Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tunaposema Marekani ni mashetani muwe mnatuelewa. Mkusanyiko mkubwa mchini marekani wa dini ya shetani umefanyika na huku wakichana biblia na kumtakia shetani maisha marefu.
View attachment 2606425
At the largest gathering of Satanists in the history of the United States, Bibles are torn to the cries of "Long live Satan"

☦️ Jesus take the wheel
TUNASUBIRI AJE KUFANYA HIVYO HUKU RUSSIA
 
Kuhusu mapungufu hilo kila mmoja analo.

Kuhusu kuniuliza jee siwezi kuishi bila ya mzungu naweza sana ila há pá hatukujadili mtu binafsi.

Tulichokuwa tukajadili angalia comments za juu nini kinajadiliwa.

Ndio maana nikasema hamwezi kutoa hoja bila ya kumjaji mtu na kumtolea maneno hayo mabovu??

Swali kauli zilizokuwa zinawezakumtweza mwenzako jee mtu anawezakuzitoa kwa wazazi wake?


Narejea tena hatujaweza kujitegemea kwa lolote kama nchi. Kama tunaweza kuanzia sasa tufanyeni hivyo.
Kila mmoja anayo mapungufu yake, ila yako unayaendekeza kwa kuzidiwa mahaba na Western countries.

Af unaonekana unapenda sana kubembelezwa ww, ni kauli gani niliyokupa inakufanya ujilalamishe zaidi ya wiki nzima?
Kaza wakiume ww.
(Au nimekosea ubashiri wa jinsia yako?)

Af sijakuelewa juu ya jibu lako la kuniambia ww unaweza kuishi bila wazungu ila Nchi haiwezi ishi bila wazungu.
Nchi ni nani kwani?
Nchi inawategemea wazungu kwaajili ya nani?

Ninyooshee sawa hiyo mikanganyiko hapo juu ili tuendelee kueleweshana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
First Republic Bank Seized By US Regulators

The embattled First Republic Bank has been taken over by regulators and will be sold to JPMorgan Chase, the California Department of Financial Protection and Innovation (DFPI) announced on Monday.

America’s biggest bank, will “assume all deposits, including all uninsured deposits, and substantially all assets” of First Republic, according to a statement issued by the Californian regulator.

Last week, a massive sell-off wiped out 75% of the bank’s stock value, following the disclosure that it had lost more than $100 billion of deposits in the first quarter of the current year.

Subscribe to RT
 

Hazina kubwa kabisa ya silaha
msikilize bosi mtata wa Wagner PMC.

"I can arm one million people”: Prigozhin showed the treasures of Soledar mines.

The head of PMC Wagner, Yevgeny Prigozhin, showed a part of the old Soviet military warehouses, located in the old mines near the city of Soledar, formerly at disposal of the Kiev government.

Prigozhin said that a huge amount of obsolete small arms, such as the Thompson submachine gun, PPSh-41 submachine gun, among others, and ammunition for them, are stored there.

According to the head of “Wagner”, all weapons are in excellent condition and usable.

“I can arm one million people,” said Prigozhin and proposed to use these weapons to arm the people's militia of Belgorod, Bryansk and Kursk regions, regularly suffering from attacks by the Ukrainian army.

Soledar was liberated by PMC Wagner in January.

@ukraine_watch
 
Ataendelea kuwajaza wanamgambo wa Ukraine kwenye 18
1772252329.jpg
 
View attachment 2606468
Hazina kubwa kabisa ya silaha
msikilize bosi mtata wa Wagner PMC.

"I can arm one million people”: Prigozhin showed the treasures of Soledar mines.

The head of PMC Wagner, Yevgeny Prigozhin, showed a part of the old Soviet military warehouses, located in the old mines near the city of Soledar, formerly at disposal of the Kiev government.

Prigozhin said that a huge amount of obsolete small arms, such as the Thompson submachine gun, PPSh-41 submachine gun, among others, and ammunition for them, are stored there.

According to the head of “Wagner”, all weapons are in excellent condition and usable.

“I can arm one million people,” said Prigozhin and proposed to use these weapons to arm the people's militia of Belgorod, Bryansk and Kursk regions, regularly suffering from attacks by the Ukrainian army.

Soledar was liberated by PMC Wagner in January.

@ukraine_watch
Nakumbuka zililetwa habar zinazomuhusu huyu jamaa kulalamikia swala la ukata wa silaha
 
Nakumbuka zililetwa habar zinazomuhusu huyu jamaa kulalamikia swala la ukata wa silaha
Usimwamini huyu mkuu. Juzi hapa alizungumza na waandishi wa habari na kuwambia kuwa leo tumesimamisha vita Kwa kuwa Kuna waandishi kutoka marekani wanakwenda Bukhmut kupiga picha wakiongozwa na askari wa ukrein. Baadae jioni akasema hizo ni mbinu za kivita.
 
