Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona Wagner wameamua kutumia tactic ya kujifanya hawana silaha ili Ukraine wajitokeze bila kificho wachezee kisago interchange [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nimeshawasoma muda mrefu sana.
Wanasambaza misinformation ya kwamba:
Kwa sasa wapo weak... au
Jeshi la Ukraine lina nguvu sana au
Kwa sasa tumeishiwa silaha.

Yote ni kumfanya adui atoke mafichoni na ili uweze kusoma movements zake.

Kwa sababu adui alikuwa hataki mufanya movements zozote.

Na pia inakuwa ngumu kujua silaha za adui zimefichwa wapi ili drones zitumwe zikaziharibu.
 
Mi mwenyewe ni mkristo tena mlokole ila nailaani sana marekani na west kwa ujumla kwa uovu walioufanya na wanaondelea kuufanya duniani kote
Hakika naamini bila marekani dunia inawrza kuwa mahali salama kwa binadamu na viumbe vingineq
Ilaani na Urusi pia kwa uonevu huko Ukraine.....au laana yako ni kwa ajili ya uonevu wa Marekani tu ?
 
Kwani bado hiyo Bakhmut haijatekwa tu tangu mwaka jana mpaka sasa?

Lengo la Wagner PMC ni ku grind jeshi la Ukraine.
Yaani kuwasaga saga, na hii ndio maana halisi ya demilitalization.

Kwa hiyo, ndio maana unaona wanawapiga taratibu.
Wanawakusana (encirclements) na kuwa grind (kuwasaga saga).
Yaani kila mara lazima wawa encircle.
 
Kumbe huyu mwamba prigo hata wamarekani wameshindwa kumpata .then wanataka sisi tumkamate ......

Je Nani atamfunga paka kengele[emoji23]

The FBI is offering a reward of up to $250,000 for information leading to the arrest of Prigozhin.[16][17]
Sasa yeye kakosea Nini?Yeye amepewa contract na kampuni yake ni ya kijeshi!
Kwanini wasitoke donge Hilo nono Kwa mtu ambaye atafanikisha kupatikana Kwa Putin?Maana yeye ndiye aliyesign waraka kuruhusu Wagner na majeshi ya Russia kuingia Ukraine!
Halafu makao makuu ya Wagner yanajulikana,pia Putin alipo panajulikana!
Zawadi nono hutolewa Kwa watu ambao wanatafutwa na hawajulikani walipo!
 
Makao makuu ya Wagner ni Saint Petersburg,Russia!
Hao FBI si waende huko makao makuu wakamkamate!
 
Kumbe huyu mwamba prigo hata wamarekani wameshindwa kumpata .then wanataka sisi tumkamate ......

Je Nani atamfunga paka kengele[emoji23]

The FBI is offering a reward of up to $250,000 for information leading to the arrest of Prigozhin.[16][17]
Hahahahah kabla hujamu arrest lazma utakuwa ushapewa cheo cha hayati. Au Marehemu flani
 
Sasa yeye kakosea Nini?Yeye amepewa contract na kampuni yake ni ya kijeshi!
Kwanini wasitoke donge Hilo nono Kwa mtu ambaye atafanikisha kupatikana Kwa Putin?Maana yeye ndiye aliyesign waraka kuruhusu Wagner na majeshi ya Russia kuingia Ukraine!
Halafu makao makuu ya Wagner yanajulikana,pia Putin alipo panajulikana!
Zawadi nono hutolewa Kwa watu ambao wanatafutwa na hawajulikani walipo!
Upo sahih

Wahusika wakuu wote wanajulikana walipo na namba zao za simu wanazo

Sasa kwa nin wanatutafutia zahma sis kwa kututamanisha na hilo donge nono ilhali wanajua fika kuwa wao wananyenzo zenye weled kuliko sisi
 
Breaking news...

Mlikokuwa mnajifariji kuwa prigo anatumia spedi au nyundo kupigana[emoji1]

Russia’s Wagner Group of mercenaries has taken full control of the eastern part of Bakhmut, its founder Yevgeny Prigozhin said.

Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said the Russian army would have an “open road” into eastern Ukraine if it captures the besieged city of Bakhmut, US media reported on Tuesday.

Via Al Jazeera
 
Warusi wa nyamanolo bado tu hamjachukua bakhmut? Ni wiki ya pili sasa tangu muanze kusema mmezingira mji wote.
Kwani ulitakaje!!?? .... Ila nyie jamaaa udongo wenu sio huu tulioumbiwa wengine.... Sijui mmewekewa format Gani kichwani mwenu...au umeme wa ubongo wenu naoma itakuwa umepigwa shoti au mmejikata fuse tu!!?? ....hivi kweli mtu amekuchapa maeneo yooote hayo kachukua na bakhmut mnaikimbimbia bado unabeza!!?? U must be insane ... Some kind of insanity is in u.... Na sifuti. Ajabu sana
 
Upo sahih

Wahusika wakuu wote wanajulikana walipo na namba zao za simu wanazo

Sasa kwa nin wanatutafutia zahma sis kwa kututamanisha na hilo donge nono ilhali wanajua fika kuwa wao wananyenzo zenye weled kuliko sisi
Kwani Hilo donge nono wao hawalitaki!! Si wakamkamate kama Osama walipwe wao?? Shida nini!!
 
Katikati ya bakhumut [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
FqsmeUOX0Ak2dUV.jpg
 
Sasa yeye kakosea Nini?Yeye amepewa contract na kampuni yake ni ya kijeshi!
Kwanini wasitoke donge Hilo nono Kwa mtu ambaye atafanikisha kupatikana Kwa Putin?Maana yeye ndiye aliyesign waraka kuruhusu Wagner na majeshi ya Russia kuingia Ukraine!
Halafu makao makuu ya Wagner yanajulikana,pia Putin alipo panajulikana!
Zawadi nono hutolewa Kwa watu ambao wanatafutwa na hawajulikani walipo!
Kwa nini wasianze kuwakamata akina Bill Clinton kwa kuanzisha vita huko Yugoslavia, Bush Sr na Bush jr kwa kuhusika na vita ya Ghuba vilevile na kutumia mabom ya depleted Uranium yanayo sababisha cancer kwa vizazi na vizazi - akamatwe Nuland vile vile na seneta McCaine kama angekuwa alive kwa kuchochea mapinduzi na vita nchini Ukraine - madhambi ya hao hamuyasemi nyinyi masaa yote kuwakandia/nanga Putin na CEO wa Wagner Group mnajifanya kusahau atrocities na war crimes ambazo ziliwahi kufanywa na Western Nation na ushahidi hupo - eti mkamateni Putin.

Watu wengine bwana? Hivi mnamchukulia Putin kama kiongozi wa state ya 51 ya Merikani au, nani/taifa gani linaweza kuthubutu hata kujaribu kuifanya lolote Urusi,Putin au CEO wa Wagner Group, nani?? Kuna sababu maalumu kwa nini Urusi inajulikani kama Super power - hakuna taifa lolote Duniani linalo weza kuingia Urusi kivita -kumbuka kuna tofauti kubwa kati ya military operation na vita kamili - masuala ya SMO yanayo endelea huko Ukraine ni cha mtoto.
 
Back
Top Bottom