Ni vyema hii..kwa ustawi wa sekta ya kilimo....itapatikana mbolea .Rais wa Ukraine amesema hawataondoa majeshi Bakhmut
Masponsa wa Zele ndio waliolipuaPro Ukrainians ndo walihusika kulipua Nord Stream 2
Ungetuwekea na makaburi ya wayukraini nafikiri tungeenda sawa kwa maana kwenye vita kila upande unapoteza askari na hasa wale wanaokimbia na kuacha miji yao hao ndio wanaopoteza zaidi,,Hata wanapata makaburi ya Wagner (kama inawezakana kuwatambua baadaye)
![]()
Wanawaandaa kisaikolojiaMtanena kwa lugha zote.
Bakhmut’s fall would not mean Russia is winning: Pentagon
![]()
Bakhmut’s fall would not mean Russia is winning: Pentagon
Over the past week fighting near Bakhmut has intensified, with Russian forces attacking from nearly all sides.www.aljazeera.com
Kwa hiyo akili zake za kishoga hapa yeye anamkomoa nani?,,, na ndio maana sie pro Russia tunapiga vita wanaume kufihlwah kwa kuwa tunajua madhara hata kiakili,,Rais wa Ukraine amesema hawataondoa majeshi Bakhmut
Mbona video za Profesa John Mearsheimer hujaziweka
muone profesa wa Urusi katika TV ya Kirusi. Analalamika maendeleo ya polepole na kutabiri eti Putin ("uongozi wa kisiasa") hataona mwisho wa vita . . . . .
Hii ni mitaa ya Su-27. Ukiingia kichwa kichwa unafanyiwa fujo zote hadi usepe. Flanker ni mkongwe wa vurugu mitaa hiiVIDEO
Dege la Kimarekani B-52 lilijichanganya Njia huko Bahari Nyeusi
Ghafla Wakashangaa wamezungukwa na Su-27 za Kirusi na Kupewa Onyo
Jamaa Wakatoka Nduki na Kuufyanta Mkia
View attachment 2538263
Progo mwenyewe alishasema wameacha kuchukua wafungwa kwasababu wanafight recklessly. Wengi hawajali. Mtu yuko tyr aumizwe ili atolewe mstari wa mbele akamalizie muda wake nyuma ya mapambano maana walikuwa wanapewa miezi 6 km wakitoboa hai wanakuwa huru.Kila siku mnadai Wagner PMC wanachukua wafungwa magerezani.
Ina maana Russia wafungwa ni wengi kuliko watu waliopo uraiani.
Maana hawaishi huko magerezani na wanachukuliwa tu kila siku.
Wazingatie sana some la ku eject seat la sivyo wataungua na kubaki majivu[emoji298]️Two Ukrainian pilots are currently at a military base in the US having their skills tested in flight simulators to see how much time they would need to learn to fly various US military aircraft, including F-16, CNN reported.[emoji298]
ScrepaMzigo unazidi kuwekwa [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255]View attachment 2540697
Sijui, je alijadili jambo lilelile? Ukipenda kuona video ile, nani anakuzuia?Mbona video za Profesa John Mearsheimer hujaziweka
Urusi amesema America haitaki vita viishe halafu wewe unasema wako taabani.West hali mbaya hii vita inawaumbua sana. Vifaru 14 vitasaidia nini sasa??
