Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimeona nimu ignore kwanza maana huenda ikawa salama wengine sisi ni wepesi wa kurudisha majibu na wakati humu tupo tukiwa na amani kabisa.
kila mtu anafurahia maisha akiwa na dini yake na wengine humu hawana dini lakin hakuna anaemdharau mwenzie lakini yeye kuna kitu amekitafuta na amekipata sijui sisi binadam tuko vipi ila anyway acha maisha yasonge.

Bravo Russia [emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tuko pamoja sana mkuu,,, tatizo pro Ukraine+NATO/USA wanapenda kuunasibisha huu mgogoro na mambo ya kidini, ukichunguza humu tangu mwanzo,, na hasa sie pro Russian wengi tunanasibishwa na uislam japo wengi tu sio waislam,, na siku zote unapokuwa against USA au ushoga basi lazima unasibishwe na uislam we chunguza tu humu,, wengi wanaouchukia uislam na waislam wapo upande upi,,,
 
Serikali za US na German zimemwambia Zelensky kwamba hadi kufikia majira ya Autumn awe ameonyesha progress ya Ukraine kushinda hii SMO.

Kinyume na hapo, aanze Negotiations na Russia.

Yaani lugha nyingine ni kwamba ili swala linatakiwa kuisha mwaka huu 2023.View attachment 2531665
Chanzo chako cha habari sio cha kuaminika..... telegram news
 
Tuko pamoja sana mkuu,,, tatizo pro Ukraine+NATO/USA wanapenda kuunasibisha huu mgogoro na mambo ya kidini, ukichunguza humu tangu mwanzo,, na hasa sie pro Russian wengi tunanasibishwa na uislam japo wengi tu sio waislam,, na siku zote unapokuwa against USA au ushoga basi lazima unasibishwe na uislam we chunguza tu humu,, wengi wanaouchukia uislam na waislam wapo upande upi,,,
[emoji123][emoji123][emoji123]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji187] Russia’s full-scale invasion of Ukraine caused the most massive violations of human rights. This is an “alarm bell”, UN Secretary-General Antonio Guterres said, The Guardian reported.

[emoji328]: AP
This is the Evil America you are defending Kipanya!An America killing it's own people,an America poisoning it's own citizens.Awaken from your slumber Kipanya,awaken from your Zombie state.See(below) at what America is doing to it's people at Ohio,Palestine.Simply horrific,simply disgusting.


print-iconWe're Dying Slowly": East Palestine Residents Report Bizarre Health Issues After Toxic Train Derailment

MONDAY, FEB 27, 2023

Residents of East Palestine, Ohio have been reporting bizarre symptoms following the Feb. 3 Norfolk Southern train derailment and subsequent toxic explosion, the NY Post reports.

"Doctors say I definitely have the chemicals in me but there’s no one in town who can run the toxicological tests to find out which ones they are," said 40-year-old Wade Lovett, whose high-pitched voice now sounds as if he's been inhaling helium.

"My voice sounds like Mickey Mouse. My normal voice is low. It’s hard to breathe, especially at night. My chest hurts so much at night I feel like I’m drowning. I cough up phlegm a lot. I lost my job because the doctor won’t release me to go to work."
Leading the charge to fight for the community is 46-year-old Jami Cozza, a lifelong East Palestinian who counts 47 close relatives here. Many of them are facing health issues from the chemical fire as well as the psychic toll of their town becoming, in the words of a scientist visiting the area Thursday, the new “Love Canal” — a reference to the Niagara Falls, NY, neighborhood that became a hotbed issue in 1978 because people were getting sick from living above a contaminated waste dump. -NY Post
Many residents are also complaining of mystery rashes and sore throats after returning home following the lifting of evacuation orders on February 8.
"Yesterday was the first day in probably three or four days that I could smell anything. I lost my smell and my sense of taste. I had an eye infection in both eyes. I was having respiratory issues like I was just out of breath. Other members of my family have had eye infections and strep throat," said Shelby Walker, who lives a few yards from the epicenter from the crash and explosion. "The cleanup crew drives past us at night and won’t even look at us. It’s like we don’t exist. No one has reached out to us or told us anything."
According to an independent analysis of EPA data by Texas A&M University released on Friday, nine air pollutants were found around East Palestine at levels that could raise long-term health concerns.
"My fiancé was so sick that I almost took him to the hospital," Jami Cozza told the Post. "Not only am I fighting for my family’s life, but I feel like I’m fighting for the whole town’s life. When I’m walking around hearing these stories, they’re not from people. They’re from my family. They’re from my friends that I’ve have grown up with," she said. "People are desperate right now. We’re dying slowly. They’re poisoning us slowly."


