Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Binafsi hua simchukulii serious mtu ambae hayupo makini kwenye kuandika majina ya vitu, ni kama mtu anaevaa viatu kwa kuvikanyaga kwenye visigino ama mtu mzima anaetumia mtandao wa Tigo.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Mkuu!Ni kweli nimekosa umakini katika kuandika.ni matatizo ya kiuandishi(hususani majina ya vitu na watu kuanza na herufi ndogo but i will correct this next time)
 
Kijana!Matusi hayatakusaidia kuishi na watu vizuri na watu.siwezi kukuzuia kuamini unavyoamini.lakini hoja hujibiwa kwa hoja.matusi yanaonyesha kutokukomaa kiakili na kukosa ustaarabu na busara.
Najua muda mwingine umri unachangia haya ila nakushauri jielimishe!
Usiwe unazijibu kabisa hizi 'robot' zinazotukana ovyo, wataishia kukukwaza tu zaidi.
 
Russia hakupima kina cha maji kabla ya kuivamia Ukraine, alidhani itakuwa rahisi kama mwaka 2014 alivyochukua Crimea bila upinzani wowote.....tena hakufikiri kwamba nchi za magharibi zingethubutu kuisaidia Ukraine.

Matokeo ya huu uvamizi ni NATO kupanuka zaidi hadi mlangoni kwake baada ya Finland kuwa mwanachama mpya wa 31 na Sweden ikiwa njiani kujiunga pia.
Sasa Nati wapo 31 wanashindwa nini kuingia Ukraine kusaidia? Nato ni muungano wa nchi waoga kweli.. wanadhani wakiwa wengi ndio watamshinda urusi.
Vita ni mikakati na teknolijia, sasa subiri Nato wapeleke vikosi Finland tutapata majibu hapa hapa...
 
Muslim Nations Don’t Believe US Democracy Pledges — Gallup

According to the findings of a Gallup poll, a large concentration of people in Iraq and 12 other Muslim-majority countries are skeptical of the United States’ commitment to democracy-building.

The survey, which Gallup published on Friday, also showed that most people in those countries doubt Washington’s commitment to them to forge their political futures without some level of democracy-promotion oversight from the US.

The poll was released around the 20th anniversary of Operation Iraqi Freedom, the US-led campaign to topple Saddam Hussein from power which began in 2003.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
emoji630.png
emoji630.png
emoji630.png
emoji630.png
emoji630.png
emoji630.png
emoji630.png
emoji630.png
emoji630.png
emoji630.png
emoji630.png
emoji630.png

West In No Position To Lecture China On Ukraine – ambassador

Western countries have no right to give instructions to China regarding its relations with Russia and its stance on the Ukraine conflict, Chinese Ambassador to Moscow Zhang Hanhui has said during an interview with Russian newspaper Izvestia on Friday.

“It wasn’t the Chinese side that created the Ukrainian crisis. China isn’t a party to it and hasn’t provided arms to any of the sides of the conflict. The West isn’t in a position to give instructions to China, and even more so it doesn’t have the authority to relay the responsibility on it,” he said.

Beijing “doesn’t have its own interests in the Ukrainian issue... it doesn’t add fuel to the fire, doesn’t seize the moment in order to benefit from the crisis,” he pointed out. “We will continue to stand on the side of peace, dialogue and historical justice,” Zhang added.

Subscribe to RT

Mkwara tu huo; hayo ni matanki ya kutishia tu hayana lolote. Kutoka Special Military Operation, Denazification and Demilitarization hadi kufikia kuwa Survival War ujue kuna mtu maji yamemfikia shingoni. Tulifundishwa kuwa usiwashe moto ambao huwezi kuuzima kwani unaweza kukuchoma wewe mwenyewe; Putin hakupata elimu hiyo.
Hivi unajua vizuri back ground ya Putin mwenyewe pamoja na historia ya kweli kuhusu jeshi la Urusi likihamua kufanya kweli au unajesemea tu? Eti Putin anafanya mikwara na mapipa yake eti "mapipa yake!!"

Kuna jamaa mzalendo na mwelevu hapa amezungumza vizuri kuhusu baadhi ya waswahili kuwa overly brain washed na western media na Hollywood movies na kuchukulia wanayo yasikia na kuyaona ni kama ni kama Gospel truth huwambii kitu, wako hivyo hivyo, mradi kasema CNN,FoxNews,BBC yatakuwa ni kweli.

Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya waswahili wanawabudu sana mabeberu, hawakumbuki chochote kuhusu bara lote la Afrika lilivyo gawanywa vipande vipande na kuwa makoloni ya mataifa ya Ulaya kuporwa kwa vast naturally resources zake zikatumika kuijenga Ulaya - je, kwenye historia uliwahi kusoma popote ambapo Urusi au Uchina ziliwahi kushiriki kwenye mambo ya ukoloni au biashara ya watumwa - hakuna, sasa baadhi yenu kufikia hatua ya kubeza beza kila kitu anacho kifanya Putin kunatokana na nini, labda tuanzie hapo - hizi huruma zenu na maneno chungu mzima kuhusu Ukraine mbina hatukuzisika wakati NATO ilipo vamia Iraq kwa visingizio vya kitoto,mbona hatkusikia mkipiga kelele wakati NATO ilipo vamia former Yugoslavia - hata Libya ilipo vamiwa hatusikia kelele zozote zikilahumu Merikani mko kimya kabisa - double standard.

Hivi kwa mawazo yenu mnafikiri Putin alihamuka asubuhi moja na kukata shauri kuishambulia Ukraine bila sababu za msingi - Putin ni binadamu mwenye akili nyingi na busara, msidaganywe na media za magharibi, zenye lengo la kumwaribia sifa, some NATO/US troops Ukraine troops, mamluki na silaha zao nzito walizo pewa na mabeberu ndio walio kuwa wamepanga kuivamia kusini mashariki mwa Ukraine,Crimea na Urusi kwenyewe lakini kwa bahati nzuri Putin aliwawahi by excuting pre emptive strike -akavuruga mpango wao. wote ndio maana wanajaribu kumzulia maneno mengi ili aonekane ni mbaya.

FYI asilimia kubwa ya wanadamu hapa Duniani wanamweshimu sana Putin na kumchukulia kama ni jemedari wao wa kuikomboa Dunia dhidi ya mabeberu yaliyo kubuhu ingawa wanadamu wengi Duniani hawasemi hilo moja kwa moja - lakini wanamuunga mkono Putin kwa ujasiri wake wa kupambana na mabeberu ambayo yalisha fikia hatua ya kujifanya they own the entire World like it or not

Sasa Putin na wenzake wenye uwezo mkubwa kijeshi na kiuchumi wamekwisha kata shauri kisiri siri kwamba enough is enough, wataanza kupunguza nguvu za fedha za dollar kwanza, baadhi ya mataifa yataanza kufanya biashara kwa kutumia fedha zao au za Uchina.

Wamekwisha anzisha ushirika wao wa BRICS ambao utajihusisha zaidi na masuala ya biashara na kiuchumi na BENKI kubwa ya kutoa mikopo nafuu na riba ndogo kwa members kwanza, long term ya kuanzisha BENKI hiyo ni kutaka mataifa yapunguze kuwa tegemezi wa taasisi za kinyonyaji za World BANK na IMF ambazo mwanzilishi wake na share holder mkubwa ni Merikani yenyewe. Kuna baadhi ya watu wanadangaya makusudi kwamba BRICS ni kama NATO wakati hiyo si kweli hata kidogo - BRICS itajihusisha na masula ya fedha na biashara na sio masuala ya kijeshi na vita, mpaka sasa mataifa zaidi ya 20 yamekwisha tuma maombi ya kujiunga na BRICS, ni wazi inaelekea ushirika wa BRICS uta grow kwa kasi kubwa siku za usoni.

Hikiwa mbinu hizo za kuanzishwa tasisi mpya zakifedha,,uchumi na BENKI zikishindikana kuwatia adabu mabeberu specifically US, basi kitakacho fuata ni plan "B" ambayo utakuwepo ulazima wa kupigana vita baina ya NATO/US pamoja na Russia/Uchina/Korea Kaskazini/Iran who knows may be na Syria inaweza kuchangia ili kuutokomeza ujeuri wa Merikani na wenzake - hiyo itakuwa worst case scenario, lakini nani anaweza kuwalaahumu kumbe wafanyeje kumkomesha mchonganishi mkubwa Duniani na mpenda vita.
 
Hivi unajua vizuri back ground ya Putin mwenyewe pamoja na historia ya kweli kuhusu jeshi la Urusi likihamua kufanya kweli au unajesemea tu? Eti Putin anafanya mikwara na mapipa yake eti "mapipa yake!!"

Kuna jamaa mzalendo na mwelevu hapa amezungumza vizuri kuhusu baadhi ya waswahili kuwa overly brain washed na western media na Hollywood movies na kuchukulia wanayo yasikia na kuyaona ni kama Gospel truth huwambii kitu wako hivyo hivyo, mradi kasema CNN,FoxNews,BBC yatakuwa ni kweli.

Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya waswahili wanawabudu sana mabeberu, hawakumbuki chochote kuhusu bara lote la Afrika lilivyo gawanywa vipande vipande na kuwa makoloni ya mataifa ya Ulaya - je, kwenye historia uliwahi kusoma popote ambapo Urusi au Uchina ziliwahi kushiriki kwenye mambo ya ukoloni au biashara ya watumwa - hakuna, sasa baadhi yenu kufikia hatua ya kubeza beza kila kitu anacho kifanya Putin kunatokana na nini, labda tuanzie hapo.

Kwa mawazo yenu mnafikiri Putin alihamuka asubuhi moja na kukata shauri kuishambulia Ukraine bila sababu za msingi - Putin ni binadamu mwenye akili nyingi na busara, msidaganywe na media za magharibi zenye lengo la kumwaribia sifa.

FYI asilimia kubwa ya wanadamu Duniani wanamwesimu sana Putin na kumchukulia kama ni jemedari wao wa kuikomboa Dunia dhidi ya mabeberu yaliyo kubuhu, yanayo jifanya they own this entire World like it or not - Sasa Putin na wenzake wenye uwezo mkubwa kijeshi na kiuchumi wamekwisha kata shauri kisiri siri kwamba enough is enough, wataanza kupunguza nguvu za fedha za dollar kwanza, naadhi ya mataifa yataanza kufanya biashara kwa kutumia fedha zao au za Uchina.

Wamekwisha anzisha ushirika wao wa BRICS ambao utajihusisha zaidi na masuala ya biashara na kiuchumi na BENKI kubwa ya kitoa mikopo nafuu na riba ndogo kwa members kwanza, long term ya kuanzisha BENKI hiyo ni kutaka mataifa yapunguze kuwa tegemezi wa taasisi za kinyonyaji za World BANK na IMF ambazo mwanzilishi wake na share holder mkubwa ni Merikani yenyewe. Kuna baadhi ya watu wanadangaya makusudi kwamba BRICS ni kama NATO wakati si kweli hata kidogo - BRICS itajihusisha na masula ya fedha na biashara na sio masuala ya kijeshi na vita namataifa zaidi ya 20 yamekwisha tuma maombi ya kujiunga na BRICS inaelekea ushirika huo uta grow kwa kasi sana.

Hikiwa mbinu hizo za kuanzishwa tasisi mpya zakifedha na BENKI zikishindikana kuwatia adabu mabeberu specifically US basi kitakacho fuata ni plan "B" ambayo utakuwepo ulazima wa kupigana vita baina ya NATO/US pamoja na Russia/Uchina/Korea Kaskazini/Iran who knows may be na Syria inaweza kuchangia kuutokomeza ujeuri wa Merikani na wenzake - hiyo itakuwa worst case scenario, nani anaweza kuwalaahumu kumbe wafanyeje kumkomesha mchonganishi mkubwa Duniani na mpenda vita.
Well said na hasa hapo Kwa uweled wa Putin.. nakazia bila Putin kuivamia Ukraine saiv tungekuwa sjui phase ya ngapi ya COVID-19!!!
 
Russian scientist Mikhail Kovalchuk: "The United States has never been able to determine the alloy composition of Russian engines".

“Until now, the Americans are buying our RD-180 rocket engines, we have been selling them for many years. They disassemble it - assemble it, disassemble it - assemble it, but they cannot make metal”, he explained.

The scientist emphasized that few countries produce engines for fighter jets, because for this you need to be able to produce ultra high quality alloys

20230409_135506.jpg
 
Russian scientist Mikhail Kovalchuk: "The United States has never been able to determine the alloy composition of Russian engines".

“Until now, the Americans are buying our RD-180 rocket engines, we have been selling them for many years. They disassemble it - assemble it, disassemble it - assemble it, but they cannot make metal”, he explained.

The scientist emphasized that few countries produce engines for fighter jets, because for this you need to be able to produce ultra high quality alloys

View attachment 2582174
Not only assembling and disassembling but also trying over the years to reverse engineer the famous rocket engine booster - even their metallurgy labs have failed missible to determine microstructure and alloy composition of Russian stuff!!
 
Kama hizi ni propa"ganda", basi Mkuu tupe propa"mbegu"

Russia-Ukraine war: Rouble tumbles to lowest in a year​

Rouble falls to lowest against dollar and euro since April last year in the face of a foreign currency crunch in Moscow.

Russian 100-rouble banknotes are placed on a cashier's desk at a supermarket in the Siberian town of Tara in the Omsk region, Russia, December 14, 2021. Picture taken December


The rouble nosedived to 113 to the dollar after President Vladimir Putin ordered the invasion of Ukraine in February 2022 [Alexey Malgavko/Reuters]
Published On 7 Apr 20237 Apr 2023

The Russian rouble has suffered its biggest intraday fall of the year as it tumbled to the lowest levels against the dollar and euro since April last year in the face of a foreign currency crunch in Moscow and the sale of Western businesses in Russia.

