 areas during the day.

💥The AFU's electronic intelligence centre close to Brovary (Kiev region) has been hit.

◽The 'West' SOF Centre was hit near Khmelnitsky.

◽Moreover, a Ukrainian Buk-M1self-propelled surface-to-air missile launcher was destroyed close to Andreevka and a 36D6 detection radar was obliterated near Dobropolye (Donetsk People's Republic).

💥Four HIMARS MLRS shells have been shot down by air defence forces during the day.

💥In addition, five Ukrainian unmanned aerial vehicles were destroyed in the areas of Kremennaya and Stelmakhovka (Lugansk People's Republic), Kremenets, Novoandreevka (Donetsk People's Republic) and Krynki (Kherson region).

📊In total, 390 airplanes and 211 helicopters, 3,248 unmanned aerial vehicles, 406 air defence missile systems, 8,058 tanks and other armoured fighting vehicles, 1,045 combat vehicles equipped with MLRS, 4,228 field artillery cannons and mortars, as well as 8,574 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]"Russian army controls roads to Artyomovsk, supplies to Ukrainian forces stopped — expert - Military & Defense - TASS" Russian army controls roads to Artyomovsk, supplies to Ukrainian forces stopped — expert
 
Super pawer anazidi kutapatapa kama mfa maji [emoji2][emoji16][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji116][emoji116][emoji116]



[emoji298][emoji298] russia is proposing to help the Iranians on their missile program in exchange for military aid in their ongoing invasion of Ukraine, CIA Director William Burns has said.[emoji298][emoji1255]
Kasema William wa CIA sio PUT IN wa URUSI,
 
❗️West Could Force Kiev To Negotiating Table By Autumn This Year — Bild

The German outlet reports that Kiev may be forced to the negotiating table in the fall if it cannot conduct an effective counter-offensive.

The publication cites sources that say that Zelensky is already being given ultimatums regarding the conflict behind the scenes.

Subscribe to RT
 
❗️West Could Force Kiev To Negotiating Table By Autumn This Year — Bild

The German outlet reports that Kiev may be forced to the negotiating table in the fall if it cannot conduct an effective counter-offensive.

The publication cites sources that say that Zelensky is already being given ultimatums regarding the conflict behind the scenes.

Subscribe to RT

Wanamuonea tu Zelensky.
Wanatarajia atafanya offensive gani ya maana?
 
Na yeye kampiga mkwara marekani kamwambia wasipomsaidia akishindwa Vita basi marekani ijiandae kuwa under dog wa urusi na China 😂😂😂😂😂😂😂

Hizo demands za wests sio realistic kwa Ukraine.

Kwenye war planning, lazima uwe na optimal resouces za kuweza kupigana vita.
Sasa wao wanampa silaha kama drip, halafu unatarajia anaishinda vipi hiyo vita.
Wanampelekea sijui vifaru 14, lakati vita ina fronts kama 20+ hivi, sasa unatarajia hivyo vifaru vitafanya nini.
 
Pia, Ukraine wapo kwenye defensive formation.

Ukishaliweka Jeshi muda wote lipo kwenye defensive positions ni ngumu sana kushinda vita unayopigana. Na ndio maana tunaona hapa kila siku Ukraine wanakuwa encircled, wanafurumushwa huku ama kule, wanakimbia huku au kule. Hii yote ni kwa sababu ya formations.

Kwa mfano, hiyo Bakhmut ikianguka, itabadili formation yote ya vita.
 
[emoji187] Russia’s full-scale invasion of Ukraine caused the most massive violations of human rights. This is an “alarm bell”, UN Secretary-General Antonio Guterres said, The Guardian reported.

[emoji328]: AP
 
Back
Top Bottom