Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hilo ni shimo lako tunalishangaa, Wewe ni wakala wa kutangaza hiyo michezo ndo maana umeiandika mara nyingi sana.
View attachment 2583843
Bwana TSH na wewe una akili za kurushiana matusi kama hivo sijawahi kuona ukitukana toka opereshen ya urrusi huko ukraine ianze so endelea na ile hekima ya tokea mwanzoni mkuu matusi hayakupendezi mkuu
 
Wasiotumia akili kufikiri ni wasiojua maana ya "Special military operation" na "Survival war." Kuna watu walifungwa miaka kumi na tano huko urusi kwa kusema tu kuwa nchi ilikuwa vitani dhidi ya Ukraine kinyume na matakwa ya serikali kuwa hiyo ni special military operation ya muda mfupi tu.
Sasa mzee ingekua ni vita hii kitu ingewezekanaje? Nchi ikiwa vitani mnacheza mpira? Wapi uliona? Hao mashoga wanawadanganya mnakubali kwamba Urusi anaifanyia ukatili wa kivita Ukrain, wale ni watu wa jamii moja km Kenya na Tz au Ug.....mmoja kakaribisha taifa adui linalotumia hila nyingi kuvuna rasilimali za wengine kwa utapeli wa vita na migogoro, wewe chungulia tuu taifa lolote lenye mgogoro flani..lazima umkute supporter wa mgogoro ni US na UK..chunguza kote dunia nzima...hataki ujirani mwema,anapenda mgombane awauzie silaha...
Fungua ubongo Kamshinikiza German apeleke Leopard2 ila yeye sasahivi kagomea Abram zake..anapeleka tarehe mbele, ili Leopard zikishapigwa na Urusi na kuonekana zimepgwa kama Himmers zilivyopoteza mvuto basi yeye hatapeleka Abrahm ukrain, atamlazimisha Zelensky kufanya peace agreemen then Abrahm itabak silaha yenye ushawishi kwa west...ndio silaha itakayofanywa Hot cake ulaya..awauzie west wote...maana ndio itabak Tank isiyo na kashfa .silaha yako iklipelekwa ukrain ikapigwa nani atanunua silaha zinazopigwa na machepe ya KK.security ya Putin?
US ana nia ovu nyingi za kila namna, nia nyingine ya US ni kumsaidi UK kuibomolea German ushawish ndani ya NATO, maana ndio nchi ya pili Ndani ya NATO baada ya Turkey inayombishia US baadhi ya mambo yake,ref: ukaidi wa German kukubali bomba gesi Nord stream wakati US alikua anataka yeye ndio aziuzie west gesi na mafuta kama sasa.. US hana ujiran mwema hata kidogo ndio maana anajenga ukuta wa kujitenga na Mexico kwa kisingizio cha madawa..wakati wanunuzi na wasambazaji wakubwa wanatokea US..
IMG-20230411-WA0000.jpg
 
NATO to Hold Largest-ever Air War Games While Real War Rages in Ukraine’s Skies

NATO has announced that it will hold its largest air exercise since the beginning of the Cold War in June.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Waache kufanye simulation... waende Ukraine kwenye real war.
 
[emoji845] Flight restrictions over Ukraine will continue until 2029.

The European Organisation for the Safety of Air Navigation (Eurocontrol) in its seven-year forecast notes that restrictions on flights in the airspace of Ukraine, Russia, Belarus and Moldova will remain in place until 2029.

It is specified that the matter concerns a return to the usual routes of aircraft.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
kwanini wasiweke 2099? Hii ni loopholes ya US+west economy..
 
Bwana TSH na wewe una akili za kurushiana matusi kama hivo sijawahi kuona ukitukana toka opereshen ya urrusi huko ukraine ianze so endelea na ile hekima ya tokea mwanzoni mkuu matusi hayakupendezi mkuu
Kisu kimegusa mfupa kiongozi.... Siku hizi wanaropokwa tu matusi ... Wamesahau ndio walikuwa wanajinasibu wastaarabu.... Uraaaaa
 
Another Fake: Russian Sites Say US Wants Ukraine to Attack Russia

International fact-checking service discovers Russian propaganda website publishing doctored quotes from senior White House Security Council official.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukrainian Lawmakers Restore Bonus Remuneration to Military

The parliament has passed a law, which provides for the restoration of an additional payment of Hr. 30,000 to all military personnel, as well as to rescuers and police officers.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The initial plan of the Russians to seize #Ukraine’s capital #Kyiv was designed for a short-term operation lasting three to five days, as was once done by the USSR in Hungary, Czechoslovakia, and Afghanistan.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mauzo ya oil and oil products ya Russia yameongezeka kwa 490 thousands barrels per day ukilinganisha na kipindi kabla ya hizo "western sanctions".

