Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ona ulicho andika![emoji15][emoji12]
Halafu unatafuta mbeleko!
Aya hii hapa!
[emoji116][emoji116]
Matthew 19:12
[12]For there are some eunuchs, which were so born from their mother's womb: and there are some eunuchs, which were made eunuchs of men: and there be eunuchs, which have made themselves eunuchs for the kingdom of heaven's sake. He that is able to receive it, let him receive it.
Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee. Yesu Awabariki Watoto Wadogo

Sasa Tuwekee Ushahidi TOWASHI NI SHOGA![emoji101]View attachment 2531414
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Utanyooka tu

Here Jesus refers to "𝐄𝐔𝐍𝐔𝐂𝐇𝐒 who have been so from birth." This terminology ("born eunuchs") was used in the 𝐀𝐍𝐂𝐈𝐄𝐍𝐓 world to refer to homosexual men. Jesus indicates that being a "born eunuch" is a gift from God.

𝐌𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐧𝐞𝐧𝐨 𝐞𝐮𝐧𝐮𝐜𝐡𝐬 ;- 𝐧𝐢 𝐧𝐞𝐧𝐨 𝐥𝐚 𝐤𝐚𝐥𝐞 𝐥𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐞𝐧𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐣𝐢𝐧𝐬𝐢𝐚 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐣𝐞 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐭𝐨𝐰𝐚𝐬𝐡𝐢?

𝐓𝐞𝐧𝐚 𝐮𝐬𝐢𝐣𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐤𝐮𝐧𝐢 𝐪𝐨𝐮𝐭𝐞 𝐧𝐢𝐭𝐚𝐤𝐮𝐝𝐡𝐚𝐥𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐚𝐫𝐮𝐝𝐢𝐚 𝐭𝐞𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐮 𝐧𝐢 𝐮𝐳𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐨 𝐡𝐮𝐬𝐮 𝐫𝐮𝐬𝐬𝐢𝐚 𝐝𝐡𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐮𝐤𝐫𝐚𝐢𝐧

𝐔𝐬𝐢𝐢𝐧𝐠𝐢𝐳𝐞 𝐦𝐚𝐬𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐲𝐚 𝐝𝐢𝐧𝐢 𝐡𝐮𝐦𝐮 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐦𝐭𝐮 𝐧𝐚 𝐃𝐢𝐧𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐡𝐮𝐦𝐮 𝐬𝐢𝐨 𝐰𝐨𝐭𝐞 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐨 𝐮𝐩𝐚𝐧𝐝𝐞 𝐰𝐚 𝐑𝐮𝐬𝐬𝐢𝐚 𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐢𝐬𝐥𝐚𝐦. 𝐮𝐬𝐢𝐰𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐲𝐮𝐥𝐞 𝐜𝐡𝐢𝐳𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐞𝐧𝐲𝐚

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Base ya super pawer wa mchongo huko Belarus imechakazwa[emoji23][emoji23]

[emoji298][emoji298]This morning explosions have occurred near the Machulishchy air base in #Belarus. As a result, Russia’s A-50 airborne early warning and control aircraft might have been hit.[emoji298][emoji298]
Yes this has happened,but it is very insignificant,after all damages are minor.Hii si ajabu in a war time situation Kipanya.Tunacho angalia ni who is winning the war overall.As the situation stands today,it is obvious Russia is winning the war,despite the huge resistance from the US,its' allies and NATO.
 
Sela Son TUJITEGEMEE Bwana Utam HIMARS mgen MK254 triga passioner255 ITR
T14 Armata
kuna ujumbe wenu hapa....
Eti Saa 8 mchana wawe wamefika Kyiv

Naona battle plan ya Ukraine ilikuwa sawa, ikitokea uvamizi vunjeni madaraja, na hii ndio iliwaokoa.

Pia retreat ya Ukraine kurudi Makao Makuu ndio sababu kubwa ya maeneo mengi kuchukuliwa, hawakuwa na jinsi maana Russia alikua anakuja full force, Ukraine hawakuwa na silaha, wakarudi regroup, wengine wakauliwa.

Baada ya regroup ndo sasa wanasaka kurudisha maeneo yao.

Mariupol tayari walikuwa wamezungukwa hapakuwa na jinsi maana chakula, medicine, ammo ziliwaishia ikabidi wajitokeze tu. Wangekuwa na chakula, dawa, ammo ya mwaka 1 hadi leo wangeendelea pigana.

