Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG_20230411_144050.jpg
 
Sasa mzee ingekua ni vita hii kitu ingewezekanaje? Nchi ikiwa vitani mnacheza mpira? Wapi uliona? Hao mashoga wanawadanganya mnakubali kwamba Urusi anaifanyia ukatili wa kivita Ukrain, wale ni watu wa jamii moja km Kenya na Tz au Ug.....mmoja kakaribisha taifa adui linalotumia hila nyingi kuvuna rasilimali za wengine kwa utapeli wa vita na migogoro, wewe chungulia tuu taifa lolote lenye mgogoro flani..lazima umkute supporter wa mgogoro ni US na UK..chunguza kote dunia nzima...hataki ujirani mwema,anapenda mgombane awauzie silaha...
Fungua ubongo Kamshinikiza German apeleke Leopard2 ila yeye sasahivi kagomea Abram zake..anapeleka tarehe mbele, ili Leopard zikishapigwa na Urusi na kuonekana zimepgwa kama Himmers zilivyopoteza mvuto basi yeye hatapeleka Abrahm ukrain, atamlazimisha Zelensky kufanya peace agreemen then Abrahm itabak silaha yenye ushawishi kwa west...ndio silaha itakayofanywa Hot cake ulaya..awauzie west wote...maana ndio itabak Tank isiyo na kashfa .silaha yako iklipelekwa ukrain ikapigwa nani atanunua silaha zinazopigwa na machepe ya KK.security ya Putin?
US ana nia ovu nyingi za kila namna, nia nyingine ya US ni kumsaidi UK kuibomolea German ushawish ndani ya NATO, maana ndio nchi ya pili Ndani ya NATO baada ya Turkey inayombishia US baadhi ya mambo yake,ref: ukaidi wa German kukubali bomba gesi Nord stream wakati US alikua anataka yeye ndio aziuzie west gesi na mafuta kama sasa.. US hana ujiran mwema hata kidogo ndio maana anajenga ukuta wa kujitenga na Mexico kwa kisingizio cha madawa..wakati wanunuzi na wasambazaji wakubwa wanatokea US..View attachment 2584276
Na kwa kuongezea ni kwamba US kwa hila ameharibu bomba la mafuta ili yeye awe ndie muuzaji mafuta mkuu kwa EU badala ya Russia.

Russia alijenga bomba la Nord Stream " ili wendeleze mahusiano mema na EU pamoja na hilo la biashara lakini US kwa hofu kuwa anapoteza influence kwa EU ndo akaja na huo uzandiki kwa kufanya upanuzi ili siku ikifika waivamie Russia mazima.

Russia wana ramani za mipango yote yangia 2014 na wamesema wazi nini khasa lengo la US/NATO kujitandaza karibu yake.

Hivyo Russia amewawahi kabla ya wao kufanya chochote.
 
Wewe unaandika ujinga hadi unakera..et poor judgement..hivi unajua Putin alifanya nini mara baada ya waandamanaji kuvamia ofisi ya KGB -East Germany???
Jamaa ana mahaba na marekani, huyo anayemuita ni poor judgement ndiyo huyo huyo aliitoa urusi kwenye minyororo ya west ya madeni hadi kufikia urusi kuwa na uchumi wa kujitegemea
 
Urusi na China hawazuiwi kusambaza base za kijeshi iwapo uwezo unawaruhusu. Ni swala la kukabiliana na mapambano nje ya mipaka ya nchi. Magaidi kama Alshabab wanakibiliwa huko huko kwao kabla hawasambaa sehemu nyingine. Sasa hivi China nayo ina kambi ya jeshi hapo Red sea na Urusi wana kambi ya jeshi Syria; mbona huwaulizi. Wao kushindwa kumudu kambi nyingi za kijeshi siyo jambo la kutetea kwani nao wanataka wawe na kambi hizo lakini hawazimudu.
Daaah wee jamaa, kama urusi na China hawazuiwi kuweka base kwanini marekani alitishia kuchukua hatua Kali dhidi ya visiwa vya Solomon Kwa kitendo Chao cha kuruhusu mchina kujenga base????
 
Naam leo nimeqoute "Smart brain" wawili kwa mkupuo.

Kwanza nianze kwa kucheka maana show kali [emoji1787] kisha kuwapa pole kwa nguvu mnazotumia tatu kuwapa hongera kwa ufafanuzi mnaotoa kwani kwa wenye uhitaji wa kujifunza sio kubishana kuna kitu ama vitu wanapata kupitia maongezi yenu.