Hii imetokana na hao hao westerns kuendelea kununua kwa wingi sana.

Unajua kuna watu wanafikiri kwamba oil ni kama nyanya tu hivi, easy to substitute. Characteristics ya oil ya Russia ni tofauti kabisa na oil ya sehemu nyingine.

Na vilevile, viwanda vya Europe vimekuwa designed kwa ajili ya mafuta ya Russia.
Screenshot_20230411-135802_Telegram.jpg
 
As long as ni makampuni yalisajiliwa Marekani basi yatafuata sera za kiuchumi za Marekani au Ulaya ikiwa yamesajikiwa Ulaya.

Umeshindwa kuonyesha kwamba sera za nchi ya Marekani haiathiri hayo Makampuni?
Kama kweli Makampuni yote Merikani ni truly independent - mbona yalipo amriwabna Serikali ya Merikanii kujiondoa huko Urusi mbona karibu zote zili comply to the letter - tatizo letu kuu waswahili ni kusifia every thing American, hata sijui kwa nini - mbona sasa Wajerumani wamehamua kumwandikia barua Putin kwamba wanataka makampuni yao ya uundaji magari yaanze tena shughuri zake huko Urusi - Wajerumani wanaona mbali, muda si mrefu makampuni mengine ya mataifa mengine yatafuata mkondo wa Ujerumani na sio sera za wivu na roho mbaya ya watawala wa Merikani. FYI Urusi inaendelea kuchimba na ku export mafuta bila ya so called taaluma za kampuni ya Exxon - kwani Exxon ni nani katika masuala ya Petroleum industry.
Naam leo nimeqoute "Smart brain" wawili kwa mkupuo.

Kwanza nianze kwa kucheka maana show kali 🤣 kisha kuwapa pole kwa nguvu mnazotumia tatu kuwapa hongera kwa ufafanuzi mnaotoa kwani kwa wenye uhitaji wa kujifunza sio kubishana kuna kitu ama vitu wanapata kupitia maongezi yenu.

Nachoona tu hapo kuna wenye kujikuta wanajua ila hawajui, na hawajui kama hawajui kwasababu wanaona wote wenye mitizamo na yao sio lolote si chochote.

Niungane tu na Pro Putin mmoja hapa aliesema kwamba kwa namna anavyozungumza jamaa sina hakika hata kama ana uwezo wa kumiliki kampuni. Nasema hivyo kwasababu kila anachoandika yuko nje ya uhalisia. Na ni wazi hajui A Ba Cha Da za kampuni sasa anawezaje kulimiliki.

Popote pale duniani, labda kama kuna sayari yao hawa wenzetu. Kampuni ni legal entity ambayo inakua registered na state husika. Kampuni hiyo as legal entity itaishi, itafanya kazi kwa kufata sera za state iliposajiliwa. Hapo ndio tunakutana na Hizi taasisi husika ambazo kazi yao kuu ni kuziregulate hizo kampuni mfano kwa hapa TZ jukum hilo linafanywa na BRELA on behalf of Government.

Na mara baada ya kampuni husika kusajiliwa linakua kama vile limepewa "uraia". Hapa ndio huwa tunasikia kampuni la Uchina, Kampuni la Japan, Kampuni ya Tanzania, Kampuni ya Zambia etc,... Na ikitokea likataka fanya shughuli nje ya State iliposajiliwa huenda kuomba ridhaa eneo husika kama sie tunavyonyanyuka kwenda kuomba Visa kwenye mabalozi ya nchi tunazotaka kwenda.

