Walisema mwezi wa tano Russia itakuwa mdebwedo but Russia ya leo inaibuka kuwa yenye nguvu ZaidFUSO ktk hili umechemka.........
Ari zaidi
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Walisema mwezi wa tano Russia itakuwa mdebwedo but Russia ya leo inaibuka kuwa yenye nguvu ZaidFUSO ktk hili umechemka.........
Mrusi aliwaambia wanyuti. Show itakayopigwa siku si nyingi itakuwa ya kukata na shoka. Tuombe uzima maana dharau zimezidi sasa.Ila Dharau Mbaya Sana Ile.
Licha Ya Mikwara Yote Ile Mwanamama Alitua.
Jamaa Wakaishia Kupiga Mabomu Kwenye Maji Halafu Wakarudi Kambini.
Hata Hivyo Jamaa Walitumia Busara Sana Wangekuwa Wanapigana Hadi Leo.
Walisema mwezi wa tano Russia itakuwa mdebwedo but Russia ya leo inaibuka kuwa yenye nguvu Zaid
Ari zaidi
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Sasa mbona we naye ni shoga? Maana mfiraji na anayefirwa wote ni mashogaAcha wafe tu ***** zao. Shoga na vita wapi na wapi
Sio swala la busara, China bado hajajipanga kuivamia Taiwan, ila Taiwan yuko tayari kujilinda dhidi ya China.Ila Dharau Mbaya Sana Ile.
Licha Ya Mikwara Yote Ile Mwanamama Alitua.
Jamaa Wakaishia Kupiga Mabomu Kwenye Maji Halafu Wakarudi Kambini.
Hata Hivyo Jamaa Walitumia Busara Sana Wangekuwa Wanapigana Hadi Leo.
Kitachosababisha vita iishe ni Nukes pekee, vinginevyo Russia ataendelea rudishwa nyumaMrusi aliwaambia wanyuti. Show itakayopigwa siku si nyingi itakuwa ya kukata na shoka. Tuombe uzima maana dharau zimezidi sasa.
Mfiraji hana shida tatizo liko kwa anayepumuliwa kisogoniSasa mbona we naye ni shoga? Maana mfiraji na anayefirwa wote ni mashoga
Yani NATO wana Ego kishenzi kwamba wakionekana wamezidiwa na Urusi wataaibika bora waanzishe WW3 tu 🤣🤣🤣 uzuri majasusi wa Urusi washaujua huo mpango wa chemical weapons na watajibu accordingly 😛 washushe kidude hata cha 30 kilotonnes tu“Stoltenberg was stating quite recently, in the past days in fact, that the risk of a Russian victory in the battlefield, outweighed the risk of escalation and direct confrontation with NATO. In plain terms it means NATO will rather intervene, than letting Russia win this conflict. That means of course a nuclear confrontation. It serves to show the stupidity and arrogance of European politicians to the entire world. We're putting ourselves, willingly, in the exact same kind of absolutist positions that led to WW1. Uncompromising absolutist position, unwillingness to negotiate a single thing. Not that there is nothing to negotiate now, the events went too far already. If rumors of an alleged chemical weapons attack being prepared by the AFU are true, then they will get out of hand completely and into the WMD realm. But instead of trying to defuse tensions, our glorious leaders are escalating them. What they expect to achieve with this is truly a mystery, after all, even the simplest of organisms have a self-preservation instinct. We'll just have to find out if Stoltenberg means it, but i suspect he'll be far far away from the front-lines and from primary impact zones. Probably in a bunker with the remaining vassals, wondering exactly what went wrong and blaming the European population for their lack of patriotism and fighting spirit”
Mi nipo nasubiri kuona Zelensk kama ataendelea kuwa jeuri kwa kukataa kuwatoa wanajeshi wake Bakhmut.litakuwa pigo zaidi ya lile la Maliupol.na hapo itakuwa mwisho wa kusikiliza amri ya Zelensk.makamanda watakuwa wanajiongeza wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo si mambo karibu kunakucha na makucha yake
[emoji635][emoji3538][emoji1255] PMC Wagner are only 800m from cutting the LAST supply route for the AFU in Artemovsk. The situation has become the most critical it has ever been for the AFU. 35,000 Ukrainian soldiers remain in the vicinity of Artyomovsk.
Nabrezhnye
Kwa hiyo wamekubaliana na huyo Blinken???? Duh...Jifunze namna ya kuchambua habari....USA ndiye anayehangaika kutaka kuitenga Russia kwa kuwa huko Ukraine mambo yanazidi kuwa magumu kwa NATO na West..War in Ukraine : Blinken Urges Ex-Soviet States to Keep Distance From Russia
ASTANA, Kazakhstan — The Biden administration took its push to isolate Russia into the heart of the former Soviet sphere of influence on Tuesday, with the top U.S. diplomat meeting with Central Asian leaders to urge them not to help Russia evade sanctions imposed by the West over its invasion of Ukraine.
