Russia ikiongozwa na Putin wamevamia nchi huru ya Ukraine na kuteka majimbo yake manne (a sovereign and independent nation of Ukraine)! Russia ni superpower anavamia nchi ya tatu(third world nation)! Ni kana kwamba yupo kwenye karne za 14 - 18 kasahau hii ni karne ya 21! Rais Iddi Amin wa Uganda kwa kusaidiwa na Gaddafi alivamia mkoa wa Kagera Tanzania, alipigwa mpaka katimuliwa madarakani na Tanzania akakimbilia Saudi Arabia alipofia, sasa Ukraine itaishambulia Russia mpaka aachia majimbo ya Ukraine aliyoteka ya Donetsk, Kherson, Luhansk and Crimea na kuhakikisha Putin kakimbilia China, India au Afghanistan. Yaleyale yaliyompata Iddi Amin atapata Putin! Ukraine inanunua silaha kutoka nchi marafiki kama Russia inavyonunua silaha na DRONE kutoka IRAN!! Slava Ukraine!