The rouble nosedived to 113 to the dollar after President Vladimir Putin ordered the invasion of Ukraine in February 2022, though the Russian central bank and finance ministry stabilised the currency and it strengthened to 50 per dollar in July.

But since the West imposed a price cap on Russian oil – the lifeblood of the Russian economy – late last year, the rouble has weakened from about 60 per dollar to more than 80 this week.

On Friday, the rouble skidded more than two percent against the US dollar to an intraday low of 83.5.

Traders said the Russian currency was under pressure from a cocktail of problems including the sale of Western assets to domestic investors, which stoked demand for dollars, while lower oil prices in March cut export revenue.

The reported transfer of $1.21bn to Shell for its stake in the Far East Sakhalin-2 gas project was cited by traders as a major factor as the daily trade in the rouble-dollar pair is only about $1bn per day, down from more than $3bn a day before the war.

The rouble is the third-worst performer among global currencies so far this year, behind only the Egyptian pound and the Argentinian peso, calculations by Reuters news agency show.

Traders said the recent recovery in oil prices from last month’s declines is likely to support the currency in the coming weeks. Russia is the world’s second-largest oil exporter behind Saudi Arabia.

Oil prices fell in late March but have rebounded after banking turmoil in the West and an OPEC+ decision to cut output targets. Brent crude oil fell as low as $70 in late March but was trading at about $85 on Thursday.
SOURCE: REUTERS

​

​

​

​





​

​

​

​





​

​

​

 
Wasiotumia akili kufikiri ni wasiojua maana ya "Special military operation" na "Survival war." Kuna watu walifungwa miaka kumi na tano huko urusi kwa kusema tu kuwa nchi ilikuwa vitani dhidi ya Ukraine kinyume na matakwa ya serikali kuwa hiyo ni special military operation ya muda mfupi tu.
Mzee wangu Kichuguu kwa heshima uliyonayo hapa jukwaani pita tu bila kusema chochote. Usipikuwa makini utatukanwa. Nisingependa kuona hili.
 
Urusi sio Zimbabwe, sio kama hawapendi kumpa silaha
Zelensky za kushambulia ndani ya Urusi. NATO na nchi zote za ulaya wanaiogopa Urusi kuliko unavyodhani hilo taifa litakaloipa Ukraine silaha za kushambulia ndani ya Urusi itapigwa kama ngoma na umoja wao hawatakuwa na majibu
Hata mimi nimewaza kama wewe
Fikilia lile kombora limeanguka na mitambo yao yote hajaona kitu na lilirushwa mmoja tu kama onyo MaNato yote yakaanza kutafutana na kuweka vikao vyao kama kawaida wakaja na majibu kila mtu alishangaa, Nandio ikamfanya Saudia na Iran kuelewana 😁😁
 
Mungu ampe macho yanayoona sana Russia awashughulikie ipasavyo... Merika nadhani hawaamini katika Mungu
Be blessed mkuu, ukitaka kujuwa kwamba "the beginning of the end" wa Taifa hilo unakaribia chukulia mfano wa Waziri wake wa mambo ya nje anazunguka Duniani akilazimisha masuala ya SODOMA na GOMORA, juzi hapa ndio jasho linitoka baada ya kusikia hata Makamu wa Rais akiwa nchini Ghana akikazania mambo hayo hayo na kutishia kwamba wasipo kubaliana na matakwa ya Merikani kuhusu upuuzi huo basi Ghana watawekewa vikwazo vya kiuchumi, Makamu huyo wa Rais alikuja mpaka hata tanzania lakini for some reason hakusema kitu,namshukuru sana Rais kwa ujasiri wake mkubwa wa kuwa na msimamo kwenye masuala haya hatari na tatanishi.

Sasa haya mambo ya Taifa moja kulazimisha Dunia nzima ifuate matakwa yake ya kishetani ndio Mungu atawa shushia kitu kizito taifa hilo kama ilivyo kuwa Sodoma na Gomora, siku hiyo inakuja aidha kwa njia za Kimungu Mungu au Mungu kuyapatia nguvu za ziada ya mataifa fulani yenye nguvu za kijeshi kuungana na kuishambulia Merikani kijeshi kwa mpigo - watahakikisha inapigika kikweli kweli never to rise again na kuendelea kuwa tishio kubwa tena kwa amani Duniani.
 
Back
Top Bottom