The diplomat, Secretary of State Antony J. Blinken, opened a two-day visit to Central Asia by meeting with the president of Kazakhstan and the country’s foreign minister, both of whom expressed a willingness to work with the United States and a commitment to protecting their national sovereignty, an indication of wariness toward Russian aggression.
===================
.Putin ana wakati mgumu kudumisha ushawishi wake wa kieneo.
Bukyanagandi 1954 Mathanzua Bwana Utam triga
Kama wako 800m wacha nifungue beer zangu sasa, kabla sijalewa habari itakuwa njema. Tunahitaji maiti za hao mashoga 35kMi nipo nasubiri kuona Zelensk kama ataendelea kuwa jeuri kwa kukataa kuwatoa wanajeshi wake Bakhmut.litakuwa pigo zaidi ya lile la Maliupol.na hapo itakuwa mwisho wa kusikiliza amri ya Zelensk.makamanda watakuwa wanajiongeza wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2532740
- Uchumi wa Russia 2022 umedecline kwa 2.1%. Watabiri wengi walisema ingekuwa 15% mpk 20% lkn imekuwa tofauti. 2.1% isn't so bad considering 14 thousand sanctions on their back. Haya ni maneno ya Putin mwenyewe na alikuwa ananukuu taarifa za wazara yake ya mambo ya uchumi.Safi Mkuu Kwa Kutoa Hoja Kwa Uthibitisho, Sasa
1.Weka Hapa Taarifa Ya Imf Na Wb Inayosema Uchumi Wa Urusi Umekua. Binafsi Nimetafuta Sijaiona.
2.Linapokuja Suala La Usalama Wa Taifa Ni Bora mkose Chakula Mlale Njaa Ila Muweze Kujilinda Dhidi Ya Adui. Ndio Maana Urusi Imekwenda Sambamba Na Marekani Katika Idadi Ya Silaha Za Nuclear Lakini Sio Uchumi. Hivyo Kuna Uwezekano Mkubwa Wa Kupeleleka Resource Nyingi Smo Iende Hata Kama Kutaleta Upungufu Pahala. Unadhani Kwa Nini Serikali Ya Urusi Ilipiga Marufuku Kutangaza Habari Zinazoendelea Ndani?
3.Vikwazo Havijayazuia Mataifa Kufanya Biashara Na Urusi Bali Kwa Bidhaa Fulani Tu, Ile Meli Ilikuwa Imebeba Mbolea. Mbolea Haijawekewa Vikwazo. Museveni Pamoja Na Kumkaribisha Lavlov Ni Kwa Nini Alikataa Kununua Mafuta Ya Urusi Ya Bei Ndogo??
We piga vyombo mzee Zelensk muda sio mrefu ataondoa vikosi vyake Bakhmut maana kashaanza kusema Warusi wamearibu kila kitu Bakhmut.anasema hali ni mbaya sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama wako 800m wacha nifungue beer zangu sasa, kabla sijalewa habari itakuwa njema. Tunahitaji maiti za hao mashoga 35k
🤣🤣🤣🤣🤣 Noma sana, yani mtu alitegemea akuvunje mguu ila anakuta kafanikiwa kukuvunja kidole tu- Uchumi wa Russia 2022 umedecline kwa 2.1%. Watabiri wengi walisema ingekuwa 15% mpk 20% lkn imekuwa tofauti. 2.1% isn't so bad considering 14 thousand sanctions on their back. Haya ni maneno ya Putin mwenyewe na alikuwa ananukuu taarifa za wazara yake ya mambo ya uchumi.
Kwa mujibu wa IFM wao walitabiri kwa mwaka 2023 uchumi wa urusi ungeshuka kwa % 2.5 na badala yake sasa hivi wameupdate utabiri wao huo na sasa hv wanasema utakuwa kwa .3%. Mwaka 2024 wanasema utakuwa kwa 2.1%.
Angalia hapo
![]()
IMF predicts Russian economy to rebound in 2023
International economic institutions, which recently doubted Russia’s economy could survive under Western sanctions, are now sounding more optimistic than even the Russian government. The International Monetary Fund (IMF), known for its gloomy forecasts, this week predicted Russia’s GDP will grow...thebell.io
- Hii ya kusema huenda rasilimali nyingi zimeelekezwa kwenye SMO Kuliko sehemu nyingine ni nadharia tu na nimependa ulivyoanza na neno 'huenda'. Ni wapi Urusi walikataza taarifa za ndani zisitolewe!? Unamaanisha taarifa za ndani au zinazohusu SMO!? Ni nchi gani duniani inayoruhusu taarifa zake za ndani zitolewe!?
4. Unapozuia mfumo wa swift usitumike na nchi fulani na wakati mfumo huo ndio mfumo wa malipo ya kimataifa unakuwa na lengo gani kama sio kuizuia nchi hiyo isifanye biashara kimataifa!?
We piga vyombo mzee Zelensk muda sio mrefu ataondoa vikosi vyake Bakhmut maana kashaanza kusema Warusi wamearibu kila kitu Bakhmut.anasema hali ni mbaya sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2532777View attachment 2532778