Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wale
Tulioaminishwa kwamba ni maswaiba wa fashisti Putin wanazidi kumpa kidogo[emoji298]

#[emoji298]Ukraine and the Kingdom of #SaudiArabia have agreed to deepen cooperation in the investment and energy sectors.[emoji298][emoji298]
 
Zeleboy anatapatapa. Uchina haipo tayari kuiona Urusi yenye nguvu ikianguka. Russia ikianguka atakaefuatia Ni yeye. Hili lipo wazi!
Hatasaidiwa chochote zaidi ya kuambiwa azingatie zaidi mazungumzo kuliko mapigano.. so kikubwa aendelee na msimamo nchi yake izidi kuitwa Russia

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ukizingatia china FM alikua Urusi juzi TU,kuweka mambo sawa.
 
[emoji123][emoji1255]
Screenshot_20230226-210757.jpg
 
Ila miaka yote umeshindwa kuilaani mauaji yanayotokea Kongo hapo ambao ni jirani zako.

Mauaji na vifo vinavyotokea Msumbiji ambako Tanzania tumepakana nao.

Vita kule Somalia

Vita ya Waethiopia

Vita vya Afrika ya Kati

Hilo Dua lako ni la kinafiki na wanafiki peponi hawaingii
Anzisha uzi wa kúwaunga mkono wavamizi uone käma sijakuombea Laana
 
[emoji298][emoji1255]Ukrainian President Volodymyr Zelensky has met with Saudi Arabian Foreign Affairs Minister Prince Faisal bin Farhan Al Saud in Kyiv.[emoji298]
 
Yeyote anae iunga mkono russia kuivamia Ukreine na kwenda kuuwa Watu na Viumbe Pasipo na hatia LAANATULAH!!!; KILA WANAPO TOKA NA KUINGIA MAKAZI YAO WALAANIWE!
SEMA AMIN [emoji120]
Hii haitafanya SMO isitishwe

Mtatulaani sana ila tutaendelea kusimama na SMO mpaka ikamilike

PUT IN endelea kuwaua hao MAGAIDI
 
Vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56]

[emoji298][emoji298]The U.S. Department of State once again emphasized that it did not recognize and will never recognize Russia's claimed annexation of #Crimea, and also welcomed the efforts of the Crimea Platform, which reminds the world of the ongoing occupation of the peninsula.[emoji298][emoji298]
 
Huku blomberg wanatwambia hv kule ndugu T14 Armata anatwambia vile
Haya acha tuone

[emoji631] [emoji921][emoji635] Bloomberg writes that on average Russia sells oil for $ 74 per barrel, despite the price ceilings. China buys at a price of as much as $ 82. And half of this same oil from Russia goes by shadow schemes and does not fall under the ceiling at all. The publication makes an unexpected conclusion that the introduction of the price ceiling by the West harmed only those who ate it, but it did not work against Russia

Ulichoweka kama source hakina hayo maandishi uliyoweka, mwenyewe unajua umeyatoa wapi.
By the way hii ni average price ya mafuta ya Urusi kulingana na hao watafiti. Price cap iliwekwa na nchi 7 ambazo mojawapo zake humu mlikuwa mnasema zitaganda winter ikifika. Price cap haihusiani na wanunuzi wengine kama China na India.
 
Belarus vs Ukraine?
Mpaka sasa ndan ya field Urusi yupo vzr ingawaje anapata changamoto lkn anasonga mbele kwa hiyo usitarajie kuona Belarus akiingia mzigon wala china na Iran wakipeleka misaada ya kinomanoma.


Lkn ikitokea Urusi hali yake ikiwa tete bila shaka atapelekewa misaada mingi tu ya kinomanoma bila ya kuhofia vikwazo kwa sabab kila upande ulishajiandaa kwa yanayotokea sasa na yajayo.


Hii mbungi ni zaid ya Urus na Ukraine ni ya dunia na upande utakaoshindwa lazima umuamkie mwenzie na hapo ndipo ngoma inapokua ngumu,eidha Urus awe chawa wa USA au ujeruman na ufaransa waukatae uchawa kwa us.


Na kwa bakhti mbaya mpango wa aman wa China Babu ameulalamikia kuwa utamnufaisha Urusi.
 
Mkuu wa majeshi wa Ukraine, amemuonya Zeleboy kuhusu situation ya Bakhmut

Amemwambia kwamba hali ni tete na wanabidi wauachia huo mji na watafute position nyingine ya defense.
View attachment 2530949
Miezi miwili iliyopita tuliambiwa huo mji ni completely encircled [emoji16]

Tatizo propaganda ni nyingi lakini vitendo zero,
 
[emoji298][emoji298]A year and two days into the occupation of #Melitopol, #Kherson region, more than 1,000 residents were captured by Russian invaders.[emoji298]
 
[emoji298][emoji298]The Secretary of the National Security and Defense Council, Oleksiy Danilov, said there were several scenarios for the start of the full-scale war, so no one could offer accurate predictions on when exactly the massive offensive would be launched.[emoji298][emoji298]
 
Tunazidi kuwachinja huko bakhumut [emoji23][emoji23]

#[emoji298][emoji298][emoji298] Soldiers of the State Border Guard Service of Ukraine repelled two attacks and destroyed an enemy assault group near Bakhmut, decimating nine russian invaders and wounding five more.[emoji298][emoji298]
 
Ulichoweka kama source hakina hayo maandishi uliyoweka, mwenyewe unajua umeyatoa wapi.
By the way hii ni average price ya mafuta ya Urusi kulingana na hao watafiti. Price cap iliwekwa na nchi 7 ambazo mojawapo zake humu mlikuwa mnasema zitaganda winter ikifika. Price cap haihusiani na wanunuzi wengine kama China na India.
Kwenye hao walosema kua wataganda naomba unitoe huko

Chanzo hicho hapo BOSS wee pita nacho tuuu
 
Back
Top Bottom