Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani huwezi kuamini Kama kweli macron ndio alisema Russia itashindwa ila isisambaratishwe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

"Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema atazuru China mapema mwezi Aprili mwaka huu kama njia moja ya kuitaka Beijing kuishinikiza Urusi kumaliza vita nchini Ukraine"

RFI kiswahili.
 
vifaru chapa Leopard 2 vyawasili Ukraine to ka Poland!
...............

Polish Leopard 2 are in Ukraine​

333025008_940329860755546_8913112670459017471_n.jpg
Vinakaribishwa motoni zilikoungua Bayraktar, zinakoungua himmars na machuma chuma mengine
 
Ninachompendea urusi anaacha watu waongee wabashiri yeye kimya kama hasikii, na hafanyi kitu kwa kuprove watu wrong.
Mfano juzi KILA mtu alijua tare 23 atafanya mashambulizi makubwa lakini yeye kimya.
Saiv wanasema hana siraha yeye kimya.Hii nitabia ya kiume haswa.
 
Halafu alianza kufurumusha makombora wanaanza kulialia!
 
Back
Top Bottom