Ngoja nikusaidie, maana kuna uwezekano, tuna uelewa tofauti sana.
1. Main purpose of Western Sanctions was to destroy Russia economy. Lakini IMF & World Bank, wanasema kwenye statistics zao kwamba, Russia economy is growing by 2.5%
2. Another purpose is to stop this SMO. Yaani sanctions zimfanye Russia aachane na hii SMO. Lakini tunaona bado SMO inaendelea na maeneo yanazidi kuchukuliwa
3. Another purpose ya Sanctions ni kufanya Russia atengwe na nchi zingine (nje ya Western Countries), lakini tunaona bado nchi zinashirikiana na Russia hata Tanzania sisi jana/juzi kuna meli ya Russia imetia nanga hapo Bandari ya Tanga na kushusha mzigo
Sasa kwa mtu mwenye akili timamu, akiangalia malengo ya Sanctions, anaona hayajatimia. Kwa hiyo Sanctions haijaweza kufanya kazi.
Sasa unapoweka tena sanctions ukitarajia eti utapata matokeo mapya/tofauti sasa hapo wewe ndio unakuwa kichaa na definition ya Albert Einstein inakuwa inatumika.