Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Muda wa kuachana na boeing umewadia.
 
Mwezi wa nne pekee Ila kipanya kaleta taarifa kwamba Russia imepoteza 20,000 je kwa idadi hyo toka December kwa Ukraine Ni wangapi?
 
Huyu ndie anayelalamika vita imemshinda anataka akimbie Bhakmut sababu hawana silaha za kutosha 😀😀😀
 
[emoji1] kuwaelewa ni kazi sana hawa viumbe.
Ndomana wadau humu wanasema hawa washirika wa West wana fikra za ulimwengu wao ambao mwanadam wa kawaida huwezi waelewa.

Sijui wamepigwa limbwata la aina gani aloo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Yanayowapata waukraeni huko bukhmunt . Halfu mtu kutoka kibera ana chonga saaaana



◾ Ukrainian report somewhere in the meat grinder:

◾The trenches are full of unrecovered bodies. There is no support, no heavy weapons, no ammunition, no food. Abandoned by the command.
Your browser is not able to display this video.


◾Follow:
t.me/UkraineHumanRightsAbuses
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…