Naamini Ukraine kwa sasa ana uwezo wa kurudisha maeneo mengi.
 
UK waingie hapo Ukraine. Russia si ana outdated tactics!? Basi UK wajipeleke kulinda wenzao wanaozungukwa hapo Bakhmut.

Unadai Russia dhaifu ukiwa umejifungia ndani hapo London hutaki kutoka.
UK ni bora zaidi ya Ukraine, ingekuwa ndio ipo vitani Warusi wangepata wakati mgumu sana kama serikali ya Argentina mwaka 1986.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Utanyooka tu

Here Jesus refers to "𝐄𝐔𝐍𝐔𝐂𝐇𝐒 who have been so from birth." This terminology ("born eunuchs") was used in the 𝐀𝐍𝐂𝐈𝐄𝐍𝐓 world to refer to homosexual men. Jesus indicates that being a "born eunuch" is a gift from God.

𝐌𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐧𝐞𝐧𝐨 𝐞𝐮𝐧𝐮𝐜𝐡𝐬 ;- 𝐧𝐢 𝐧𝐞𝐧𝐨 𝐥𝐚 𝐤𝐚𝐥𝐞 𝐥𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐞𝐧𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐣𝐢𝐧𝐬𝐢𝐚 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐣𝐞 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐭𝐨𝐰𝐚𝐬𝐡𝐢?

𝐓𝐞𝐧𝐚 𝐮𝐬𝐢𝐣𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐤𝐮𝐧𝐢 𝐪𝐨𝐮𝐭𝐞 𝐧𝐢𝐭𝐚𝐤𝐮𝐝𝐡𝐚𝐥𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐚𝐫𝐮𝐝𝐢𝐚 𝐭𝐞𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐮 𝐧𝐢 𝐮𝐳𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐨 𝐡𝐮𝐬𝐮 𝐫𝐮𝐬𝐬𝐢𝐚 𝐝𝐡𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐮𝐤𝐫𝐚𝐢𝐧

𝐔𝐬𝐢𝐢𝐧𝐠𝐢𝐳𝐞 𝐦𝐚𝐬𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐲𝐚 𝐝𝐢𝐧𝐢 𝐡𝐮𝐦𝐮 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐦𝐭𝐮 𝐧𝐚 𝐃𝐢𝐧𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐡𝐮𝐦𝐮 𝐬𝐢𝐨 𝐰𝐨𝐭𝐞 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐨 𝐮𝐩𝐚𝐧𝐝𝐞 𝐰𝐚 𝐑𝐮𝐬𝐬𝐢𝐚 𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐢𝐬𝐥𝐚𝐦. 𝐮𝐬𝐢𝐰𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐲𝐮𝐥𝐞 𝐜𝐡𝐢𝐳𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐞𝐧𝐲𝐚

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
tuwekee ushahidi wa aya toka Biblia Takatifu ima quran karim kwamba TOWASHI NDIE SHOGA!
 
Eti Saa 8 mchana wawe wamefika Kyiv

Naona battle plan ya Ukraine ilikuwa sawa, ikitokea uvamizi vunjeni madaraja, na hii ndio iliwaokoa.

Pia retreat ya Ukraine kurudi Makao Makuu ndio sababu kubwa ya maeneo mengi kuchukuliwa, hawakuwa na jinsi maana Russia alikua anakuja full force, Ukraine hawakuwa na silaha, wakarudi regroup, wengine wakauliwa.

Baada ya regroup ndo sasa wanasaka kurudisha maeneo yao.

Mariupol tayari walikuwa wamezungukwa hapakuwa na jinsi maana chakula, medicine, ammo ziliwaishia ikabidi wajitokeze tu. Wangekuwa na chakula, dawa, ammo ya mwaka 1 hadi leo wangeendelea pigana.

Naamini Ukraine kwa sasa ana uwezo wa kurudisha maeneo mengi.
Unaandika ujinga kabisa,unaposema wallishiwa,ammo,dawa and all those kind of shits to mention,hivi unajua Ukraine ilianza kujianda na vita baada ya Minsk agreement? Ndio maana Engel Merkel alitamka wazi kuwa Minsk agreement was signed to 'buy time' for war? Tafuta Minsk agreement ilisainiwa lini ndio uje kuleta andiko la kitoto humu.
 