Pia, Ilivyo Passport kama dhamana ya utambuzi wa sehem tunayotaka kwenda... Certificate of Incorporation ya kampuni ambayo hutolewa na State ilipo sajiliwa huwa ndio dhamana yake ya utambuzi. Je hivi leo ukifutiwa uraia, utapokelewa nchi jirani kama nani? Leo kampuni iende kinyume na matakwa ya wasajili ifutiwe usajili itafanya kazi ugenini kama wakina nani?

Any way hiyo ni just intro, then tugusie vipengele ambavyo nasema naungana na yule mdau aliyesema jamaa kwa anayoongea hana hicho kitu anachojinasibu hapa kwamba anacho zaidi ya kujikweza kijuha na kipumbafu tu.

Mosi ni Sakata la Huawei, Google and Others US Companies waliambiwa na nani waache kufanya biashara na Huawei? Je yalikua ni Maamuzi yao? Kwanini walitiii? Hii issue ina karibu miaka minne na inaonesha namna gani alivyo mweupe!

1000004253.jpg


Kwamba zinajiamulia tu, ok na hawa ikawaje tena? Vipi kama anamiliki kampuni unakosaje kujua issue kama hizi? Vipi hawa nao walijiamulia? Kwanini wametiii kama wana uhuru wa kujifanyao walitakalo.

1000004256.jpg


Juu hapa kwani Biden ni CEO wa hizo Companies? Ni Shareholder? Ni Beneficiary? Why atoe maamuzi na wao wafate hata kama yapo kinyume na dira ya kampuni zao? Kwanini wametii ma hawajaamua kufanya watakalo?

Pili, Jambo lingine hata kwa akili ya kawaida tu, kila kampuni hufanya Annual return na kuiwasilisha kwa mamlaka husika. Kama ni kujiamulia tu wasipoziwasilisha huwa wanafanywa nini na kwanini ni lazima?

Ama vipi ukijisajili unataka fanya biashara ya kuku halafu ukaenda fanya biashara ya mbao, utafanywa nini? Issue si kujiamulia tu? Unamiliki vipi kampuni ushindwe kujua vitu kama hivi?

Come on! Mbali na hilo kila kampuni lina secretary, kuna jukum ambalo huwa analifanya wengine pia huajiri mtu special kwa ajili hiyo wanapenda kumuita Legal and Compliance Officer. Ambae kazi ake kuu ni kuhakikisha Kampuni inafanya kazi kwa kuzingatia Sheria na utaratibu (Law and regulations) za nchi husika. Kama ni kujiamulia tu huyu huwa anaajiriwa ili iweje? Unamilikije kampuni ushindwe jua na hilo?

Turudi kwa Russia, Vikwazo vimewekwa na serikali za West. Why companies follows maamrisho hayo kama wao ni kujiamulia tu? Kila kampuni huanzishwa kwa lengo la kutengeneza faida na sio hasara... Wamepoteza billions of dolali, je wamependa? Haya hapo wanamtiii nani hadi kua hiari kupoteza alot of Money kwa ajili ya maamuzi yasiyo yao?

1000004258.jpg


Moja ya vitu ambavyo huwa vinatizamwa na Wawekezaji katika kuanzisha kampuni sehem yoyote ile huwa ni Political Stability ya eneo husika? Ashawah kujiuliza kwanini?

Tusiongee sana wacha niweke kituo japo kwa hayo machache.

Ila bongo tuna upuuzi sana, Pretending kujua vitu ambavyo hatuvijui tena kwa kukashifu wale wanaojaribu kutusahihisha, so funny 🤣. Team upinde hiyo limbwata mlopewa na US nahisi itaisha labda mkiwa chini ya Ardhi. Hayo mahaba hata Shetan anayaogopa.

Hii Special Op imekuja na mengi, na moja wapo sikuwah amini kama TZ kuna watu wa sampuli hii nayo ishuhudia tena hasa hapa JF walio kua wanajitapa kwa kujiita GT kumbe ni ..........

Mwisho niirudie ile kauli ambayo huwa napenda kuisema, kua na upande si dhambi, kua na mahaba jambo la kawaida ila yakikufikisha hali ya kuidhinisha maji ya mchele kua ni maziwa STOP. Huo ni UTAHIRA 👋.
 
Back
Top Bottom