Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huko ndipo kilipo kichinjio kwa askari wa urusi [emoji23][emoji2][emoji28]View attachment 2541910
The Armed Forces of Ukraine have lost up to 130 servicemen and nine pieces of equipment in the Krasnolymansk direction over the past 24 hours. Subdivisions of the Russian Southern Group of Forces destroyed over 180 servicemen of the Armed Forces of Ukraine over the day during active operations in the Donetsk direction. Meanwhile, the Vostok grouping of the Russian Armed Forces in the Yuzhno-Donetsk and Zaporozhye directions destroyed over 65 Ukrainian military personnel, as well as a Msta-B howitzer over the past day.
 
main-qimg-5543cbbdd9727d994b5e70340c3d2863-lq.jpeg
main-qimg-5543cbbdd9727d994b5e70340c3d2863-lq.jpeg
 
Lengo la Wagner PMC ni ku grind jeshi la Ukraine.
Yaani kuwasaga saga, na hii ndio maana halisi ya demilitalization.

Kwa hiyo, ndio maana unaona wanawapiga taratibu.
Wanawakusana (encirclements) na kuwa grind (kuwasaga saga).
Yaani kila mara lazima wawa encircle.
Haha unaambiwa ratio ya 1:7 askari wa wagner na urusi kwa ujumla wanakufa mara saba zaidi ya ukraine. Sasa hesabu mwenzetu ulisomea chini ya mwembe?

Hapo nani anasagwa?
 
Huko ndipo kilipo kichinjio kwa askari wa urusi [emoji23][emoji2][emoji28]View attachment 2541910
Nimemueleza huyu dogo Nkuba25 anaesagwa ni Wagner na sio UA kama anavodai.

Hao wagner walikuja na tactic ya kuja vikundi vikundi wengi wanapigwa mpaka unachoka yani ni kama yale ma vietnam kwenye movie.
 
Nimemueleza huyu dogo Nkuba25 anaesagwa ni Wagner na sio UA kama anavodai.

Hao wagner walikuja na tactic ya kuja vikundi vikundi wengi wanapigwa mpaka unachoka yani ni kama yale ma vietnam kwenye movie.
Weka hizo video au picha za hivo vikundi na jinsi wanavyokula kichapo, otherwise endelea na wishful thinking
 
[emoji298][emoji298]Ukrainian President Volodymyr Zelensky has said that together with UN Secretary General Antonio Guterres, they supported the need to extend the Black Sea Grain Initiative.[emoji298]
 
Kuna kitu nmekugundua .hata CIA wameshindwa kujua......kuhusu huyu mwamba prigozhin [emoji23][emoji23] huyu jamaa ni jasusi

Anajifanya analalamika "oooh we're running out of ammunitions" vi Ukraine vinakimbia kushambulia ( kula kimasihara) ......kumbe ni mtego [emoji16][emoji16][emoji16]

Kweli vita ni akili + nguvu[emoji1][emoji1]
Umewaza vzr wanategwa kama panya .... Na kuamini kwamba Russia hawana maelewano na Wagner wanaingia kichwakichwa
 
Sasa yeye kakosea Nini?Yeye amepewa contract na kampuni yake ni ya kijeshi!
Kwanini wasitoke donge Hilo nono Kwa mtu ambaye atafanikisha kupatikana Kwa Putin?Maana yeye ndiye aliyesign waraka kuruhusu Wagner na majeshi ya Russia kuingia Ukraine!
Halafu makao makuu ya Wagner yanajulikana,pia Putin alipo panajulikana!
Zawadi nono hutolewa Kwa watu ambao wanatafutwa na hawajulikani walipo!
Bonge moja la point

Progo anatuma video yupo bakhmut anatuma chupa za mvinyo kwa wamama wa ukraine. Kama wao FBI hawana uwezo wa kwenda kumkamata wanataka nani aende!? Nani mwenye uwezo kuwazidi wao!?
 
Back
Top Bottom