According to a class-action lawsuit filed on behalf of hundreds of residents, Norfolk Southern 'went rogue' when it made the decision three days after the derailment to blow up five train cars containing deadly vinyl chloride. Around 1.1 million pounds of the toxic compound were spilled and later burned, the suit claims.
Norfolk Southern, meanwhile, says they consulted with experts and Gov. Mike DeWine (R) before the controlled burn, which they say they did to avoid a potential 'catastrophic failure of the cars.'
"What they could have done and should have done is remove all the vinyl chloride from the train cars and put them in secure containment vessels," said Rene Rocha of the Morgan & Morgan law firm, one of the lead attorneys on the class-action case. "They then should have excavated tons of soil and monitored and remediated the soil and groundwater."
Cozza’s hearing included a panel with scientists from the University of Pittsburgh, an environmental lawyer, and a veteran Ohio hazardous materials expert. None of them painted a rosy picture of the town’s future, despite Norfolk Southern’s insistence that the area is safe and will be cleaned up and tested more.
The experts listened as desperate residents asked about the safety of breastfeeding their babies and getting water from their wells. Planting season is coming soon in an area where many farm. One woman cried when she spoke about her worry over her pregnant goats. -NY Post
According to Harvard-trained toxicologist, Stephen Lester, the hot zone at East Palestine is one of the 'most concerning' he's ever seen - and warned that the chemical dioxin that was released during the controlled burn will be embedded in the soil and water.
"Until the government takes this seriously there are going to be real problems," said Lester. "It’s criminal that the EPA didn’t come forward with information about dioxin and start testing for it."
 
Bugucha huyu ana nia ovu ya kuhalalisha ushoga kwa kutumia Maandiko Matakatifu.Huu ni uovu wa kupindukia and is purely demonic.Infact inawezekana yeye mwenyewe ni shoga.

Attempt hii siishangai kwa kuwa Shetani ametumia mbinu hii hii mara nyingi kuwaingizia mafundisho potofu watu wa Mungu wasio makini katika Imani zao.
Nailed.
Asifikiri anajua. Ajue hajui.
Anaweza asiwe shoga lkn with demonic controlled , na anaweza kuwa hajui kuwa akili yake inatumiwa na nguvu nje yake
 
𝑁𝑎𝑗𝑢𝑎 𝑖𝑚𝑒𝑖𝑛𝑔𝑖𝑎 𝑣𝑢𝑚𝑖𝑙𝑖𝑎 𝑡𝑢

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ulicho andika hata kwenye kanga ipo!
Jibu Hapa!
[emoji116][emoji116]
tuwekee ushahidi wa ayat toka Biblia Takatifu ima quran karim kwamba TOWASHI NDIE SHOGA!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Utanyooka tu

Here Jesus refers to "𝐄𝐔𝐍𝐔𝐂𝐇𝐒 who have been so from birth." This terminology ("born eunuchs") was used in the 𝐀𝐍𝐂𝐈𝐄𝐍𝐓 world to refer to homosexual men. Jesus indicates that being a "born eunuch" is a gift from God.


𝐌𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐧𝐞𝐧𝐨 𝐞𝐮𝐧𝐮𝐜𝐡𝐬 ;- 𝐧𝐢 𝐧𝐞𝐧𝐨 𝐥𝐚 𝐤𝐚𝐥𝐞 𝐥𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐞𝐧𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐣𝐢𝐧𝐬𝐢𝐚 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐣𝐞 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐭𝐨𝐰𝐚𝐬𝐡𝐢?