Nachoona tu hapo kuna wenye kujikuta wanajua ila hawajui, na hawajui kama hawajui kwasababu wanaona wote wenye mitizamo na yao sio lolote si chochote.

Niungane tu na Pro Putin mmoja hapa aliesema kwamba kwa namna anavyozungumza jamaa sina hakika hata kama ana uwezo wa kumiliki kampuni. Nasema hivyo kwasababu kila anachoandika yuko nje ya uhalisia. Na ni wazi hajui A Ba Cha Da za kampuni sasa anawezaje kulimiliki.

Popote pale duniani, labda kama kuna sayari yao hawa wenzetu. Kampuni ni legal entity ambayo inakua registered na state husika. Kampuni hiyo as legal entity itaishi, itafanya kazi kwa kufata sera za state iliposajiliwa. Hapo ndio tunakutana na Hizi taasisi husika ambazo kazi yao kuu ni kuziregulate hizo kampuni mfano kwa hapa TZ jukum hilo linafanywa na BRELA on behalf of Government.

Na mara baada ya kampuni husika kusajiliwa linakua kama vile limepewa "uraia". Hapa ndio huwa tunasikia kampuni la Uchina, Kampuni la Japan, Kampuni ya Tanzania, Kampuni ya Zambia etc,... Na ikitokea likataka fanya shughuli nje ya State iliposajiliwa huenda kuomba ridhaa eneo husika kama sie tunavyonyanyuka kwenda kuomba Visa kwenye mabalozi ya nchi tunazotaka kwenda.

Pia, Ilivyo Passport kama dhamana ya utambuzi wa sehem tunayotaka kwenda... Certificate of Incorporation ya kampuni ambayo hutolewa na State ilipo sajiliwa huwa ndio dhamana yake ya utambuzi. Je hivi leo ukifutiwa uraia, utapokelewa nchi jirani kama nani? Leo kampuni iende kinyume na matakwa ya wasajili ifutiwe usajili itafanya kazi ugenini kama wakina nani?

Any way hiyo ni just intro, then tugusie vipengele ambavyo nasema naungana na yule mdau aliyesema jamaa kwa anayoongea hana hicho kitu anachojinasibu hapa kwamba anacho zaidi ya kujikweza kijuha na kipumbafu tu.

Mosi ni Sakata la Huawei, Google and Others US Companies waliambiwa na nani waache kufanya biashara na Huawei? Je yalikua ni Maamuzi yao? Kwanini walitiii? Hii issue ina karibu miaka minne na inaonesha namna gani alivyo mweupe!

View attachment 2584301

Kwamba zinajiamulia tu, ok na hawa ikawaje tena? Vipi kama anamiliki kampuni unakosaje kujua issue kama hizi? Vipi hawa nao walijiamulia? Kwanini wametiii kama wana uhuru wa kujifanyao walitakalo.

View attachment 2584302

Juu hapa kwani Biden ni CEO wa hizo Companies? Ni Shareholder? Ni Beneficiary? Why atoe maamuzi na wao wafate hata kama yapo kinyume na dira ya kampuni zao? Kwanini wametii ma hawajaamua kufanya watakalo?

Pili, Jambo lingine hata kwa akili ya kawaida tu, kila kampuni hufanya Annual return na kuiwasilisha kwa mamlaka husika. Kama ni kujiamulia tu wasipoziwasilisha huwa wanafanywa nini na kwanini ni lazima?

Ama vipi ukijisajili unataka fanya biashara ya kuku halafu ukaenda fanya biashara ya mbao, utafanywa nini? Issue si kujiamulia tu? Unamiliki vipi kampuni ushindwe kujua vitu kama hivi?

Come on! Mbali na hilo kila kampuni lina secretary, kuna jukum ambalo huwa analifanya wengine pia huajiri mtu special kwa ajili hiyo wanapenda kumuita Legal and Compliance Officer. Ambae kazi ake kuu ni kuhakikisha Kampuni inafanya kazi kwa kuzingatia Sheria na utaratibu (Law and regulations) za nchi husika. Kama ni kujiamulia tu huyu huwa anaajiriwa ili iweje? Unamilikije kampuni ushindwe jua na hilo?

Turudi kwa Russia, Vikwazo vimewekwa na serikali za West. Why companies follows maamrisho hayo kama wao ni kujiamulia tu? Kila kampuni huanzishwa kwa lengo la kutengeneza faida na sio hasara... Wamepoteza billions of dolali, je wamependa? Haya hapo wanamtiii nani hadi kua hiari kupoteza alot of Money kwa ajili ya maamuzi yasiyo yao?

