Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

According to rumors, the chairman of the Joint Chiefs of Staff, General Mark Milley, who speaks widely and frankly for the US military on the Ukrainian conflict, will retire this fall amid growing strategic problems facing the United States.And the leak just creates the background for this.
 
Naomba nieleweshwe wakuu nimekuwa nikifatilia hii operation ya urusi tangu mwanzo ,ninachotaka kufahamu wanajeshi vitani wanakulaga chakula gani na kama cha kupikwa ni kwamba panatengwa mahali wanakuwa wanapikiwa kila mda na kusambaziwa au kinakuwa chakula let say cha makopo ambacho hukaa navyo mda mrefu wakiwa front ? Naomba ufafanuzi wa kina
Vile vifaru vya NATO kina leopard 2, challenger na Abraham vinatembea na housgirl ndani yake pamoja na masufuria 😊😊

Ni vikubwa kama nyumba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Waungwana mmemsoma huyu?

Kama haiwezi ingiliwa kwa nini iliondoka Urusi?

Walifunga rasmi biashara yao mwezi wa 12 mwaka 2022.

Unadhani kwa nini hawawezi kuingiliwa?
Kwamba wenyewe Wana immunity na vikwazo vya Magharibi?

Au ipo juu ya serikari ya Marekani na Ulaya?
Achana na hiyo ng'ombe mkuu utadhalilika.

Oparesheni ya Urusi imetufunulia kwamba mashoga hawana haya katika kunena wala kutenda.

Kuthibitisha hili angalia majibu tunayopewa humu na pro upinde... Ukigeuka kule angalia viongozi wa mataifa ya magharibi walivyo wapumbavu katika kunena na kutenda.

Wamelaaniwa tayari hivyo fahamu hazipo tena
 
Naomba nieleweshwe wakuu nimekuwa nikifatilia hii operation ya urusi tangu mwanzo ,ninachotaka kufahamu wanajeshi vitani wanakulaga chakula gani na kama cha kupikwa ni kwamba panatengwa mahali wanakuwa wanapikiwa kila mda na kusambaziwa au kinakuwa chakula let say cha makopo ambacho hukaa navyo mda mrefu wakiwa front ? Naomba ufafanuzi wa kina
NATO wajinga Sana waliwatumia chakula kilicho expire wanajeshi wa Ukraine[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
"""Russian forces still have time to leave, otherwise we will destroy them” — Zelensky 2023 “

""Russian forces still have time to leave, otherwise we will destroy them” — Hitler 1945
FtYnd1XaIAAPWqH.jpg
 
Anaweza kua Sahihi.Jasusi now days sio lazima awe mwanajeshi kama zamani.
Saivi dunia ishabadilika sana ujasusi umegawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni
1.Ujasusi wa kiuchumi,majasusi hawa sio lazima wawe wanajeshi bali inabidi wawe wabobezi wa biashara, utafiti wa kibiashara na hujuma za kibishara KWA nchi zingine au taasisi ,technolojia n.k kwa manufaa ya nchi yake.Na ndio wanatakiwa wawe washauri wa mambo ya kibiashara katika nchi husika ikiwemo ushauri wa miradi ya kimkakati
2.Ujasusi wa kidola.Huu ni ujasusi mkongwe zaidi hasa kwenye nchi za kijama asilimia kubwa ya majasusi hawa wanakuwa na elimu ya kijeshi kwa mfano kwa hapa bongo wengi wanakua recruited kutoka jeshi la polisi, magereza , uhamiaji,pamoja na JWTZ..Hawa wanahusiku na dola kuhakikisha dola inakua salama na mamlaka yake ndani na nje ya mipaka pamoja na usalama wa nchi kwa ujimla.

Na kwa hapa bongo ujasusi huu wa kidola upo imara sana, Ndio maana tunajivunia hii amani tuliyonayo. Ila ujasusi wa kiuchumi mhhh naona report ya CAG inajieleza.
3.Kuna ujasusi wa diplomasia ,propaganda na siasa katika nchi husika.Hawa jamaa ukiwapa nafasi ya kuongea umekwisha hapa kuna wapatanishi,washawishi,kuna wakubadilisha nyekundu kja nyeusi kwa maneno tu.

