Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanaotegemea china kutoa silaha kwa urusi endeleeni kusubir [emoji56][emoji28][emoji16]
Screenshot_20230225-123725.jpg
 
Yaani anajua China ikipeleka silaha itakuwa mwisho wa habari.

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema anapanga kukutana na kiongozi wa China Xi Jinping kujadili mapendekezo ya Beijing kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine.

Akizungumza katika maadhimisho ya mwaka wa kwanza wa uvamizi kamili wa Urusi, alisema pendekezo hilo linaashiria kuwa China inahusika katika kutafuta amani.

"Kwa kweli nataka kuamini kuwa China haitasambaza silaha kwa Urusi," alisema Zelensky.

Mpango wa China unatoa wito wa kufanyika mazungumzo ya amani na kuheshimu uhuru wa taifa.

RFI kiswahili.
Anachofanya Amerika ni kuweka mayai yote kwenye kapu moja!

Anachokifanya hapo ni kujaribu kuyachafua mataifa yote ambayo yapo kinyume naye kwa kupitia huu mgogoro!

•Ameitupia lawama North Korea kwenye huu mgogoro kuwa inaisaidia Russia silaha.

• Ameitupia lawama Iran kwenye huu mgogoro kuwa inaisaidia Russia silaha. Madai ambayo Iran iliwataka Ukraine wathibitishe na Ukraine ikashindwa kithibitisha haya madai.

• Sasa mpira anawarushia China. Na muda si mrefu unaweza kusikia anaitupia lawama India kuwa nayo inampatia usaidizi wa silaha Russia.

Kitu ambacho kimeshafeli na kitafeli.
 

Nuclear-Capable B-52's "Buzz" Tallinn, Estonia (Russia Border)​

24 FEBRUARY 2023

At least two fully nuclear capable U.S. B-52 Stratofortress's "Buzzed" the city of Tallinn, Estonia today, about 120 miles from the border of Russia. This show of force was a message to the Russians . . . . Now Russia might have to send a message back.
The brief video below shows it as it took place.

The scalable map in the link below shows where Tallin is, and that it is about 120 from Russia.


The U.S. keeps poking it's finger in the eye of the Russian Bear. Sooner or later, the bear is going to take a swipe back and rip its face off.
 

Attachments

  • B-52s-Over-Talin-Estonia.mp4
    5.1 MB
Anachofanya Amerika ni kuweka mayai yote kwenye kapu moja!

Anachokifanya hapo ni kujaribu kuyachafua mataifa yote ambayo yapo kinyume naye kwa kupitia huu mgogoro!

•Ameitupia lawama North Korea kwenye huu mgogoro kuwa inaisaidia Russia silaha.

• Ameitupia lawama Iran kwenye huu mgogoro kuwa inaisaidia Russia silaha. Madai ambayo Iran iliwataka Ukraine wathibitishe na Ukraine ikashindwa kithibitisha haya madai.

• Sasa mpira anawarushia China. Na muda si mrefu unaweza kusikia anaitupia lawama India kuwa nayo inampatia usaidizi wa silaha Russia.

Kitu ambacho kimeshafeli na kitafeli.
Anabwabwaja yaani zele alivyosikia tu kwamba China anaandaa mpango wa amani anataka kumwona haraka iwezekenavyo maana ameona ataendelea kuazimisha miaka tu ya uvamizi na hakuna atakachopata[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nyie si NATO kwann msitulie? Si mpo zaidi ya Nchi 30 nyie?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Jens Stoltenberg says NATO military alliance has seen signs China was considering providing lethal aid to Russia.

 
[emoji298][emoji298]The UK Ministry of Defence believes that Russia has probably exhausted its stockpile of Iranian drones, as their launches have virtually ceased, according to the latest British defence intelligence report.[emoji298]
 
[emoji1063]Canadian Prime Minister Justin Trudeau has announced that Canada will send 4 more Leopard 2A4 main battle tanks to Ukraine, CBC News reported.[emoji298][emoji298]
 
[emoji187]According to the Institute for the Study of War, Russian authorities did not comment on the first anniversary of Russia's full-scale invasion of Ukraine because Russia failed to achieve any of its stated goals.[emoji298]
 
Anabwabwaja yaani zele alivyosikia tu kwamba China anaandaa mpango wa amani anataka kumwona haraka iwezekenavyo maana ameona ataendelea kuazimisha miaka tu ya uvamizi na hakuna atakachopata[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Zelensky hana akili!

Afadhali yake ashukuru hii SMO imebeba mengi ambayo Russia inataka kuyakamilisha. Kinyume na hapo angekimbia nchi mapema sana.

Russia inamtaka Zelensky huyo huyo ambaye baadaye ndio atakayesaini makubaliano ili aone upuuzi alioufanya.

Na awe makini tu! Likifikiwa hilo wa-Ukraine wenyewe wanaweza wakamuua kwa akili zenyewe za hawa wa Ukraine ni shida tupu!
 
[emoji1200] Poland will transfer 60 PT-91 Twardy tanks to Ukraine “within a few days”, Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki said, the Polish news agency PAP reported.[emoji298]
 
[emoji779]️According to the General Staff, ~146,000 Russians were killed in the first year of the invasion of Ukraine.[emoji298][emoji298]
 
#[emoji1255][emoji298] Ukrainian President Volodymyr Zelensky has released a new video about the first year of russia's full-scale war in Ukraine, the work of the Ukrainian military and the resistance of the Ukrainian people[emoji298][emoji298].
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji1255][emoji123]

#[emoji298] The sounds of explosions are heard in the location of a large russian military personnel cluster in temporarily occupied Mariupol district.[emoji298][emoji298]
 
Back
Top Bottom