Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamaa yenu huku anaongea ukweli mchungu, kwamba hakuna nchi inaweza kusimama na Urusi kivita na ikashinda...anasema labda USA napo analabudisha maana yake haamini kama Marekani wenyewe wanaweza kusimama na Urusi.

[emoji1255][emoji635][emoji631]At a press conference for the media, Zelensky said that no country could stand up to Russia on its own. However, he then added that the United States could. "Probably the US could, but, fortunately, they have no borders with the Russian Federation," - Zelensky
 
[emoji1255][emoji635][emoji631]At a press conference for the media, Zelensky said that no country could stand up to Russia on its own. However, he then added that the United States could. "Probably the US could, but, fortunately, they have no borders with the Russian Federation," - Zelensky
Wameanza kunena!!!...yaleyale aliosema Trump...juzi...Pro NATO...humu wakaanza kumponda kwamba ni mbabaishaji...!!! leo Comedian kanena...hakuna anaeweza kusimama na Russia in a Combat Zone...,,, na Putin alisisitiza juzi ..No one can defeat Russia in a Combat Zone...!!!..

Maninaa...!!! Wabongo wa Buza ndani ndani huko wanakuambia ..Russia sio tishio kabisa kwa NATO...,,,labda China...haya sasa Zele huyooo anakiri kwa ulimi...mbele ya Camera

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Haaaaaaaa wapi russia anaunda vinu vipya vya hatari sasa hivi vinatengenezwa kwa wingi siku si nyingi vifaru visivyo na binadamu tunavituma mstari wa mbele vyenye high tech ukrain huu mwaka ukimalizika bila kuchukuliwa yote au asilimia 80% sijui labda urussi itumie njia nyepesi ya kuteketeza ukrain na nato kama iliyo tumia hivi majuzi kwa kuwa tengenezea machinjio kisha kurudi nyuma kidogo na kufyeka maelfu ya askari wa ukrain na nato na kuteketeza vifaa vya kivita
Sasa hivi tuko busy arabuni huko tukifanya maonesho ya vitu vipya. Hivi vilifanyiwa marekebisho huko Ukraine bila west kujua.
 
Zelensky kaandaliwa yule....aje pale...hv kujidai kote huko kwa Zele..toka mwanzo...ni kwa sababu ipi..??...Ukrein alikuwa na jeshi la kupambana na Russia..??...
Zelensky kachaguliwa na raia wa Ukraine kidemokrasia, hayo ya kuandaliwa ni ya kwako....

Jeshi la Ukraine la kupambana na Urusi mpaka leo hujaliona ? Au unajitoa tu ufahamu.
 
Urusi yeye hatangazi nyie wenyewe mtaropoka tu

...[emoji1258][emoji635] Bloomberg writes that Russia has frozen Western assets in the amount of around $150 billion. Many investors are afraid to say that they have investments in Russia, and therefore it is difficult to calculate the exact amount. Among the “victims” are global financial monsters such as JPMorgan, Black Rock, etc. Separately, it is stipulated that dividends are accrued on frozen assets, which also cannot be withdrawn, and therefore respected companies talk about it with frustration.
 
Sio waione tu, tuwaulize wapo tayari kuona watoto wao wa kiume wakisoma hayo masomo?? Wako tayari mtoto wake wa kiume amletee mkwe ambaye ni jinsia ya kiume?

Nina hakika hili swali hawatojibu. Na kama hawatojibu ndio ujue hawa wenzetu wapo hapa kutetea maslahi fulani, labda na wao ni jinsia hizo
Hapa ndo huwa naamini hii dunia nyuma ya marekani na west kuna watu wanaotoa orders zote hizi, maana haimake sense for anyone kuruhusu mambo ya ushoga and i dont believe even Joe Biden na wenzake wanaweza kufurahi watoto wao wa kiume waolewe na mwanaume, au wao waoe mashoga.
 
Wameanza kunena!!!...yaleyale aliosema Trump...juzi...Pro NATO...humu wakaanza kumponda kwamba ni mbabaishaji...!!! leo Comedian kanena...hakuna anaeweza kusimama na Russia in a Combat Zone...,,, na Putin alisisitiza juzi ..No one can defeat Russia in a Combat Zone...!!!..

Maninaa...!!! Wabongo wa Buza ndani ndani huko wanakuambia ..Russia sio tishio kabisa kwa NATO...,,,labda China...haya sasa Zele huyooo anakiri kwa ulimi...mbele ya Camera

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
- Biden Mwenyewe alishasema vita dhidi ya Urusi ni kitu cha kukiepuka kwa nguvu zote
  • Elon Musk alishasema Urusi inaouwezo wa kuiangamiza magharibi yote ndani ya muda mfupi sana
  • Trump kashasema na kasema tena hakuna namna Uruusi anawezwa kushindwa kwenye uwanja wa vita
  • Zelensky mwenyewe kakiri labda Us mwenyewe ndio ataweza. Na hiyo ni LABDA!
 
The United States imposed sanctions against the Zaporozhye nuclear power plant, the US State Department reported.

So the United States has unofficially declared that the Zaporozhye nuclear power plant is an asset of the Russian Federation
kp kipanya44 aione hii pamoja na yule mpiga punyeto 😁
 
Wahindi hawawezi kuwatenga Warusi siku hata moja. Wanajua Russia Ni nani!
Ni Russia iliyosimama kidete kuizuia England na Us kuwavamia wahindi katika Rasi ya Bengal miaka ya Coldwar. India ikiwa inaelekea kuangamia kwa makombora kutoka Submarines ghafla waingereza wakagundua jambo... Oh Admiral Soviet are here! Basi wakaahirisha uvamizi Soviet Russia Navy ilikua tayari kulinda India. Waingereza na Wamarekani wakaondoka kwa aibu.
Leo wamtenge Russia kisa ujinga wa kujitakia wa Zeleboy?
Ni Russian waliowasaidia India kuwa nuclear power miaka 20+ iliyopita. Powerfully India is here to stay kwasababu ya nuclear technology tokA kwa warusi.
Mwaka 1986 kwa kuwaamini zaidi wahindi S Russia iliwauzia state of the Art air superiority fighter jet by the name Mig 29.
India Wana mengi ya kufanya kubaki zaidi kuwa rafiki zaidi wa Russia kuliko adui wa Russia .

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

Russia ikiongozwa na Putin wamevamia nchi huru ya Ukraine na kuteka majimbo yake manne (a sovereign and independent nation of Ukraine)! Russia ni superpower anavamia nchi ya tatu(third world nation)! Ni kana kwamba yupo kwenye karne za 14 - 18 kasahau hii ni karne ya 21! Rais Iddi Amin wa Uganda kwa kusaidiwa na Gaddafi alivamia mkoa wa Kagera Tanzania, alipigwa mpaka katimuliwa madarakani na Tanzania akakimbilia Saudi Arabia alipofia, sasa Ukraine itaishambulia Russia mpaka aachia majimbo ya Ukraine aliyoteka ya Donetsk, Kherson, Luhansk and Crimea na kuhakikisha Putin kakimbilia China, India au Afghanistan. Yaleyale yaliyompata Iddi Amin atapata Putin! Ukraine inanunua silaha kutoka nchi marafiki kama Russia inavyonunua silaha na DRONE kutoka IRAN!! Slava Ukraine!
 
Back
Top Bottom