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
Utanyooka tu

Here Jesus refers to "𝐄𝐔𝐍𝐔𝐂𝐇𝐒 who have been so from birth." This terminology ("born eunuchs") was used in the 𝐀𝐍𝐂𝐈𝐄𝐍𝐓 world to refer to homosexual men. Jesus indicates that being a "born eunuch" is a gift from God.

𝐌𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐧𝐞𝐧𝐨 𝐞𝐮𝐧𝐮𝐜𝐡𝐬 ;- 𝐧𝐢 𝐧𝐞𝐧𝐨 𝐥𝐚 𝐤𝐚𝐥𝐞 𝐥𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐞𝐧𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐣𝐢𝐧𝐬𝐢𝐚 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐣𝐞 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐭𝐨𝐰𝐚𝐬𝐡𝐢?

𝐓𝐞𝐧𝐚 𝐮𝐬𝐢𝐣𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐤𝐮𝐧𝐢 𝐪𝐨𝐮𝐭𝐞 𝐧𝐢𝐭𝐚𝐤𝐮𝐝𝐡𝐚𝐥𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐚𝐫𝐮𝐝𝐢𝐚 𝐭𝐞𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐮 𝐧𝐢 𝐮𝐳𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐨 𝐡𝐮𝐬𝐮 𝐫𝐮𝐬𝐬𝐢𝐚 𝐝𝐡𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐮𝐤𝐫𝐚𝐢𝐧

𝐔𝐬𝐢𝐢𝐧𝐠𝐢𝐳𝐞 𝐦𝐚𝐬𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐲𝐚 𝐝𝐢𝐧𝐢 𝐡𝐮𝐦𝐮 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐦𝐭𝐮 𝐧𝐚 𝐃𝐢𝐧𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐡𝐮𝐦𝐮 𝐬𝐢𝐨 𝐰𝐨𝐭𝐞 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐨 𝐮𝐩𝐚𝐧𝐝𝐞 𝐰𝐚 𝐑𝐮𝐬𝐬𝐢𝐚 𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐢𝐬𝐥𝐚𝐦. 𝐮𝐬𝐢𝐰𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐲𝐮𝐥𝐞 𝐜𝐡𝐢𝐳𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐞𝐧𝐲𝐚

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu,lazima nikujibu katika hili,sitanyamaza,huu ni upotoshaji.A Eunuck sio a homosexual man or gay,a Eunuck maana yake ni Towashi kwa Kiswahili,au kwa lugha tuliyoizoea sana siku hizi,"Hanithi."

Definition ya Towashi ni hii hapa👇.

Towashi (kutoka neno la Kiajemi) ni mwanamume asiyeweza tendo la ndoa, kwa mfano yule aliyehasiwa.

Towashi mkuu wa ikulu ya Sultani wa Uturuki aliyekabidhiwa wake zake.
Katika historia ilitokea mara nyingi na kwa sababu mbalimbali kwamba watu wa namna hiyo walihitajiwa, kwa mfano ili kutunza wake wa mfalme, kufanya kazi kama mtumwa bila kuzaa watoto, kubaki na sauti ndogo ya kabla ya ubalehe ili kuimba vizuri, n.k.

Siku hizi watu wanakubaliana katika kulaani upasuaji kama huo kwa kuwa ni kinyume cha hadhi ya binadamu ambaye ni haki yake ya msingi kuwa na mwili mtimilifu na kutofanywa chombo cha wengine.

Katika Injili (Math 19:12), Yesu alifananisha watu ambao kama yeye kwa ajili ya ufalme wa Mungu wanajinyima kwa hiari ndoa na uzazi na matowashi waliozaliwa na ubovu katika viungo vya uzazi na wale waliohasiwa. Sababu ni kwamba uamuzi wao wa moja kwa moja unawanyima tunu hizo, hivyo ni sadaka ambayo wanamtolea Mungu ili kueneza zaidi utawala wake.

Ingawa katika Agano la Kale matowashi hawakuruhusiwa kujiunga na dini ya Israeli, Isaya wa Tatu alitabiri kwamba siku za mbele hali yao itakuwa tofauti.

Hivyo katika Matendo ya Mitume (sura ya 8) inasimuliwa jinsi Towashi Mwethiopia alivyobatizwa na Filipo mwinjilisti.

Nukuu kutoka katika Mathayo 19:12

"Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee." Mathayo 19:12 SUV

​

Hapana mkuu,lazima nikujibu katika hili,sitanyamaza,huu ni upotoshaji.A Eunuck sio a homosexual man or gay,a Eunuck maana yake ni Towashi kwa Kiswahili.

