Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Finland May Regret Joining NATO When Everyone Sobers Up — Op-Ed

Editor-in-Chief of Russia in Global Affairs Fyodor Lukyanov details how Helsinki’s accession to the US-led bloc has seen its leaders embrace Cold War euphoria 30 years too late.

Get the breakdown on RT’s website:


Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
kuna mwanajukwaa alisema Bric ni umoja wa maskin,
Sio kwamba hawajui walisemalo ni uongo na ulaghai mtupu na dharau juu, basi tu - hawana hata habari kwamba GDP za BRICS zinazidi hata za so called G7,kuna baadhi ya waswahili wakiona taasisi au shirika lolote lina anzishwa bila ya Merikani kushirikishwa basi wanachukulia kwamba taasisi au chombo hicho haliwezi kufika mbali - nawambieni vyombo vya habari vya magharibi vimefanya kazi nzuri sana kuwa brain wash baadhi ya waswahili na Waafrika in General, uwambii kitu wakakuelewa hata kidogo - baadhi yao wana mawazo ya ajabu sana, wanafiliri bila Amerika Dunia itasimama kuzunguka kwenye muhumili wake, yaani kuna sehemu ya Dunia itakuwa ni mchana tu 24X7 na sehemu nyingine usiku tu 24X7 - wapo ingawa sio wengi lakini wapo!!
 
Na amekuwa akiwatetea sana, hadi wale walio kule China kwenye Camps
US hatetei waislam wala wakristu, usa anatafuta ndugu wawili wenye ugomvi...anachagua yule asie na haki..anampa pendekezo la kumlinda kwa mda kwa mkopo..then ampe nguvu ya kujilinda kwa kumuuzia silaha kwa mkopo..sasa wewe ukiwa madarakani kazi yako kukusanya kodi kutoka kwa wananchi unaowatawala na kuituma US
 
Tupate matangazo kutoka Kwa wadhamini wetu [emoji56][emoji56][emoji56]View attachment 2580126

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sweden na Finland sasa nao watawekewa idadi ya missiles zinazolenga kambi zao za jeshi kutokea Boda hio...ili NATO atakaerusha chochote urusi kinajibiwa na Nuke...ndio watakaposhtuka hawatasubutu kutupa hata jiwe urusi, na wameingia chama cha ugumu wa maisha kwa raia wa nchi zao na mpango wa kuchangia maendeleo ya US alie bara jingine.
 

Zelenskyy hosts iftar, slams Russian ‘repression’ of Crimea Muslims​

Zelenskyy has criticised Russia’s treatment of the Muslim-minority Tatar community in Kremlin-controlled Crimea and vowed to recapture the peninsula from Russia during a first official state iftar.

“Russia’s attempt to enslave Ukraine … began exactly with the occupation of Crimea, exactly with repressions against Crimean, Ukrainian and Crimean Tatar freedom and of Crimean Muslims,” he told Ukrainian Muslim leaders and ambassadors from Muslim countries.

The Tatar community, which accounted for 12-15 percent of the two million Crimea residents, largely boycotted the 2014 vote.
“There is no alternative for Ukraine, or for the world, other than the de-occupation of Crimea. We will return to Crimea,” Zelenskyy said, before handing out awards to several Muslim Ukrainian servicemen.

Zelenskyy, speaking at a mosque outside the centre of the capital, announced that Ukraine was beginning a new tradition of hosting an official iftar, the meal breaking the daily fast during the holy month of Ramadan.
Ameshindwa propaganda za kijeshi ameiga propaganda za US za udini...[emoji23][emoji23]
 
Duh
Sifa kubwa ya T-Bill ambayo ni hati fungani inayo tolewa serikali ya USA ni kuwa ukinunua lzm ulipwe sababu uchumi wa USA ni mkubwa sana kuwa defaulty.

Uchumi wenye GDP 26 trilion kwa mwaka na makao makuu ya makampuni karibu yote makubwa hauwezi kuporomoka!

China na Saudia na Moscow mabilione wake excess capital zao watanunua T-BOND za USA sababu wana uhakika wa usalama wa pesa yao.

Hata sijui kuanza kutumia currencies zao ni porojo za mitandaoni tu,wote watanunua T-bill kwa US dollar.

Tujadili uchumi wa nchi hizi,nipo tayari
Uchumi wa US sio halisi kama unavyoaminishwa na dollar paper zake duniani mkuu..ni uchumi uliojikopesha resorces za dunia badala ya uchumi uliojiwekeza kwenye resorces za ndani za United States.
 
Nilikuwa namsikiliza Mwamba Putin Akihutubia
kiukweli Jamaa Anavutia Sana Kwa Hotuba Zake Huchoki Kumsikiliza
Dodoso lake Kawakumbusha

wasitegemee Kuishinda Urusi kwenya Vita kamwe kamwe na Bado hawajaamua Kweli Kupigana
kwani Muda upo
Pia Kazungumzia Suala la Ushoga
Anasema Ni Jambo la Ajabu Mungu Kaumba Jinsia Mbili mke na Mume/Mwanamke na Mwanaume
haya wanayo yaleta West niyakupinga sana
Na Wao Hawapendi kuingiia Uhuru wa Watu lakini kwahili Hawata kubari lazima Walinde watoto wadogo na Hatari hii
 
Wachina wamemkomesha huyu majnuni wa kikee

After Ursula lectured China China throws Ursula into a common passenger line at the airport while leaving China - not through a VIP exit The German press noted that the President of the EC Ursula von der Leyen faced a real diplomatic humiliation as her ID was checked
View attachment 2582413
Daaah Kwamba china haiitambui EU

so hatuwezi kumpa u VIP hakika wamemu underate sana
 
Europe should reduce its dependence on the US and not be drawn into a confrontation between China and the US over Taiwan- Macron It seems that it was not Macron who returned from China, but a copy of him. High quality Chinese copy.
 
Nilikuwa namsikiliza Mwamba Putin Akihutubia
kiukweli Jamaa Anavutia Sana Kwa Hotuba Zake Huchoki Kumsikiliza
Dodoso lake Kawakumbusha

wasitegemee Kuishinda Urusi kwenya Vita kamwe kamwe na Bado hawajaamua Kweli Kupigana
kwani Muda upo
Pia Kazungumzia Suala la Ushoga
Anasema Ni Jambo la Ajabu Mungu Kaumba Jinsia Mbili mke na Mume/Mwanamke na Mwanaume
haya wanayo yaleta West niyakupinga sana
Na Wao Hawapendi kuingiia Uhuru wa Watu lakini kwahili Hawata kubari lazima Walinde watoto wadogo na Hatari hii

PUTIN ndo kioo cha Dunia kwa sasa.
 
IMG_0029.jpg

Mwaka mrefu sana huu
 
Back
Top Bottom