Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,739
- 7,444
Wee chalii unarusha stimu kinoma unaleta mambo ya taarabu humu....Mkuu kama huwezi kujadili hoja unapendelea vioja?
"Hichi" na "hli" ni Kiswahili chako bora??
Kuwa na mzuka kuandika tu masela tumekisoma wewe sio Mtz kwahiyo chalii kuwa huru kuandika ila usituletee habari zako za (NIAMBIE ASKARI WANGU.) imekaaje mtoto wa kiume UNASKUMWA TOPE afu ni askari kabisa....WESTI MNAZINGUA KINOMA.
Mnatukata stimu kinoma wanaume wenzenu....... ACHENI UCHOKO.
OVER.🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