kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Utaona kitakachowapata UkraineNaona sana Hawa neo Nazi wanalitafuta! Inasemekana Jana walijaribu kutuma drone za Mabomu Kremlin.
Habari kutoka Sputniknews- feed
===
Kwa taarifa zaidi.
Ukrainian assassination attempt on Putin foiled – Kremlin
Ukraine launched an unsuccessful drone attack against the residence of President Vladimir Putin in Moscow, his office claimedwww.rt.com
Hivi Russia wakishambulia Bunge au ikulu ya Ukraine wataitwaje?Naona sana Hawa neo Nazi wanalitafuta! Inasemekana Jana walijaribu kutuma drone za Mabomu Kremlin.
Habari kutoka Sputniknews- feed
===
Kwa taarifa zaidi.
Ukrainian assassination attempt on Putin foiled – Kremlin
Ukraine launched an unsuccessful drone attack against the residence of President Vladimir Putin in Moscow, his office claimedwww.rt.com
Na wamesema, majibu ya mapigo ya tukio hili kwa walioamua kufanya jambo hili wataamua ni wakati gani wayatoe. Nadhani wanataka wafanye Uchunguzi kwanza wamjue hasa aliyeamrisha ugaidi huu washughulikie yeye kama yeye !!!Hivi Russia wakishambulia Bunge au ikulu ya Ukraine wataitwaje?
Hatuogopi mkipiga tutapiga yaani ni mwendo wa piga nikupigeUkraine imejaribu kutuma drone kushambulia Kremlin,zote zimekuwa intercepted!
Russia imesema itajibu vikali Kwa jaribio Hilo na inalichukulia kama ugaidi na kwamba ni assassination attempt dhidi ya Rais wa Russia!
Kremlin imepigwa na drone
Huoni Ukraine anapata madhara makubwa juzi watu 24 waliuawa.urusi hawapati madhara makubwa.Hatuogopi mkipiga tutapiga yaani ni mwendo wa piga nikupige
Mvamizi na mvamiwaHuoni Ukraine anapata madhara makubwa juzi watu 24 waliuawa.urusi hawapati madhara makubwa.
Ukraine wawasikilize warusi wataisha wakiendelea kukaza Akili.juzi Tu raia 24 waliuawa.Mvamizi na mvamiwa
Piga tupige,Ukraine wawasikilize warusi wataisha wakiendelea kukaza Akili.juzi Tu raia 24 waliuawa.
Sawa,lakini majibu yake Huwa makali Kwa Ukraine halisi!Hatuogopi mkipiga tutapiga yaani ni mwendo wa piga nikupige
Tatizo mnatumia drone kwahiyo madhara ni madogo subiri sasa warusi watume makombora mpaka Bungeni au ikulu.Piga tupige,