MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Ila miaka yote umeshindwa kuilaani mauaji yanayotokea Kongo hapo ambao ni jirani zako.Yeyote anae iunga mkono russia kuivamia Ukreine na kwenda kuuwa Watu na Viumbe Pasipo na hatia LAANATULAH!!!; KILA WANAPO TOKA NA KUINGIA MAKAZI YAO WALAANIWE!
SEMA AMIN [emoji120]
Mauaji na vifo vinavyotokea Msumbiji ambako Tanzania tumepakana nao.
Vita kule Somalia
Vita ya Waethiopia
Vita vya Afrika ya Kati
Hilo Dua lako ni la kinafiki na wanafiki peponi hawaingii