Hadi kufikia Leo nimejiridhisha rasmi kua hii SMO ni kati ya Urusi na NATO.
Hii ni vita ya pande mbili,kati ya Urusi na NATO.kuanzia Leo Mimi lee van Cliff sinta iita ni vita kati ya Ukraine na Urusi,Bali ni kati ya Urusi na NATO.
Kubali kataa,huo ndio ukweli wenyewe.
Na kwa mwenendo wa vita,NATO wanaendelea kushindwa.
Sababu zinazonifanya niite ni vita rasmi kati ya Urusi na NATO ni kama ifuatavyo.

Ukweli ni kwamba,jeshi la Ukraine ni sawa kabisa na jeshi la NATO isipokua tu linakosa uhalali wa kisheria ili kua jeshi rasmi la NATO,kwa sababu linapata Kila linachokitaka kutoka NATO.

Nchi ya Ukraine ni nchi sawa kabisa na nchi wanachama wa NATO isipokua inakosa TU uhalali wa kisheria ili kutambulika kama mwanachama mwingine wa NATO.
Kwa sababu Kwa Sasa mipango yote ya vita inafanywa wanajeshi wa ukraine kwa ushauri wa makamanda wa NATO.

Nchi ya Ukraine tangu 2014 imekua ikipewa mafunzo ya kijeshi na nchi Viongozi za NATO ambazo ni USA UK German na Fra.

Ukraine imekua ikipata mafunzo Bora kabisa Kwa viwango au standard za NATO kuliko hata baadhi ya nchi wanachama wa NATO, kutoka Kwa hizo nchi Viongozi wa NATO.

Nchi ya Ukraine ilijengewa na USA UK na hata German ngome Bora kabisa na miundombinu madhubuti kabisa Kwa viwango vya NATO za kijeshi Kwa ajili ya vita kubwa kama hii tuanayoiona Leo.

Ukraine licha ya kua na silaha zake tokea awali,lkn liipewa kabla ya SMO hii na hata wakati wa smo hii silaha Bora kabisa kutoka USA UK German Fr na wanachama wengine wa NATO na wasio wanachama wa NATO.

Wakati vita hii inaendelea nadhani wote ni mashuhuda, kua michango ya silaha inapelekwa Ukraine Kila siku ili iendelee kupigana na Urusi.

Kwa sababu hii,ni kua Ukraine ni jeshi la NATO linalopigana na Urusi.

Kwa mtazamo wangu Ukraine ni jeshi la NATO linalopigana kwa niaba ya NATO kwa kutumia mafunzo ya NATO,kwa kutumia silaha za nato dhidi ya taifa la Urusi.

Iko hivi, haihitaji wala sio lazima kwa wanajeshi wa NATO kutoka USA,UK,Fra,Her wala Poland kuingia vitani moja kwa moja dhidi ya Urusi ikiwa nchi hizo za NATO zinaweza kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Ukraine kwa standard ama viwango vilevile zinavyoweza kutoa kwa wanajeshi wao,yaani wanajeshi wa NATO..
Sasa hebu jiulize,kama NATO wanaipa mafunzo,wanaipa silaha,wanaipa taarifa za kiintelijensia,wanaipa ushauri ,wanaipa fedha nchi na jeshi la Ukraine ili kuishinda Urusi lakini wameshindwa kuishinda,ni nini kimebaki ili waweze kuishinda?

Kama kweli NATO hawalipi jeshi la Ukraine mafunzo Bora,silaha Bora,taarifa kamili Sasa wanasubiri Nini?wanasubiri walipe lini?
Je kwa Nini wanakubali vijana wanajeshi wa Ukraine waendelee kupoteza maisha?
Kubali kataa Urusi inapigana na NATO ,na NATO wameishindwa Urusi.
Ni Nini bado hawajafanya ambacho wakikifanya Urusi itashindwa?
Maana kama ni vikwazo vimekwisha.

Kama USA na UK na pengine German ndio wanalifundisha jeshi la NATO.
Na kama hao hao ndio wanalifundisha jeshi la Ukraine,basi NATO kwa Urusi kashindwa
Kwa kumalizia ni kwamba mafunzo ya kijeshi anayopewa mwanajeshi wa Ukraine ni swa kabisa na mafunzo ya kijeshi anayopewa mwanajeshi wa NATO.
Kwa sababu hiyo Urusi inapigana na NATO.
Sio TU mafunzo hayo walifundishwa toka 2014 Bali wamekua wakiendelea kufundishwa Hadi Leo.
Wanafundishwa kupigana kwa standard za NATO na pia wanafundishwa kutumia silaha za nato.
Kwa sababu hiyo Urusi inapigana na NATO,na kwa sababu hizo NATO wanaelekea kushindwa maana Sasa hivi Ukraine inaenda kuanguka,sitegemei mabadiliko yoyote kuweza kuishinda Urusi.
 
Back
Top Bottom