Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1200] Poland will transfer 60 PT-91 Twardy tanks to Ukraine “within a few days”, Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki said, the Polish news agency PAP reported.[emoji298]
 
Madhara ya kutoa marinda.
FpyTgD8XoAAWekX.jpg
 
"Wakati wakiendelea kutishia mataifa maskini wasifanye biashara na Urusi, mpaka dakika hii Ulaya bado ni ya pili kwa kununua gesi ya Urusi ingawa kiwango kilishuka. Kwa sasa EU inachukua Nusu billion ya mita za ujazo za Gesi toka Urusi kila wiki."
Ulaya wananunua gesi kwa urusi Kwa bei hambayo wamempangia wao wenyewe [emoji28]

Yaani nakuja kwako na kukuambia," hiyo baiskeli yako nakupa Hela 15000,full stop"" na huna jinsi, inabidi uniuzie tu[emoji16]

Huoni ni dharau hiyo
 
[emoji779]️According to the General Staff, ~146,000 Russians were killed in the first year of the invasion of Ukraine.[emoji298]
 
Ulaya wananunua gesi kwa urusi Kwa bei hambayo wamempangia wao wenyewe [emoji28]

Yaani nakuja kwako na kukuambia," hiyo baiskeli yako nakupa Hela 15000,full stop"" na huna jinsi, inabidi uniuzie tu[emoji16]

Huoni ni dharau hiyo
Wakati huo hakuna sehemu nyingine ya kupata hyo baiskeli Ila mm naweza nikauza kokote ninakotaka njaa inakutoa pangoni.
 
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema anapanga kukutana na kiongozi wa China Xi Jinping kujadili mapendekezo ya Beijing kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine.

Akizungumza katika maadhimisho ya mwaka wa kwanza wa uvamizi kamili wa Urusi, alisema pendekezo hilo linaashiria kuwa China inahusika katika kutafuta amani.

"Kwa kweli nataka kuamini kuwa China haitasambaza silaha kwa Urusi," alisema Zelensky.

Mpango wa China unatoa wito wa kufanyika mazungumzo ya amani na kuheshimu uhuru wa taifa.
 
Si abaki na NATO yake waliomshauri avunje mazungumzo na apambane ...aendelee tu kupambana.....China wa Nini !!??
 
Yaani anajua China ikipeleka silaha itakuwa mwisho wa habari.

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema anapanga kukutana na kiongozi wa China Xi Jinping kujadili mapendekezo ya Beijing kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine.

Akizungumza katika maadhimisho ya mwaka wa kwanza wa uvamizi kamili wa Urusi, alisema pendekezo hilo linaashiria kuwa China inahusika katika kutafuta amani.

"Kwa kweli nataka kuamini kuwa China haitasambaza silaha kwa Urusi," alisema Zelensky.

Mpango wa China unatoa wito wa kufanyika mazungumzo ya amani na kuheshimu uhuru wa taifa.

RFI kiswahili.
 
Soma hicho kifungu Cha mwisho ndio utaamini china Yuko against na urusi
Screenshot_20230225-085551.jpg
 
NATO majors float Ukraine negotiations plan – WSJ

London has proposed giving Kiev even more weapons and security guarantees just short of membership in the US-led military bloc, in order to encourage negotiations with Moscow, the Wall Street Journal reported on Friday. Paris and Berlin reportedly support the initiative and have already advised President Vladimir Zelensky to talk, though he has refused.

Though French President Emmanuel Macron has publicly called for “a military offensive which pushes back the Russian front in order to open the way for a return to negotiations,” he has privately advised Zelensky to make “difficult decisions,” according to officials who spoke to the Journal.

Over dinner at the Elysee Palace earlier this month, Macron and German Chancellor Olaf Scholz told Zelensky he needed to start considering peace talks, according to people familiar with the conversation. London, Paris and Berlin would not comment on the record.

“We keep repeating that Russia mustn’t win, but what does that mean? If the war goes on for long enough with this intensity, Ukraine’s losses will become unbearable,” a senior French official told the Journal. “And no one believes they will be able to retrieve Crimea.”

As a way to encourage Zelensky, the outlet said, British PM Rishi Sunak has put together a plan to give Kiev “broader access to advanced military equipment, weapons and ammunition,” to be considered at the NATO summit in July.

“The NATO summit must produce a clear offer to Ukraine, also to give Zelensky a political win that he can present at home as an incentive for negotiations,” an unnamed British official told the outlet. If Moscow sees that the West is prepared to support Kiev even more, maybe it will be persuaded it can’t achieve its military objectives, the official added.

France and Germany support the initiative and see it as a way to “boost Ukrainian confidence” and give it an incentive to start negotiations with Russia, according to unnamed officials from both countries.

Sunak’s plan does not include stationing NATO forces in Ukraine or offering Kiev “Article 5” commitments to intervene in case of an attack, the officials said. Ukrainian Deputy Foreign Minister Andrey Melnik said it was a good first step, but that Kiev needed “a clear commitment that it does not exclude NATO membership, which is the only solution for a lasting peace.”

On Friday, the Russian Foreign Ministry listed its conditions for the diplomatic solution of the conflict, which included the West ending its “supply of weapons and mercenaries” to Kiev and Ukraine returning to neutrality after being demilitarized and “denazified.”

Meanwhile, NATO Secretary General Jens Stoltenberg has said that Russia is winning the logistical war of attrition, leaving it unclear how much the US-led bloc could spare for Ukraine in terms of weapons and ammunition.

Zelensky has rejected any negotiations with Moscow, saying on Friday that “There is nothing to talk about and nobody to talk about over there.”
 
Yaani anajua China ikipeleka silaha itakuwa mwisho wa habari.

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema anapanga kukutana na kiongozi wa China Xi Jinping kujadili mapendekezo ya Beijing kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine.

Akizungumza katika maadhimisho ya mwaka wa kwanza wa uvamizi kamili wa Urusi, alisema pendekezo hilo linaashiria kuwa China inahusika katika kutafuta amani.

"Kwa kweli nataka kuamini kuwa China haitasambaza silaha kwa Urusi," alisema Zelensky.

Mpango wa China unatoa wito wa kufanyika mazungumzo ya amani na kuheshimu uhuru wa taifa.

RFI kiswahili.
Hakuna namna

Mazungumzo ndio suluhu pekee
 
Back
Top Bottom