Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]EU defense ministers have agreed to a proposal to provide Ukraine with immediate military aid, including 155mm and 152mm artillery shells, with EUR 1 billion to be allocated from the European Peace Facility for the reimbursement of the delivery.[emoji298][emoji298]
 
Kila siku vikao na makubaliano..
 
[emoji298]EU defense ministers have agreed to a proposal to provide Ukraine with immediate military aid, including 155mm and 152mm artillery shells, with EUR 1 billion to be allocated from the European Peace Facility for the reimbursement of the delivery.[emoji298][emoji298]
Wanazidi kumneemesha Zelensky.
Wacha walete hizo hela watu wazipige.
 
Unaongeleaje hizo losses
Mkuu umeleta tena takwimu hizi zinazodaiwa kuwa na asili katika huduma ya ujasusi wa Israel. Tumeshaona mara kadhaa.
Hadi leo haziaminiki. Sidhani majasusi wa Israel wanafanya makosa vile, na namba hizo si sahihi. Angalia tu idadi ya
vifaru vya Kirusi vilivyopotea: 889; Oryx wamekusanya picha za 1807 (katika namba kuna zaidi ya 500 zilizokamatwa na Ukraine);
ndegevita 23 - Oryx ina picha za 77,
artillery systems 427 - oryx ina picha za 758

Hizo ni zile tu zenye ushuda wa picha.
Unaweza kuangalia orodha na pia picha kwenye tovuti ya Oryx: Attack On Europe: Documenting Russian Equipment Losses During The 2022 Russian Invasion Of Ukraine
Yote ni hadharani.
 
Warusi wamechukua kijiji cha Vesele kilichopo karibu na mji wa Avdiivka.kuangua kwa Vesele ni pigo kubwa kwa vikosi vya Ukraine.

Warusi sasa wanaendelea kusonga mbele ili kukamilisha mzunguko wa kufunga mji wa Avdiivka.mapigano makali sasa yapo kwenye kijiji cha Krasnohorivka.
20230308_215145.jpg
 
Kichapo kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255]

[emoji298][emoji298]The Special Operations Center A of the Security Service burned the Russian heavy flamethrower system Solntsepiok as it was firing off another salvo.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298]Ukraine’s Armed Forces have received from Germany another two Gepard self-propelled guns and other defense assistance[emoji298][emoji298]
 
Ni mwendo wa kipigo tu

[emoji298][emoji298]Soldiers with the Ukrainian Armed Forces have hit enemy equipment in the temporarily occupied city of Enerhodar, Zaporizhzhia region.[emoji298][emoji298]
 
Raia wa Georgia hawataki kufungamana na fashisti Putin

[emoji1109]A new rally has started in Tbilisi, Georgia.

More than 10,000 people gathered in front of the parliament building.
 
[emoji298][emoji298]Ukraine and the United Nations will advocate for the continuation of the "Black Sea Grain Initiative" after March 18, when the deadline of the previous agreement expires, the President Zelensky said at a joint briefing with the UN Secretary General António Guterres.

[emoji328]: Twitter / United Nations
 
As of 2022, 41,000 women are a part of Ukraine’s Armed Forces, with 5,000 of these women serving on the front lines.

While women have always played an integral role in Ukraine’s Armed Forces, the percentage of women taking up arms to defend their country has increased to 15% since Russia launched its war against Ukraine in 2014.

Sources: armyinform.com, Military Media Center, NATO
 
Tulio save ile habari za hao jamaa kwamba Russia wameishiwa silaha Leo wanariport Kama ifutavyo.View attachment 2541647
Huyo Prigo anatumia mbinu hiyo kuwaita wanamgambo wa Ukraine machinjioni.
Kwa Hali ya kawaida Bakhmut haiwezi kuachwa ikaanguka kwa ukosefu wa zana.
Bahati mbaya mbinu za Prigo Ni za kipekee Sana. Yeye hufanya ile iitwayo Psychological warfare hebu cheki ishu ya kukusanya maiti na kuzituma zikazikwe kwa heshima afu checki pia ishu ya kulialia Kwamba Hana silaha.
The guy is full of surprise.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom