Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Unaamini Venezuela italipa madeni ambayo yameshatazamiwa yamekufa? Venezuela imejichimba shimo kiasi, watafurahi kila senti ili warudishe kidogo hali ya kawaida (pamoja na wote wenye mamlaka ambao zamani waliweza kushiba, na sasa baada ya kuharibu nchi wameanza kuona njaa...)Uzuri , Venezuela atapanga bei bila kutumia kipimo cha dola. Na hiyo hela atampa Russia kumalizia deni.
Tena yawezekana, Russia ndiyo kamuagiza US apeleke hela huko Venezuela kulipa faini ya kumsababishia usumbufu wa kudemilitarise na ku denazify Ukraine.
===
Povu ruksa kwa watakao ghadhabika na bandiko hili.
Utamchafuchaje aliyejizamisha katika matope???CNN ni mamluki kama TBC ya mmarekani😂😂😂 story za kimbeya tu za kuichafua Urusi
Naam na kuna maelezo apo mengine hayapo ambapo alisema angekuwa yeye angemtishia kufungia mazima Oil Imports ya Mrusi....Trump announced the threat of a third world war.
According to the ex-president of the United States, the situation around Ukraine could develop into a global conflict, since there is "no one to talk" with the leadership of the Russian Federation in the White House.
“This could lead to a third world war, I see what is happening. Because if you think that Putin will stop: it will get worse and worse, he will not accept it. And we have no one to talk to him, ”RIA Novosti quotes him.
Trump added that supposedly no one was as "harsh" with Russia as he was. But despite Biden's "weakness, cowardice and incompetence," he said, there is still a way to resolve the situation diplomatically.
Galip SV Liwagu View attachment 2148698
Meya aachiwa bila Marinda - CNNTatizo ataachiwa akiwa hana marinda we wanaume wanaugwadu hawajaona papa mwezi sasa
Kati yetu na nyinyi nani amepanic nynyi ndo mmepanic mpaka mmeamua kukodi jihadist na hapo mwanzo mlijinasibu kuwa mna jeshi chuma kumbe jeshi lenu ni la mabuwa cheche moja shamba zima la mabua linaungua
Tupo pamoja Mkuu, Kherson imetembea, na aliyesababisha mfanya vurugu kwa raia wake kuwa na kiburi kwa karibu miaka nane analipa gharama bila kupenda.Unaamini Venezuela italipa madeni ambayo yameshatazamiwa yamekufa? Venezuela imejichimba shimo kiasi, watafurahi kila senti ili warudishe kidogo hali ya kawaida (pamoja na wote wenye mamlaka ambao zamani waliweza kushiba, na sasa baada ya kuharibu nchi wameanza kuona njaa...)
Mkuu Wewe mwerevu Kuna mtu humu amekuomba bando la kupiga porojo? Kafanye kazi uje utuuzie bidhaa na malighafi sisi wajinga,yanini utupangie kipi Cha kufanya,by the way kila mtu huwa ana interest zake maishani,kwanini wewe wataka kutufanya tuwe na interest moja na tuzifuate za kwako?Afrika jinga sana, badala ya kuhangaika na matatizo yetu,sie tunakaa nyuma ya keyboard Kushabikia ya wenzetu huko.
Kuna huyu jamaa kaniacha hoi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa sijui kama Urusi inaogopwa kiasi hichi tena Marekani na NATO wamesema hadharani kuwa hawataingilia vita ya Urusi na Ukraine
Poleni sana Ukraine nyinyi sio wa kwanza kufanyiwa hivyo walishafanyiwa Iraq, Afikhanstani, na Libya
Unashangaa?? Kwa nini? kanuni za Nato ni wanajitetea wakati mwanachama anashambuliwa. Ukraine si mwanachama wa NATO.Nilikuwa sijui kama Urusi inaogopwa kiasi hichi tena Marekani na NATO wamesema hadharani kuwa hawataingilia vita ya Urusi na Ukraine
Poleni sana Ukraine nyinyi sio wa kwanza kufanyiwa hivyo walishafanyiwa Iraq, Afikhanstani, na Libya
Poland ajiangalie sana naona kama vile bado ajamuelewa vzr Putin anamanisha niniWatu 9 wauawa baada ya majeshi ya Russia kuishambulia ngome kubwa ya kijeshi ya Ukraine ambayo hutumika kufanya mazoezi ya pamoja ya kivita kati ya Ukraine na majeshi ya NATO. Ngome hiyo ipo karibu na mpaka wa Poland.
Mashambulizi hayo yamejiri siku moja baada ya Putin kuonya kuwa misafara ya misaada ya silaha toka Marekani na NATO kwenda Ukraine itakuwa ni kitoweo chake (ataishambulia)
View attachment 2148776
View attachment 2148777
We wajua maana ya neno 'appeal' kama lilivyotumika ktk source niliyoiweka? (tazama screenshot ya kwanza hapo chini)
Maana ya appeal ni kuomba angalia tafsiri yake kwa mujibu wa kamusi (screenshot ya 2)
Halafu lete tafsiri yako unayoipenda ya maneno niliyoyapigia mstari
View attachment 2148747
View attachment 2148748
Hizo nimezifuma... Af ukiangalia vizuri ni kama Promo za Trump zinaanzwa kupigwa taratibu...Americans remind who is to blame for the rise in fuel prices: the “I did it” trend with Biden’s photo has gained popularity in social networks.
Residents of the United States put up stickers with this phrase at gas stations, print meme T-shirts and compare the cost of gasoline under Trump and the current president.
Galip SV Liwagu View attachment 2148719
Now the average cost of a gallon (3.7 liters), according to official figures, has reached a record $4.35. At the same time, in some states and capital cities, the price reaches $7.
Similar stickers began to appear after Biden accused Russia of rising fuel prices.
Na apo sasa hawaja-switch Off supply...Viwanda kadhaa barani Ulaya vyasitisha shughuli za uzalishaji kutokana na gesi (nishati ya kuendeshea viwanda hivyo) ya Russia kupanda bei zaidi kufuatia vita inayoendelea nchini Ukraine. Habari imeripotiwa na U.S.News
Tutaheshimiana tu, na hapo ndio Russia hajasitisha kupeleka gesi hiyo Ulaya.
View attachment 2148723
Nilikuwa sijui kama Urusi inaogopwa kiasi hichi tena Marekani na NATO wamesema hadharani kuwa hawataingilia vita ya Urusi na Ukraine
Poleni sana Ukraine nyinyi sio wa kwanza kufanyiwa hivyo walishafanyiwa Iraq, Afikhanstani, na Libya
Americans remind who is to blame for the rise in fuel prices: the “I did it” trend with Biden’s photo has gained popularity in social networks.
Residents of the United States put up stickers with this phrase at gas stations, print meme T-shirts and compare the cost of gasoline under Trump and the current president.
Galip SV Liwagu View attachment 2148719
Now the average cost of a gallon (3.7 liters), according to official figures, has reached a record $4.35. At the same time, in some states and capital cities, the price reaches $7.
Similar stickers began to appear after Biden accused Russia of rising fuel prices.