kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
[emoji298][emoji298]
Gospel truth!!Kiongozi wa mamluki wa Wagner, Bwana Prigozhin atakuwa yupo sahihi.
Hiyo vita haramu ya Putin itakuwa inaungwa mkono zaidi na mamluki hao wanaotumia wafungwa. Kwa hiyo siyo ajabu wakahujumiwa makusudi Kwa kucheleweshewa mahitaji muhimu ya mapambano.
Bila hao mamluki wapiganaji wa Putin wangesha susa!
Tunatumia chepeTumeishiwa silaha.
Hatuna mahusiano mazuri na waziri wa ulinzi.
Njooni mutupige, tuna mapaurooo
View attachment 2540179
Labda maiti nyingi ni sababu wanasonga mbele polepole hivi? Hujajiuliza kwa nini jeshi kubwa vile linashindwa hadi sasa kuteka sehemu ndogo kama Bakhmut?Wee jamaa ni muongo sana...warusi 7 kwa
Ukraine 1...wangesonga mbele kweli??Si maiti zingekuwa nyingi hata hapapitiki...yaani mtu anayeshinda ndo anakimbia ....??
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hahahahahah sasa kupigana hivyo marekani hawezi ndio maana anamuogopa sana mrusi. Yani Mrusi akishatawala anga huko chini inakuwa kama kumsukuma mlevi tu. Utake usitake Utapigwa tu.Hii ndio style waliyopigana na magaidi ya ISIS kule Syria.
Ilikuwa hivi hivi... mtaa kwa mtaa mpaka magaidi yakaisha...
..and so are the Chinese.Waafrica wengi wanazidi kujielewa wameshajua west wako Africa kwa ajili ya maslahi yao.
View attachment 2539992