Dah yaonesha walioletewa hawana furaha kabisa.vifaru chapa Leopard 2 vyawasili Ukraine to ka Poland!
...............
Polish Leopard 2 are in Ukraine
![]()
Wanaonesha kukata tamaa nyusoni mwao
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Dah yaonesha walioletewa hawana furaha kabisa.vifaru chapa Leopard 2 vyawasili Ukraine to ka Poland!
...............
Polish Leopard 2 are in Ukraine
![]()
Hawana zana zingine zinazoweza piga moving target?Ndege za Russia zinaruka zikiwa Ndani ya Russia cause zikifika huko zitatunguliwa, ndio maana Bado kuna mjadala kuhusu kuipa Ukraine ndege vita, cause Nawao wataweza kushambulia wakiwa Km300 nyuma
Kwa iyo ukraine hawajapata hasara"Special Operation" waliodai ingechukua siku tatu sasa imegeuka kuwa vita kamili na imechukua zaidi ya mwaka,Ukraine bado imara na Urusi imepata hasara kubwa;vifaa na wanajeshi wake kufa [emoji1787]
Ni JASUSI huyoKwa hiyo I'd zinakutisha ?
Ccm ni mafiii[emoji23][emoji16][emoji23]
Huna hoja
Wamevunja Na BwawaBakhamut imetekwa? Maana awalu daraja lilivunjwa Majeshi yasijongelee!
Vitu vyenyewe ndio hiviKuna report naifuatilia hapa kumbe viongezi wa west wanapoenda kyv kuanzia biden majuzi.
Kumbe kwenye misafara yao zilikuwemo pia siraha za kuisaidia ukraine.
Kama ujuavyo misafara ya viongozi wakuu wa nchi nyingine haiwezi kushambuliwa.
Inaonekana west wapo serious sana na russia.
Rusia angekua mdebwedo haki nato ingekua ishamvamia kijeshi.
Kama inafika mahali hadi rahisi wa nchi anatumika Ili siraha zisafirishwe Aise russia ni noma,ngoja tuone nini kitafuata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo kuna mashambulizi ya anga yametoka kyvi naona mrusi alikua anavitafuta.Vitu vyenyewe ndio hivi

The Leopards that were delivered to Ukraine are already back in Poland for maintenance
Ndio Kuna Ghala Limepewa Vutu Likawaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo kuna mashambulizi ya anga yametoka kyvi naona mrusi alikua anavitafuta.
Itakua wameamua wavikimbize kuondoka aibu.
Mrusi anachagua atumie siraha gani hapangiwi siraha yakutumia.[emoji298]the UK Ministry of Defence believes that Russia has probably exhausted its stockpile of Iranian drones, as their launches have virtually ceased, according to the latest British defence intelligence report.[emoji298]
Si Russia ndo mwenye wengiIla UKRAINE kaishafanikiwa tayari maana haitajiunga NATO imeharibu miundombinu yake leo Dw Wanakwambia RAIA zaidi million 11 wameikimbia UKRAINE
8M wameenda kwenye nchi za EU
3M wamekimbilia kwa mkombozi RUSSIA
Wengine wamekimbilia kwengine
Kwahakika haya nimafanikio lukuki kwa UKRAINE mie nasema SMO iendeleeeee
Sawa,