Definition ya Towashi Ni hii hapa👇.

Towashi (kutoka neno la Kiajemi) ni mwanamume asiyeweza tendo la ndoa, kwa mfano yule aliyehasiwa.

Towashi mkuu wa ikulu ya Sultani wa Uturuki aliyekabidhiwa wake zake.
Katika historia ilitokea mara nyingi na kwa sababu mbalimbali kwamba watu wa namna hiyo walihitajiwa, kwa mfano ili kutunza wake wa mfalme, kufanya kazi kama mtumwa bila kuzaa watoto, kubaki na sauti ndogo ya kabla ya ubalehe ili kuimba vizuri, n.k.

Siku hizi watu wanakubaliana katika kulaani upasuaji kama huo kwa kuwa ni kinyume cha hadhi ya binadamu ambaye ni haki yake ya msingi kuwa na mwili mtimilifu na kutofanywa chombo cha wengine.

Katika Injili (Math 19:12), Yesu alifananisha watu ambao kama yeye kwa ajili ya ufalme wa Mungu wanajinyima kwa hiari ndoa na uzazi na matowashi waliozaliwa na ubovu katika viungo vya uzazi na wale waliohasiwa. Sababu ni kwamba uamuzi wao wa moja kwa moja unawanyima tunu hizo, hivyo ni sadaka ambayo wanamtolea Mungu ili kueneza zaidi utawala wake.

Ingawa katika Agano la Kale matowashi hawakuruhusiwa kujiunga na dini ya Israeli, Isaya wa Tatu alitabiri kwamba siku za mbele hali yao itakuwa tofauti.

Hivyo katika Matendo ya Mitume (sura ya 8) inasimuliwa jinsi Towashi Mwethiopia alivyobatizwa na Filipo mwinjilisti.

Nukuu kutoka katika Mathayo 19:12

"Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee." Mathayo 19:12 SUV

​

Yaani huyu jamaa nimemshangaa,mtu anahasiwa ndio awe shoga?
 
Bugucha huyu ana nia ovu ya kuhalalisha ushoga kwa kutumia Maandiko Matakatifu.Huu ni uovu wa kupindukia and is purely demonic.Infact inawezekana yeye mwenyewe ni shoga.

Attempt hii siishangai kwa kuwa Shetani ametumia mbinu hii hii mara nyingi kuwaingizia mafundisho potofu watu wa Mungu wasio makini katika Imani zao.
 
Zelensky Threatens Unsupportive Americans

During a press conference on Russia’s military operation anniversary, Ukrainian President Vladimir Zelensky warned Americans to keep supporting Kiev or risk geopolitical irrelevance. Should it stop funding the war effort, the US will "lose the leadership position that they are enjoying in the world," the Ukrainian leader declared.

"If they do not change their opinion… they will lose NATO, they will lose the clout of the United States, they will lose the leadership position they are enjoying in the world," Zelensky declared, following a speech in which he said 2023 the "Year of Invincibility" and vowed to unite the world against Russia.

The warning responded to a reporter asking what Zelensky would tell the "growing number of Americans" who believe their country is giving too much money and support to Ukraine.

Subscribe to RT

Sikutegemea kuwa ipo siku zelensky atampiga mkwara marekani 😂😂😂😂😂😂😂
Anamchamba USA 🇺🇸 kuwa asiache kumpa silaha
 
Niwashukuru wote mlio jibu lakini kama ndugu wamoja mngeanza kumushauri kwanza ndugu yenu aache kutumia aya za quran mapema katika uzi huu lakini naona mlimuacha tu ila baada ya kuanza kurudisha mapigo naona mme inuka wengi

Sikua na nia mbaya kama nimewakwaza yaishe tu hayo
Ila jamaa msipo msihi kuacha naoana mzigo utashushwa tu.

Asanteni.

mgeni
Nadhani umeona athari inayo tokea kua kubwa jihadhari na matumizi ya aya za quran karim humu utauchafua uzi tu kivyovyote

Uwezo wa kuwajibu wenzio ninao lakini sio mahala pake hapa.

pow moderetor
Na wengine simamieni hili.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]White House national security adviser Jake Sullivan said providing F-16 fighter jets to Ukraine in its ongoing war with Russia is “a question for a later time.” CNN reported.

[emoji328]: Reuters
 
Back
Top Bottom