Tukiridi kwenye mada putin alikua anafanya ujasusi unaohusiana na jeshi,kupata taarifa nyeti za kijeshi siraha na n.k.kwa mktadhaa huu lazima alikuwa na elimu ya kijeshi hakua raia.
Kipindi cha zamani majasususi wengi walikua na elimu ya kijeshi kwa sababu mda mwingi kulikua na matishio ya kivita.

Lakini kwa sasa ujasusi umebezi sana kwenye kutumia technolojia na hakili sana, taarifa nyingi zinatafuwta kwa njia ya kitecknolojia zaidi.

KWA wezetu mtu anaweza kua amekaa zake nchi moja lakini anachunguza nchi nyingine kwa kutumia mitambo.lakini pia kwa kuiba document nyeti kwa njia ya hacking.Ujasusi wa kutumia minguvu na wakuapear physically kwenye eneo la uchunguzi umeanza kupotea.japo hajwezi potea kabisa.
Nb.ili nchi iweze kuendelea lazima nyanja zote za ujasusi zishirikiane, pia lazima wao ndio wawe wa zarendo wa kwanza wa nchi yao.

Pili wanasiasa wasiwatumie kwa maslahi yao binafsi.lazima wajue wao wapo kwa ajili ya maslahi ya nchi kwanza na sio wanasiasa au mtu maana mtu anapita ila nchi itabaki kuwepo.
Umejibu "kwa Sasa" ..wakati wa Ujasusi wa Putin ni Sasa !!?? Naomba ujijibu
 
Pamoja na mabomu yote jamaa bado Wana uwezo wa ku-export energy [emoji845][emoji779]



[emoji298][emoji298]Ukraine this year plans to export more #electricity to #Europe than in 2022.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuwa makini na lugha zako kwa sababu huwa niko sensitive sana dhidi ya lugha mbovu zinazotumiwa na ninaojadiliana nao.

Makampuni ya nchi za west siyo ya serikali, ni ya kila mtu; hata mimi na wewe tunaweza kuwa na shea huko. Yakienda sehemu kufanya biashara siyo kuwa yanakwenda kufanya biashara kwa niaba ya serikali ya Marekani au Uingereza, yanakuja kufanya biashara katika nchi friendly ambako watapata faida.

Halafu kusema kila mtu aliyeko West ni Shoga ni tusi ambalo ningeshauri ulifikirie kwa makini kulitumia. Huwezi kusema kuwa Obama au Trump au King Charles kwa vile tu ni watu wa Magharibi basi ni wao wote mashoga. Maneno ambayo Trump alisema Waafrika wote ni animals akalaumiwa wewe usitake kuhalalisha maneno yake, kwani ndio mwanzo wa ubaguzi, jambo ambalo lilisumbua sana bala la Afrika. Kuwa makini na lugha zako.
Kwa hili siwezi pita bure ase.
Upotoshaji wowote unapaswa kupingwa kwa nguvu zote.

Unapata vipi nguvu ya kutetea mtetea Uchoko (upinde)?
Huwezi ukamtofautisha mtetea uchoko na uchoko wenyewe.

Sio kila alieko marekani ni ***** ila kila anaetetea au ku-Support uchoko nae ni ***** vilevile.

Labda nipate jibu kutoka kwako ili nifanye conclusion ya ninayofikiri kichwani kwangu juu ya ww.
-Je naww ni miongoni mwa wateteaji wa haki za mashoga?

(NAOMBA UNIJIBU HILO SWALI TAFADHALI)

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo nakwambia kwamba wewe ni mfuasi wa nadharia za za kusoma sana. Kama Iringa watu wana uwezo wa kununua mahindi gunia kwa shilingi mia lakini Dar watu wana uwezo wa kununua gunia hilo kwa shilingi Elfu na wote wanapata gunia lao bila mahangaiko nani ni tajiri baina ya Iringa na Dar? PPP metric inapima hivyo; ndiyo maana nikakuambia itumie kwa umakini.
Hivi unajua PPP inapimwaje !!? Hivi Iringa na Dar wanatumia currency tofauti!!?? ...
 
Pamoja na mabomu yote jamaa bado Wana uwezo wa ku-export energy [emoji845][emoji779]



[emoji298][emoji298]Ukraine this year plans to export more #electricity to #Europe than in 2022.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pamoja na kukatika umeme tz bado tuna mpango wa kuuza nje yaani mwaka huu hutatawaacha[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom