Mkuu yaani kwa kuwa amekana basi hatakiwi kuwa CIC!?(hii haipo sawa)Basi kama hajahusika basi hastaili Tena kuwa CIC wa Ukraine kwa sababu hana Tena maamuzi ya namna nchi yake ikabili SMO. Apishe ama apishishwe kwa uzembe wake huu!!!
Hata hivyo Alisha Saini decree ya kutofanya mazungumzo na Moscow mpaka Putin aondoke, kwa hiyo tukio la Leo yawezekana alitaka amuondoe Putin ili afanye mazungumzo na Moscow!!! Yaani alijiwekea mitego mwenyewe kujimaliza! Analo hili Zelensiky!
Sio kweli mkuu, mimi ninacho tumia hapa ni real logic (boolean) na sio fuzzy logic.Mkuu wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana kila habari usiyoipenda ukaiita propaganda(i means si kila habari unayoita propaganda ni kweli propaganda)
Hapana ni drones za Ukraine.Hizo drony zilitoka kumuua pootin zitakuwa za NATO/USA
Sahv hawana drone, Wakati juz hao hao wameishambulia crimea na drone wakachekelea[emoji38]Mbuzi kafia kwa muuza supu[emoji28][emoji28][emoji28]
It is not me, I swear! We don't have weapons to defend our villages!! What drones attack? Me? Nooo.
Ni maneno ya raisi wa Ukraine akipinga kuhusika na shambulio la drone dhidi ya Kremlin. [emoji3]
Kwa drone attak za Ukraine ndani ya Moscow umeanza kuziskia leo mkuu?Kusema drone kutoka ukraine hadi moscow sio rahisi itakua imetoka ndani ya urussi
Arudi aongoze mapambano,Naona zelensky kashakimbilia finland kudadeki kazi anayo
Zelensky ana washauri wa hovyo sanaBasi kama hajahusika basi hastaili Tena kuwa CIC wa Ukraine kwa sababu hana Tena maamuzi ya namna nchi yake ikabili SMO. Apishe ama apishishwe kwa uzembe wake huu!!!
Hata hivyo Alisha Saini decree ya kutofanya mazungumzo na Moscow mpaka Putin aondoke, kwa hiyo tukio la Leo yawezekana alitaka amuondoe Putin ili afanye mazungumzo na Moscow!!! Yaani alijiwekea mitego mwenyewe kujimaliza! Analo hili Zelensiky!
Umesoma Aya ya pili ya bandiko langu ulilonukuu?so sikutarajia uje na hoja nyepesi bila evidences!
🤣🤣🤣🇸🇮🙌Mbuzi kafia kwa muuza supu[emoji28][emoji28][emoji28]
It is not me, I swear! We don't have weapons to defend our villages!! What drones attack? Me? Nooo.
Ni maneno ya raisi wa Ukraine akipinga kuhusika na shambulio la drone dhidi ya Kremlin. [emoji3]
Labda hufuatilii huu Uzi,naomba nikukumbushe kidogo.Kama hausiki ni sahihi kusema ahusiki. Kusema ahusiki hakuzii dhamira ya adui yake bali ni kuweka wazi kuwa ahusiki.
Why Zelensky akimbie kama sio yy?Kusema drone kutoka ukraine hadi moscow sio rahisi itakua imetoka ndani ya urussi
Watoto wa uswahilini tunasema "anadanga"🤣🤣Na leo zele kala kona huko finland
Hasa baada ya lile shambulio Kule lviv kwenye bunker,limewaumiza sana NATO.Hizo drony zilitoka kumuua pootin zitakuwa za NATO/USA
Acha uongo,leta ushahidi kwamba walipata ruhusa kutoka UN.Si sahihi(japo walipata baraka za UN) lakini pia si sahihi Russia kuivamia Ukraine(kwa mtazamo wako)
Kaenda uholanzi ngoja tusubiri kikao kwanza.Na leo zele kala kona huko finland
Sijui baada ya hizo ziara ataenda wapi?Ati "makes surprise visit" yaani sasa hivi andonje amekuwa wa kuvizia kwenye ziara kama mwizi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] SI alisema ana bastola,au? Hii dunia inaenda kasi sana.
Ukraine’s Zelenskyy makes surprise visit to Netherlands: Media
Zelenskyy is expected to visit the International Criminal Court, which has issued an arrests warrant for Vladimir Putin.www.aljazeera.com