View attachment 2584312

Moja ya vitu ambavyo huwa vinatizamwa na Wawekezaji katika kuanzisha kampuni sehem yoyote ile huwa ni Political Stability ya eneo husika? Ashawah kujiuliza kwanini?

Tusiongee sana wacha niweke kituo japo kwa hayo machache.

Ila bongo tuna upuuzi sana, Pretending kujua vitu ambavyo hatuvijui tena kwa kukashifu wale wanaojaribu kutusahihisha, so funny [emoji1787]. Team upinde hiyo limbwata mlopewa na US nahisi itaisha labda mkiwa chini ya Ardhi. Hayo mahaba hata Shetan anayaogopa.

Hii Special Op imekuja na mengi, na moja wapo sikuwah amini kama TZ kuna watu wa sampuli hii nayo ishuhudia tena hasa hapa JF walio kua wanajitapa kwa kujiita GT kumbe ni ..........

Mwisho niirudie ile kauli ambayo huwa napenda kuisema, kua na upande si dhambi, kua na mahaba jambo la kawaida ila yakikufikisha hali ya kuidhinisha maji ya mchele kua ni maziwa STOP. Huo ni UTAHIRA [emoji112].
Nashukuru brother na afadhali umekuja ili uongezee nyama maana hawa watu ni hatari hata kwa Taifa letu ikiwa watashika Uongozi
 
Sielewi kwa nini hutambui kwa Urusi ndiyo iliishambulia Ukraine, Marekani akasita kidogo kufanya maamuzi ya kuisaidia Ukraine halafu baadaye akatambua kuwa ahadi zitamsuta mbeleni kwa vile makubaliano na Budapest Memorandum yalizitaka nchi za Urusi, Uingereza na Marekani zihakikishe usalama wa Ukraine ili Ukarine iachie silaha zote za Nyuklia ilizokuwa nazo ziende Urusi baada ya USSR kuvunjika.

Sasa Urusi ambaye ni mmojawapo wa signatories wa hiyo Budapest Memorandum ndiye anakuwa wa kwanza kuvunja makubaliano hayo. Kama marekani au Uingezereza walikuwa na nia mbaya na Urusi wasingeshiriki kuhakikisha kuwa sialaha zote za Nyukilia zilikuwa zinamilikiwa na USSR zinakwenda Urusi. Kumbuka kuwa Urusi unayojua leo siyo USSR ya cold war.

Nimewahi kuwakumbusha watu hapa kuhusu picha hii Budapest Memorandum. Kama huijui hiyo memorandum basi itafute uisome ndipo utajua kwa uingereza na marekani wamekuwa mstali wa mble kuisaida Ukraine baada ya kushambuliwa na signatory mmojawapo wa memorandumu hiyo.

AP_9412050636%20%284%29.jpg
Sikupingi na wao wamevunja makubaliano ya kuitanua NATO, na kupereka siraha karibu na mipaka ya urusi
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20230411-163847.jpg
Emmanuel Macron, president of France, clarified his position on the future of Europe and its relations with China and the U.S. in the short term. Returning from his visit to Beijing, Macron believes that Europe should avoid getting caught up in a conflict between the U.S. and China, and reduce its reliance on the U.S. dollar to avoid becoming “vassals,” applying his concept of “strategic autonomy.”

Emmanuel Macron Believes Europe Should Remain Autonomous Regarding U.S. and China

French President Emmanuel Macron recently revealed his stance on the current geopolitical and…

Continue Reading


News Source: French President Emmanuel Macron States Europe Must Reduce Its Dependence on the US Dollar to Avoid Becoming 'Vassals' – Economics Bitcoin News



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Elewa kuwa makampuni hayakulazimishwa kuondoka, ila yaliombwa yaondoke na yakakubali kwa msingi huo. Kuna kampuni moja haikuondoka hadi leo. Kwa makapuni ya biashara wateja ni watu wa muhimu sana. Ukiwaambia kuwa watakosa wateja nchi zote za Magharibi kwa sababu ya ushiriki wao Urusi yenye wateja kidichu tu wanajua jinsi ya kuitikia.
Kwa Sheria za Marekani kampuni itafuata matakwa ya serikali Yao na kukataa ni kujimaliza
 
Back
Top Bottom