jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
"Russian forces destroy Ukrainian ammunition depot in Dnepropetrovsk Region - Military & Defense - TASS" Russian forces destroy Ukrainian ammunition depot in Dnepropetrovsk Region
Tulikuwa tunaisubiri hiyo midude ikipigwa sijui mtaleta lion?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji328] Ukrainian Prime Minister Denys Shmyhal has shown off Ukraine's first Leopard tanks, provided by Poland.[emoji298]View attachment 2528834
Yaani mwaka huu mtapeleka vikorokoro vyote laakini vitapigwa mtarudi Tena kwenye vikao [emoji2][emoji2][emoji1200] Poland is ready to conduct training for Ukrainian pilots on F-16 aircraft, Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki said at a joint briefing with President Volodymyr Zelensky in Kyiv.[emoji298]
Haya anasema yeye wakati huo tunaendelea kushikilia ardhi yake na tunanufaika nayo wakati yeye anawaza kutuoa sisi tunaendelea kuongeza vijiji tu.[emoji187] “Russia's full-scale invasion has demonstrated weaknesses on the continent as a whole,” the President said.
“With Ukraine's victory will come a different security infrastructure,” Zelensky added.,[emoji298]
Jitahid kutuwekea kwa kiswahili ukiweka kwa ung'eng'e wengine unatukosa[emoji187] “Russia's full-scale invasion has demonstrated weaknesses on the continent as a whole,” the President said.
“With Ukraine's victory will come a different security infrastructure,” Zelensky added.,[emoji298]
Kaa kwa kutulia Ili uone hiyo midude itakavyoyapelekea moto majeshi ya fashisti [emoji848]Tulikuwa tunaisubiri hiyo midude ikipigwa sijui mtaleta lion?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa kuongeza ingefeli Kama Russia ingekuwa haijachukua hata mita moja Sasa km zote zile bado anasema tumefeli?[emoji187] “Russia's full-scale invasion has demonstrated weaknesses on the continent as a whole,” the President said.
“With Ukraine's victory will come a different security infrastructure,” Zelensky added.,[emoji298]
Itajulikana wachapane.Ni kichapo mwanzo mwisho [emoji1255][emoji91]
[emoji1255][emoji298]Ukrainian President Volodymyr Zelensky says it is no longer possible for him to sit at the negotiating table with Putin.[emoji298][emoji298]
Poa nitalifanyia kazi kama itawezekana!Jitahid kutuwekea kwa kiswahili ukiweka kwa ung'eng'e wengine unatukosa
Mbinu zimeisha mmeanza kushambulia ID😂😂😂.Kwa hiyo I'd zinakutisha ?
Nakuja na majibu yako punde, ngoja kwanza nipate dinner!!Kwa kuongeza ingefeli Kama Russia ingekuwa haijachukua hata mita moja Sasa km zote zile bado anasema tumefeli?
Matangazo miezi mitatu eti Leo kifaru kimoja.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kaa kwa kutulia Ili uone hiyo midude itakavyoyapelekea moto majeshi ya fashisti [emoji848]