Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Happy anniversary to the defenders, shame to the weak villains. Vita bado sana hii mtapambana muda mrefu
20230224_231104.jpg
 
Wameanza kunena!!!...yaleyale aliosema Trump...juzi...Pro NATO...humu wakaanza kumponda kwamba ni mbabaishaji...!!! leo Comedian kanena...hakuna anaeweza kusimama na Russia in a Combat Zone...,,, na Putin alisisitiza juzi ..No one can defeat Russia in a Combat Zone...!!!..

Maninaa...!!! Wabongo wa Buza ndani ndani huko wanakuambia ..Russia sio tishio kabisa kwa NATO...,,,labda China...haya sasa Zele huyooo anakiri kwa ulimi...mbele ya Camera

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kuna mtu anaaminiwa sana humu na wafuasi wake yeye huiita Urusi kubwa jinga na Supapawa wa mchongo
 
Russia ikiongozwa na Putin wamevamia nchi huru ya Ukraine na kuteka majimbo yake manne (a sovereign and independent nation of Ukraine)! Russia ni superpower anavamia nchi ya tatu(third world nation)! Ni kana kwamba yupo kwenye karne za 14 - 18 kasahau hii ni karne ya 21! Rais Iddi Amin wa Uganda kwa kusaidiwa na Gaddafi alivamia mkoa wa Kagera Tanzania, alipigwa mpaka katimuliwa madarakani na Tanzania akakimbilia Saudi Arabia alipofia, sasa Ukraine itaishambulia Russia mpaka aachia majimbo ya Ukraine aliyoteka ya Donetsk, Kherson, Luhansk and Crimea na kuhakikisha Putin kakimbilia China, India au Afghanistan. Yaleyale yaliyompata Iddi Amin atapata Putin! Ukraine inanunua silaha kutoka nchi marafiki kama Russia inavyonunua silaha na DRONE kutoka IRAN!! Slava Ukraine!
Slava Ukraine. Huu msemo ulipotea kidogo humu. Umeurudisha Tena.
Slava Ukraine. Slava ukraine

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Zelensky kachaguliwa na raia wa Ukraine kidemokrasia, hayo ya kuandaliwa ni ya kwako....

Jeshi la Ukraine la kupambana na Urusi mpaka leo hujaliona ? Au unajitoa tu ufahamu.
Hivi wewe jamaa unaakili sawasawa kweli?
Hivi kwa akili Yako unaona Ukraine inaweza kupambana na Urusi kabisa ?
Kwa hiyo hiyo michango ambayo nyie mnaaiita package inafanya kazi Gani?
Je Urusi nayo ikipigana kwa jeshi lake lote Ukraine itakuwepo?
 
Wacha propaganda wewe, NATO ni North Atlantic Treaty Organization

Angalia neno organization; USA kuwa na nguvu za kijeshi kuliko member wengine hakumaanishi kuwa wao ndiyo NATO. Hata UN ni organization ingawa kuna wachama ambao wana nguvu zaidi. Russia isilazimishe kupendwa na majirani zao bali itumie ushawishi. Iwapo wote hao Ukraine, Georgia, Moldova, Lativia, Estonia, Lithuania, Poland walikuwa wamoja hadi USSR ilipovunjika, iweje sasa wawakimbie Urusi na kutaka kujiunga na NATO kama tatizo siyo Urusi yenyewe?
Hebu nifahamishe,

Ni kwa nin us anamilik kambi za kijesh lukuk ktk nchi wanachama wenzie lkn hao wanachama wenzie hawamilik kambi ndani ya us?
 
Hi statement "If the conflict is prolonged, a new military coalition will emerge from the countries that are tired of the Americans" itakuwa inatoka mdomoni mwa mtu ambaye kaelemewa yuko desperate anatafauta kusaidiwa. Mindset ya cold war ndiyo inayowasumbuwa hata rafiki yao china ameonya kuachana na mindsets za cold war. NATO siyo nchi bali ni organization ambayo nchi zinaomba uanachama. Hata urusi inaweza kuomba uanachama, lakini desperation yao inataka kulazimisha watu waamini kuwa NATO ni Marekani.

Kwasasa NATO Ni US hata ukibisha. Ni US ndo inayomiliki mamia ya makambi y NATO katika nchi hizi zilizo chini ya occupation ya Us kijeshi , kiuchumi nk.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwasasa NATO Ni US hata ukibisha. Ni US ndo inayomiliki mamia ya makambi y NATO katika nchi hizi zilizo chini ya occupation ya Us kijeshi , kiuchumi nk.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mtu haingii NATO kwa kulazimishwa bali huomba mwenyewe, na hakubaliki kuwa mwanachama kirahisi vile, inachukua process ndefu kidogo hadi kukubalika kuwa mwanachama. Sweden na Finland ziliomba mwezi wa tano mwaka jana na mpaka sasa bado zinazunguka miongoni mwa wanachama wa NATO ili kukubaliwa; wamewekewa kizingiti na Uturuki. Ni kweli USA ndiyo ina nguvu sana ndani ya NATO lakini halilazimishi nchi kuwa mwanchama. Kwenye organization yoyote hata ya kwetu EAC kutakuwa na wanachama ambao wana nguvu lakini haina maana kuwa wao ndio wamiliki wa organization ile. UN inao hao Urusi, China, Ufaransa, Uingereza, na Marekani wana nguvu kuliko nchi nyingine lakini bado UN ni ya wanachama wote, haimilikiwa na nchi hizo tano tu.
 
Umeongea kinadharia sana .Mfano kunaweza kuwa na swali moja akaulizwa mtu wa darasa la saba na mtu wa chuo....Mtu wa chuo anaweza jibu vilevile kama mtu wa darasa la saba lkn wa la saba akapata 100 wa chuo sifuri.

