Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji187] There will be no reconciliation or cooperation with Russia in the next 100 years, Ukrainian Prime Minister Denys Shmyhal said in an interview with Germany’s Focus.[emoji298]
 
[emoji1151][emoji1255] In Lithuania, the graduation took place of Ukraine’s class 1-3 fire training instructors, for the first time in the country’s history.

[emoji328]: Ministry of Defense of Ukraine
 
[emoji1255]Today is Day of Resistance to Russia’s Occupation of Crimea.

On February 26, 2014, thousands of Crimeans held a mass rally in Simferopol in support of Ukraine's territorial integrity.

“This is our land. Our people. Our history. We will return the Ukrainian flag to every corner of Ukraine,” Volodymyr Zelensky said on the occasion of the 9th anniversary of Russia's occupation of Crimea.

[emoji328]: Official channel of the President of Ukraine
 
[emoji298][emoji1255]President Volodymyr Zelensky marked the nine-year anniversary of the start of the Russian occupation in Crimea, stating that "By returning Crimea, we will restore peace."

"This is our land. Our people. Our history. We will return the Ukrainian flag to every corner of Ukraine," he said.[emoji298][emoji298]
 
[emoji1255][emoji123][emoji123]
1677427952158.jpg
 
Ukraine [emoji1255] ni taifa la kimkakati linalotumiwa na western communities special kwa ajili ya kuangalia Russia [emoji635] na kuhakikisha haina utulivu, Naomba niendelee kusisitiza kuwa Russia [emoji635] hawajatumia siraha zao advanced kwa sababu wanajua aina ya vita hii ni kusomana uwezo halisi wa kijeshi
 
Ardhi yao ya kuifia ipo Urusi sio ndani ya mipaka ya Ukraine.
Ukraine ilikubali kuwa Chaka na maficho ya adui namba moja wa Urusi USA na NATO.
Urusi ikamuomba Ukraine asiegemee upande wowote,asiwe upande wa Urusi wala asiwe upande wa NATO.
Ukraine akatia kiburi.urusi akachora mstari Ukraine akauvuka.
Sasa hapa najua huwezi kunielewa maana hapa taarifa nyingine za kijasusi hua hatutangaziwi.urusi ilinusa hatari ya baadae ndio maana ikaamua kufanya maamuzi magumu Leo kwa ajili ya utulivu wa baadae.

Hutaelewa na hapa pia.

Sasa kabla hujajibu naomba nikuulize NATO ni kwa ajili ya kujilinda nchi za ulaya magharibi.
Sasa je ni kujilinda dhidi ya nani?
 
Hahahahaha Dua la kuku,,,, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unamuona Mungu babu mzaa mamako eeh!
[emoji116][emoji116]
يَوْمَ لَا يَنفَعُ الظَّالِمِينَ مَعْذِرَتُهُمْ ۖ وَلَهُمُ اللَّعْنَةُ وَلَهُمْ سُوءُ الدَّارِ

[ GHAAFIR (AU AL MUUMIN) - 52 ]
Siku ambayo hautawafaa madhaalimu udhuru wao, nao watapata laana, na watapata makaazi mabaya kabisa.

وَإِنَّ عَلَيْكَ اللَّعْنَةَ إِلَىٰ يَوْمِ الدِّينِ

[ AL - HIJR - 35 ]
Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo.
 
Unamuona Mungu babu mzaa mamako eeh!
[emoji116][emoji116]
يَوْمَ لَا يَنفَعُ الظَّالِمِينَ مَعْذِرَتُهُمْ ۖ وَلَهُمُ اللَّعْنَةُ وَلَهُمْ سُوءُ الدَّارِ

[ GHAAFIR (AU AL MUUMIN) - 52 ]
Siku ambayo hautawafaa madhaalimu udhuru wao, nao watapata laana, na watapata makaazi mabaya kabisa.

وَإِنَّ عَلَيْكَ اللَّعْنَةَ إِلَىٰ يَوْمِ الدِّينِ

[ AL - HIJR - 35 ]
Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo.
Sio jukwaa la dini hili najua unaumia ila jikaze njoo kwenye majukwaa husika nikunyooshe

Humu amani ndio inayotafutwa kutoka kwa MR PRESIDENT PUTIN

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nyie si NATO kwann msitulie? Si mpo zaidi ya Nchi 30 nyie?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Jens Stoltenberg says NATO military alliance has seen signs China was considering providing lethal aid to Russia.

Vijamaa vinapenda vichangishane silaha vyenyewe TU ili kumshambulia Russia.
Lakini haviko tayari kabisa kuona marafiki wa Russia wakimpa hata manati TU, vinatetemeka hatari.
Aisee hivi vijamaa vioga sana.
Kweli vimezoea kupiga waarabu TU Tena wa Iraq na Libya,maana kwa Watalaban vilitulizwa.
 
Mmelaaniwa wote mnaounga mkono mashoga
وَاتَّقُوا يَوْمًا تُرْجَعُونَ فِيهِ إِلَى اللَّهِ ۖ ثُمَّ تُوَفَّىٰ كُلُّ نَفْسٍ مَّا
كَسَبَتْ وَهُمْ لَا يُظْلَمُونَ

[ AL - BAQARA - 281 ]
Na iogopeni Siku ambayo mtarudishwa kwa Mwenyezi Mungu, kisha kila nafsi italipwa ilicho chuma. Nao hawatadhulumiwa.

Mashoga hata Allah Amewasamehe!
[emoji116][emoji116]
وَاللَّذَانِ يَأْتِيَانِهَا مِنكُمْ فَآذُوهُمَا ۖ فَإِن تَابَا وَأَصْلَحَا فَأَعْرِضُوا عَنْهُمَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ تَوَّابًا رَّحِيمًا

(AN-NISAAI - 16)
Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.

Muuají Allah Anasema LAT KATIRU!
Nakawaagiza Ukreine walipize Kisasi ili wasalimike!
[emoji116][emoji116]
وَلَكُمْ فِي الْقِصَاصِ حَيَاةٌ يَا أُولِي الْأَلْبَابِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ

[ AL - BAQARA - 179 ]
Mtakuwa nao uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili msalimike.
 
Back
Top Bottom