𝐓𝐞𝐧𝐚 𝐮𝐬𝐢𝐣𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐤𝐮𝐧𝐢 𝐪𝐨𝐮𝐭𝐞 𝐧𝐢𝐭𝐚𝐤𝐮𝐝𝐡𝐚𝐥𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐚𝐫𝐮𝐝𝐢𝐚 𝐭𝐞𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐮 𝐧𝐢 𝐮𝐳𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐨 𝐡𝐮𝐬𝐮 𝐫𝐮𝐬𝐬𝐢𝐚 𝐝𝐡𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐮𝐤𝐫𝐚𝐢𝐧

𝐔𝐬𝐢𝐢𝐧𝐠𝐢𝐳𝐞 𝐦𝐚𝐬𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐲𝐚 𝐝𝐢𝐧𝐢 𝐡𝐮𝐦𝐮 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐦𝐭𝐮 𝐧𝐚 𝐃𝐢𝐧𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐡𝐮𝐦𝐮 𝐬𝐢𝐨 𝐰𝐨𝐭𝐞 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐨 𝐮𝐩𝐚𝐧𝐝𝐞 𝐰𝐚 𝐑𝐮𝐬𝐬𝐢𝐚 𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐢𝐬𝐥𝐚𝐦. 𝐮𝐬𝐢𝐰𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐲𝐮𝐥𝐞 𝐜𝐡𝐢𝐳𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐞𝐧𝐲𝐚





Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu nimekuelewa umesimama upande wa Mungu Kuliko Kule waliko waovu.Ushindi wa Russia ni kwenye hii ni ushindi wa watu wa Mungu.
 
Tuko pamoja sana mkuu,,, tatizo pro Ukraine+NATO/USA wanapenda kuunasibisha huu mgogoro na mambo ya kidini, ukichunguza humu tangu mwanzo,, na hasa sie pro Russian wengi tunanasibishwa na uislam japo wengi tu sio waislam,, na siku zote unapokuwa against USA au ushoga basi lazima unasibishwe na uislam we chunguza tu humu,, wengi wanaouchukia uislam na waislam wapo upande upi,,,
Ni kweli Mimi naichukia mno USA na hasa kuhusu vitendo vyake viovu vya kuua watu wasio na hatia na uvamizi wa nchi m alimbali duniani...lakini Mimi siyo mwislamu na wala sijawahi hata siku moja kuwachukia waislamu..
 
[emoji123][emoji123][emoji123]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jipongezeni tu ilaha hizi post zenu ndizo zitakuwa shahidi!
[emoji116][emoji116]

وَنَضَعُ الْمَوَازِينَ الْقِسْطَ لِيَوْمِ الْقِيَامَةِ فَلَا تُظْلَمُ نَفْسٌ شَيْئًا ۖ وَإِن كَانَ مِثْقَالَ حَبَّةٍ مِّنْ خَرْدَلٍ أَتَيْنَا بِهَا ۗ وَكَفَىٰ بِنَا حَاسِبِينَ

[ AL - ANBIYAA - 47 ]
Nasi tutaweka mizani za uadilifu kwa Siku ya Kiyama. Basi nafsi haitadhulumiwa kitu chochote. Hata ikiwa ni uzito wa chembe ya khardali tutaileta. Nasi tunatosha kuwa washika hisabu.
 
Jipongezeni tu ilaha hizi post zenu ndizo zitakuwa shahidi!
[emoji116][emoji116]

وَنَضَعُ الْمَوَازِينَ الْقِسْطَ لِيَوْمِ الْقِيَامَةِ فَلَا تُظْلَمُ نَفْسٌ شَيْئًا ۖ وَإِن كَانَ مِثْقَالَ حَبَّةٍ مِّنْ خَرْدَلٍ أَتَيْنَا بِهَا ۗ وَكَفَىٰ بِنَا حَاسِبِينَ

[ AL - ANBIYAA - 47 ]
Nasi tutaweka mizani za uadilifu kwa Siku ya Kiyama. Basi nafsi haitadhulumiwa kitu chochote. Hata ikiwa ni uzito wa chembe ya khardali tutaileta. Nasi tunatosha kuwa washika hisabu.
Umelenga nini kuleta hio aya
 
Uislam aushabikii uovu ila unaruhusu mtu kutetea haki yake na haki ya mwenzie kam anaonewa. Nmeona umeleta aya za qur'an na kuzihusianisha na ushoga kitu ambacho usilam umekataza
Anachokifanya puti kuuwa Viumbe Ambavyo Mungu Amevipenda ni Wema??[emoji101][emoji101]
Weka ushahidi Allah katoa Adhabu gani kwa mashoga![emoji56][emoji101]
 
