Ukiskia Pro NATO wakifrahia ujio wa Leopard 2 unaweza kujiuliza hiyo leopard haipigiki? Lakini wapi kihistoria leopard zaidi ya 50 zimepotea kwa kupigwa na ATGM Kama Konkurs, na Metis( Both analogy to Kornet ATGM) Hapo Syria. Ndo itakuwa Russia? Taifa linalotisha zaidi kuliko yote Ulaya?
Ni miujiza watu kuwa na imani kubwa hivyo juu ya silaha hi ambayo pigo moja la guided missile kutoka TORNADO MLRS litakifanya kuwa chuma chakavu.
Ama pigo 1 la Kornet litakifanya Leopard kuwa tanuri dogo.
Ama missile kutoka armor piercing ka 52 ama Su 25 zitakifanya leopard kuwa kaburi la crew.
Nb.
Swali. Ni Nini kinawafanya muamini Leopard 2 Ni silaha unique ya kumkimbiza Russia ?
Sent from my TECNO RA7 using
JamiiForums mobile app