jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Si wanasema kuwa anatoroka kwa siri kama ile nguchiro
Na kadrone kenyewe ni kadogo sana.Kusema drone kutoka ukraine hadi moscow sio rahisi itakua imetoka ndani ya urussi
Kama alivyopakwa mafuta marekani.Hilo shambulizi la drone ni kionjo tu,subirini kichapo kamili,hapa zelensiky bado anamuandaa Dem kabla ya kuanza kumpelekea moto rasmi, Hivyo tulieni hivyo hivyo [emoji28][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizi ni analysis ambazo zinaweza kuwa sahihi kabisa ila weakness ni moja tu kuwa muhusika ameshasema sio yeye.Labda hufuatilii huu Uzi,naomba nikukumbushe kidogo.
Wakati Wagner PMC walipoonekana kuutwa mji wa Bakhmut,Zelensky alitoa Amri wanajeshi wa Ukraine wasirudi nyuma(Retreat),hata baada ya Jenerali kumuomba afanye hivyo. Zelensky alisema wazi,ikiwa Bakhmut itaanguka,Urusi itachukua maeneo mengine ya nchi bila kipingamizi, pia west huenda ikafa morali ya kulipa silaha Kyiv,sasa mwelekeo ni kwamba,Ukraine inamiliki 4% ya Bakhmut,na counter offensive inaonekana kudoda, huu hapa ushahidi.👇
Ukraine's Leopard, Challenger Tanks 'Punctured' By Rasputista As Kyiv's Counteroffensive Gets Stuck In The Mud
Ukraine’s Defense Minister Oleksii Reznikov recently announced that preparations for a counteroffensive were “coming to an end”. However, as the anticipation for a mammoth Ukrainian military operation grows, there are concerns that Ukraine’s soggy black mud won’t allow it just yet.eurasiantimes.com
Zelensky ameipiga Kremlin Kwa "desparetion". Yaani last kick of dying horse.
Achana na zele, Zelensky ni kama mwizi tu anayetaka kuisumbua mahakama. Unajua nini matokeo ya kuisumbua mahakama?Hizi ni analysis ambazo zinaweza kuwa sahihi kabisa ila weakness ni moja tu kuwa muhusika ameshasema sio yeye.
Tafsiri yake ni kuwa tukitaka oficial report itabaki kuwa Kremlini imeshambuliwa ila Zele kakataa kuhusika na serikali ya Urusi inamshutumu kuwa kahusika hizo nyingine ni personal analysis, mwingine anaweza leta analysis akasema ni false flag ili kumaliza vita kibabe.
Jembeee [emoji1218][emoji635][emoji123][emoji123]Hii hatarii
Russia’s Medvedev calls for ‘elimination’ of Zelenskyy
Russia’s ex-president Dmitry Medvedev has called for the “physical elimination” of Zelenskyy after Moscow accused Kyiv of a drone attack on the Kremlin.
“After today’s terrorist attack, there are no options left aside the physical elimination of Zelenskyy and his cabal,” said Medvedev.
Duh! Kule drone, huku...[emoji23][emoji28]Krasnodar on fire
Ana bwabwaja , asubir FBS[emoji635][emoji1218] waje na data za kumtafunaZelensky ajitetea [emoji23][emoji23]
denies attacking the Kremlin
Zelenskyy denies attacking the Kremlin or Russian President Vladimir Putin.
“We don’t attack Putin, or Moscow; we fight on our territory,” Zelenskyy told a news conference in Helsinki.
Earlier on Wednesday, Russia accused Ukraine of a failed attempt to assassinate Putin in a drone attack on the Kremlin.
[emoji19][emoji4][emoji240][emoji240]Hizi drone wanaweza wakawa wametuma urussi wenyewe
Usidhani zelensiky ni kama yule nguchiro aliyezoea kuishi kwa mashaka, zelensiky yupo sana [emoji28]Jembeee [emoji1218][emoji635][emoji123][emoji123]
Jiandae ukakalie lock up Moscow au uwe mzoga chapu kama utakuw hapo ukrain