Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji187] “Russia's full-scale invasion has demonstrated weaknesses on the continent as a whole,” the President said.

“With Ukraine's victory will come a different security infrastructure,” Zelensky added.,[emoji298]
Shushia dinner yako.

"G7 haitatambua kamwe kuingia kwa mikoa ya DPR, LPR, Zaporozhye na Kherson katika Shirikisho la Urusi, kama ilivyokuwa katika Crimea na Sevastopol"
 
Hiyo ardhi haijathibitiwa kwa asilimia [emoji817] bado.

Demilitarization haijafanikiwa kuzuia misaada ya kijeshi isipelekwe Kyiv.

Denazification yalikuwa madai ya kipuuzi tu maana manazi wapo kuanzia Urusi, Belarus, Ujerumani, UK, US na maeneo mengi ya Ulaya....hilo nalo haliwezi kufanikiwa.
Ukraine amefanikiwa nini?
 
Unataka kutuambia hyo ardhi unaimiliki wewe?
 
Wameanza kunena!!!...yaleyale aliosema Trump...juzi...Pro NATO...humu wakaanza kumponda kwamba ni mbabaishaji...!!! leo Comedian kanena...hakuna anaeweza kusimama na Russia in a Combat Zone...,,, na Putin alisisitiza juzi ..No one can defeat Russia in a Combat Zone...!!!..

Maninaa...!!! Wabongo wa Buza ndani ndani huko wanakuambia ..Russia sio tishio kabisa kwa NATO...,,,labda China...haya sasa Zele huyooo anakiri kwa ulimi...mbele ya Camera

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Tatizo tu ni kwamba umetukana!
 
Back
Top Bottom