Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Hao watoto wametenganishwa kwa nguvu na wazazi, familia na ndugu zao waliopo Ukraine, huo ni utekaji...Watekwe kivipi...hizo ni propaganda za west kwamba Kuna utekaji....for your information watoto wale they are enjoying life in Russia...huko wako salama kwani wameondolewa kutoka kwenye eneo la Vita .huko waliko Sasa wanasoma na kufundishwa Mambo muhimu ikiwemo historia ya Russia na Warusi....kule Russia ni marufuku kufundishwa Mambo ya kunyonyana ndimi mvulana kwa mvulana au msichana kwa msichana...wanafundishwa utu kule Russia...
Hayo ya kunyonyana ndimi umeyatoa wapi ?.... Kwani huko Urusi hawanyonyani ndimi ?