Mkuu ni kweli kuna makaburi mengi kila upande yanayosikitisha na kuhuzunisha, sioni tofauti. Ila nikamjibu mtu aliyeleta mada ya kundi la Wagner. Wagner wamepata umaarufu kwa namna yao ya kutumia wafungwa na kuwapeleka mbele bila kujali hatma yao.Hizo ni mbinu za Zelensky na viongozi wenzake anayafanya haya kwenye majimbo ambayo raia karibu wote wa majimbo hayo wanazungumza ligha ya Kirusi na hawataki kuwa chini ya utawala wa Zelensky - hapa anatumia mbinu
Mkuu tafadhali tazama vyanzo. Si maneno yangu, nimenukuu taarifa ya LeMonde. Maiti unazojadili zilionyeshwa katika video ya Wagner. Prigozhin mwenyewe anawaonyesha. Ukiona anafanya kazi kwa ajili ya "seasoned western media /western inept media" - basi shauri yako.Umushana, what ever your name is: what horrendus Russian losses in Ukraine are you talking about here? FYI, just two/three weeks ago reliable western intelligence agencies namely Israel Mossad and Germany intel all said Ukraine losses in this war is astronomical more than half a million killed and wounded in action, repeat, 500K+ Zelensky has never commented on these catastrophic losses instead is busy asking for more arms and funds to prolog war and get more Ukrainian killed and maim ed fighting a proxy war on behalf of his western masters who deep inside do not care about Ukranians as long as their hidden agenda agaist Russia are fulfilled at any cost.
Now back to the main point about gallant Wagner Group CEO - the whole story is obviously made up, who does not know seasoned western media lies especially if they dislike someone geopolitically and militarily they will always manufacture mickey mouse stories about them - take a closer look at the dead bodies diplayed here in for instance, actually bodies of men lined up on the snowy ground are Ukranian soldiers not Russian and worse still they might be still alive but putting up an act - remember the BUCHA incident where some so called corpes were seen brinking and breathing - Zelensky isn't an actor by acccident he knows is trade very well.
As I said above - we know western inept media propaganda like back of our hands - nowadays western main stream media are overly obsessed with Wagner Group CEO shelving Putin temporarily, know why? Because Wagner Group CEO is fulfilling his military obligation brilliantly putting to shame all 51 western Nations supporting Zelensky militarilly and financially thus why NATO are spending sleepless nights devising ways and means of demonising a Mighty and brilliant Prigozhin - even trying to draw a wedge between Russia defense minister and Prigozhin - lies of course there is no such in fight in Putins inner circle.
Waukraine wakiskia hivyo basi wanakuja ka nzi wanapukutishwa. Wagner wakiona maadui wanawaita Tena machinjioni kwa kelele utaskia.Tumeishiwa silaha.
Hatuna mahusiano mazuri na waziri wa ulinzi.
Njooni mutupige, tuna mapaurooo
View attachment 2540179
Ha ha na badoMtanena kwa lugha zote.
Bakhmut’s fall would not mean Russia is winning: Pentagon
![]()
Bakhmut’s fall would not mean Russia is winning: Pentagon
Over the past week fighting near Bakhmut has intensified, with Russian forces attacking from nearly all sides.www.aljazeera.com
Ni aibu kupoteza mji kwa wafungwa.Mkuu ni kweli kuna makaburi mengi kila upande yanayosikitisha na kuhuzunisha, sioni tofauti. Ila nikamjibu mtu aliyeleta mada ya kundi la Wagner. Wagner wamepata umaarufu kwa namna yao ya kutumia wafungwa na kuwapeleka mbele bila kujali hatma yao.
Karibu kuongeza picha za makaburi mengine.
Kiswahili hakiandikwi hivyo.Mkuu tafadhali tazama vyanzo. Si maneno yangu, nimenukuu taarifa ya LeMonde. Maiti unazojadili zilionyeshwa katika video ya Wagner. Prigozhin mwenyewe anawaonyesha. Ukiona anafanya kazi kwa ajili ya "seasoned western media /western inept media" - basi shauri yako.
Unamshangaa Zelenski kwa sababu hataji idadi ya askari anaopotea? Ajabu ya nini? Na Putin hataji namba zake. Wote wawili wanajua kwa nini.
Ukipenda kukana mgongano kati ya Prigozhin na uongozi wa jeshi - nakutakia heri! Si rahisi maana wote wanaweza kuona video za Prigozhin na kusikia maneno yake.
Hilo Western agent la wazi kabisa.Kiswahili hakiandikwi hivyo.
Hichi ni kiswahili cha Dochivelle(DW)
HIi account ni kwa ajili ya uzii huu pekee? Maana hujawahi post pengine.