Mimi sina jehannam ya kuwapa mwenye nayo huyu hapa Atawapokea!
[emoji1427][emoji1427]
وَأَمَّا الَّذِينَ فَسَقُوا فَمَأْوَاهُمُ النَّارُ ۖ كُلَّمَا أَرَادُوا أَن يَخْرُجُوا مِنْهَا أُعِيدُوا فِيهَا وَقِيلَ لَهُمْ ذُوقُوا عَذَابَ النَّارِ الَّذِي كُنتُم بِهِ تُكَذِّبُونَ

[ ASSAJDAH - 20 ]
Na ama wale walio tenda uovu, basi makaazi yao ni Motoni. Kila wakitaka kutoka humo watarudishwa humo humo. Na wataambiwa: Onjeni adhabu ya Moto ambayo mliyo kuwa mkiikanusha.

Mimi nawakumbusha wenye kibri cha uzima, wanao shabikia uovu wa putin
[emoji116][emoji116]
Isaiah 5:20-21
[20]Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu!

[21]Ole wao walio wenye hekima katika macho yao wenyewe, na wenye busara katika fikira zao wenyewe!

Ezekiel 3:18-19
[18]Nimwambiapo mtu mbaya, Hakika utakufa; wewe usimpe maonyo, wala husemi na huyo mtu mbaya ili kumwonya, kusudi aache njia yake mbaya na kujiokoa roho yake; mtu yule mbaya atakufa katika uovu wake; lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.

Sababu ya Kuwalingania hii hapa!
[emoji1427][emoji1427]
[19]Lakini ukimwonya mtu mbaya, wala yeye hauachi ubaya wake, wala njia yake mbaya, atakufa katika uovu wake; bali wewe umejiokoa roho yako.

A M E N[emoji1374]
mgen na ki 🐀 ni mapacha wa kufanana wa ubongo,hapa ni URUSI na Ukraine sasa mambo ya dini ya nn
 
VIDEO

Mwanzo Nilijiuliza Kwanini Wagner wanatumia Ghalama Kuhifadh Miili ya Wanajeshi wa Ukrein Kisha Kupeleka Kwa Wahusika Wa Ukrein
Kumbe lengo kuu ni Kuhakikisha Serikali ya Ukrein Inawapa Familia ya Wanajeshi hao Haki zao yaani Wasizingishie kuwa Wame Miss nakutotoa Stahiki zao kwa Familia



"Here are the bodies of the AFU soldiers,who were destroyed during assault,being prepared to be given to the Ukraine side"

P.S. "Wagner" is sending the bodies to Ukraine so Ukraine can't deny that someone is missing and not paying the family of the "missing soldier" compensation...
 
Wameishiwa silaha hao Wagner. Wanakufa Kama kumbikumbi.Jeshi la vijana wakakamavu wa Rais Zelensk wanazidi kumuadabisha fashist . Na kuendelea kumpigisha danadana fashist na kumpa kilema Cha maisha.


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli ...Urusi anachapika mnoooo.... Kachapwa mpaka kafika Bakhmut anatambaaa...kachaaaa
 
Anachokifanya puti kuuwa Viumbe Ambavyo Mungu Amevipenda ni Wema??[emoji101][emoji101]
Weka ushahidi Allah katoa Adhabu gani kwa mashoga![emoji56][emoji101]
Kwa Kua nchi yao imesimama upande wa taifa linalosimamia uovu bas ni sawa kwa putin kupeleka moto mpka Washington View attachment 2531919View attachment 2531920
Screenshot_20230227-190629_Quran.jpg
 
Super powers wa mchongo kaanza kuvua nguo tayari kwa game anayoitegemea kutoka Kwa vijana wakakamavu wa rais zelensiky [emoji28][emoji23][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]



[emoji298][emoji298]Moscow-installed occupying authorities in Kherson Oblast's towns of Oleshky and Skadovsk prepare to "escape" to the Russian-occupied Crimea, fearing a Ukrainian counter-offensive, the General Staff reported on Feb. 27.

Local collaborators started to leave the region for the Crimean cities of Bakhchysarai, Simferopol, and Kerch on Feb. 21, according to the Ukrainian military.[emoji298][emoji298]
 
Back
Top Bottom