Mambo yote duniani sio ambavyo unayaona kwa macho yako ndugu..kote tu..kuanzia kwenye familia, serikalini, UN,NATO kwenyewe.

Hujiulizi why US mara kadhaa kaachaka na resolutions za UN na kufanya maazimio yake na hakuna anachofanywa, hujiulizi huko UN nchi inaweza kuja na mipango au maoni kibao lkn nchi moja tu kati ya tano permanent members zikisema No..ni kwisha, hujiulizi Urusi zinapita resolutions kibao za kumaliza vita lkn ndo kwanza kama hana habari...hujiulizi US inapata nini kwa kuwekeza NATO kuliko any other member na kuweka makambi ulaya???

US ikitaka nchi iwe NATO itakuwa tu, licha ya uwepo wa hao members wengine,

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Sio waione tu, tuwaulize wapo tayari kuona watoto wao wa kiume wakisoma hayo masomo?? Wako tayari mtoto wake wa kiume amletee mkwe ambaye ni jinsia ya kiume?

Nina hakika hili swali hawatojibu. Na kama hawatojibu ndio ujue hawa wenzetu wapo hapa kutetea maslahi fulani, labda na wao ni jinsia hizo
Wasubirie kufeerwa tu na madume wenzao
 
Hebu nifahamishe,

Ni kwa nin us anamilik kambi za kijesh lukuk ktk nchi wanachama wenzie lkn hao wanachama wenzie hawamilik kambi ndani ya us?
I have much respect kwa mzee wangu Kichuguu, lakini akijibu hili swali nitafurahi sana. Na mimi najua organize yoyote inaundwa au kutengenezwa mnufaika ni yule mwanzilishi. NATO imebuniwa na kuanzishwa na Marekani. Akishirikisha nchi zenye nguvu huko ulaya. Na lengo ni kupambana na Urussi/russia. Kingine atusaidie, kwa nini mataifa ya nchi za America zote kusini na kaskazini hawana uanachama wa Nato? Marekani pekee ndio mwanachama tena mwanzilishi nje anayepatikana nje ya ulaya. Mzee Kichuguu njoo utusaidie hapa.
 
Mtu haingii NATO kwa kulazimishwa bali huomba mwenyewe, na hakubaliki kuwa mwanachama kirahisi vile, inachukua process ndefu kidogo hadi kukubalika kuwa mwanachama. Sweden na Finland ziliomba mwezi wa tano mwaka jana na mpaka sasa bado zinazunguka miongoni mwa wanachama wa NATO ili kukubaliwa; wamewekewa kizingiti na Uturuki. Ni kweli USA ndiyo ina nguvu sana ndani ya NATO lakini halilazimishi nchi kuwa mwanchama. Kwenye organization yoyote hata ya kwetu EAC kutakuwa na wanachama ambao wana nguvu lakini haina maana kuwa wao ndio wamiliki wa organization ile. UN inao hao Urusi, China, Ufaransa, Uingereza, na Marekani wana nguvu kuliko nchi nyingine lakini bado UN ni ya wanachama wote, haimilikiwa na nchi hizo tano tu.
Organization yoyote lazima kuwe na

Organization yoyote lazima kuwe na Mwanzilishi, yaani aliyebuni wazo la huo muunganiko. Mara nyingi yeye ndio anakuwa Mnufaika namba 1. Na wazo la kuwa na huu muunganiko wa NATO lililetwa na marekani kwa nchi zenye nguvu barani ulaya ili kumdhibiti Urussi barani ulaya. Hivi vinchi vidogovidigo kama Estonia yenye popullation ya watu 2.5 mln zumekimbilia huko nato kwa ajili ya kupata ulinzi tu kwa kuogopa kupata walichopata Georgia na Ukrane toka kwa russia. Hazina msaada wowote kwenye hiyo organization. Tukubali tu, NATO ni marekani aliyejificha kwenye hiyo organization.
 
Azilipue ili op iishe haraka???

Mpaka op inatamatika inapaswa ulaya wabakiwe na silaha za kutumia nusu siku tu km wakivamiwa
Mkuu, Russia ameshatoa dau la mamilioni ya dollar kwa yeyote atakayefanikiwa kuharibu au hata kuteka kifaru kimoja tu Cha leopard 2!!
 
Russia ikiongozwa na Putin wamevamia nchi huru ya Ukraine na kuteka majimbo yake manne (a sovereign and independent nation of Ukraine)! Russia ni superpower anavamia nchi ya tatu(third world nation)! Ni kana kwamba yupo kwenye karne za 14 - 18 kasahau hii ni karne ya 21! Rais Iddi Amin wa Uganda kwa kusaidiwa na Gaddafi alivamia mkoa wa Kagera Tanzania, alipigwa mpaka katimuliwa madarakani na Tanzania akakimbilia Saudi Arabia alipofia, sasa Ukraine itaishambulia Russia mpaka aachia majimbo ya Ukraine aliyoteka ya Donetsk, Kherson, Luhansk and Crimea na kuhakikisha Putin kakimbilia China, India au Afghanistan. Yaleyale yaliyompata Iddi Amin atapata Putin! Ukraine inanunua silaha kutoka nchi marafiki kama Russia inavyonunua silaha na DRONE kutoka IRAN!! Slava Ukraine!
Kutetea ushoga kunahitaji ujasiri na kujitoa ufahamu kiasi hiki
 
[emoji1255][emoji629]More than 10,000 people in Berlin marched in a “full-scale freedom action“ on the anniversary of the war in Ukraine.

Berlin mayor Franziska Giffi, Ukrainian ambassador Oleksiy Makeyev, US ambassador Amy Gutmann and German politicians took part in the event.[emoji298]
 
Back
Top Bottom