matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Tukiwaambia UKE wanapigwa kwa upendo hamuelewi. Hapa Boss wa Wagner Prigo anawatumia wakina mama wa Ukraine zawadi za wine za Siku ya wakina mama.
[emoji23][emoji16][emoji23]KAZI NI NGUMU BAKHMUT ILA TUTATOBOA - LAZIMA NDULI TUMTOE KWENYE ARDHI YETU.
![]()
Tukiwaambia UKE wanapigwa kwa upendo hamuelewi. Hapa Boss wa Wagner Prigo anawatumia wakina mama wa Ukraine zawadi za wine za Siku ya wakina mama.
Sera ya vikwazo iliishafeli Big timeMkuuu ...mtu kawekewa vikwazo 14,000 na mamia huko lakini wapi .....Bado wanaumia wao....
RUSSIA bado anaushawishi sana DUNIANI nandio maana nguvu nyingi zinatumika kutaka kuuondoaWar in Ukraine : Blinken Urges Ex-Soviet States to Keep Distance From Russia
ASTANA, Kazakhstan — The Biden administration took its push to isolate Russia into the heart of the former Soviet sphere of influence on Tuesday, with the top U.S. diplomat meeting with Central Asian leaders to urge them not to help Russia evade sanctions imposed by the West over its invasion of Ukraine.
The diplomat, Secretary of State Antony J. Blinken, opened a two-day visit to Central Asia by meeting with the president of Kazakhstan and the country’s foreign minister, both of whom expressed a willingness to work with the United States and a commitment to protecting their national sovereignty, an indication of wariness toward Russian aggression.
===================
.Putin ana wakati mgumu kudumisha ushawishi wake wa kieneo.
Bukyanagandi 1954 Mathanzua Bwana Utam triga
Hali mbaya [emoji848]View attachment 2539162
Safi sana, hizi ndo habari tunapenda kusikia.Ukraine imeanza ondoka Bakhmut
Ningekuwa na nauli ningeenda huko ukraine ili niwaletee habari walioko sehemu ya tukio naona Kama wanachelewa halafu wanatoa habari ambazo si kweli kuelekea Russia hivi kweli bukhumut unaweza kuzungukwa bila silaha?
Mkuu mpango wa kumkomesha jahiri huyu upo sana we sema wahusika wakuu hawajitangazi moja kwa moja, lakini you can read between the lines kauli zao wanapokuwa kwenye vikao vya kimataifa au makongomano, one could easily tell kwamba kinacho subiliwa ni opportune time ya ku-spring up kipigo kitakatifu kwake kutoka kwa mataifa makubwa yenye nguvu za kijeshi yanayo keleka na tabia za US kufanya mataifa yasielewana/uchonganishi na kuchochoe vita ambavyo yeye hataki kuhusika moja kwa moja badala yake anayatumia/watumia viongozi wa mataifa ambayo yako radhi kupigana a proxy war on US behalf dhidi ya maadui wake eg Russia,Uchina na Korea Kaskazini, Syria na Iran.Wao viongozi wa bara la Asia tena? Kwa maana China, Taiwan, Korea zote ni makoloni yao?
Hawa jamaa wanajiona nani kwani katika hii dunia? Wao ndo wapangie kila mtu namna ya maisha miaka yote tu... Hili lazma likomeshwe rasmi na wa kuchukua hatua ni China, North Korea na Urusi. Hawa ndio wana uwezo wa kubadili upepo wakidhamiria.
Sawa afande
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56]maji yamezid unga. hko soledar baaz ya mamluk wamegoma. wanatumia mbinu ya kulisogelea jeshi la waukraine ili wapigane face to face. wakisogea sana jeshi la ukraine lina rid kidogo kisha linawanyumbua vya kutosha.
si mlisema bkhmut mumeizunguka ?
haya jeshi la ukraine halijaoondoka bado wamalizen sasa. ?