LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Uzuri , Venezuela atapanga bei bila kutumia kipimo cha dola. Na hiyo hela atampa Russia kumalizia deni.

Tena yawezekana, Russia ndiyo kamuagiza US apeleke hela huko Venezuela kulipa faini ya kumsababishia usumbufu wa kudemilitarise na ku denazify Ukraine.
===
Povu ruksa kwa watakao ghadhabika na bandiko hili.
Unaamini Venezuela italipa madeni ambayo yameshatazamiwa yamekufa? Venezuela imejichimba shimo kiasi, watafurahi kila senti ili warudishe kidogo hali ya kawaida (pamoja na wote wenye mamlaka ambao zamani waliweza kushiba, na sasa baada ya kuharibu nchi wameanza kuona njaa...)
 
Zelensky analalamika kuwa Russia yaunda jamuhuri nyingine mpya ktk mkoa wa Kherson (Kherson People's Republic, KHPR).

Mwambieni aache kulialia, yeye Zelensky si yuko anashinda vita?!

SmartSelect_20220313-114558_Chrome.jpg
 
Trump announced the threat of a third world war.

According to the ex-president of the United States, the situation around Ukraine could develop into a global conflict, since there is "no one to talk" with the leadership of the Russian Federation in the White House.

“This could lead to a third world war, I see what is happening. Because if you think that Putin will stop: it will get worse and worse, he will not accept it. And we have no one to talk to him, ”RIA Novosti quotes him.

Trump added that supposedly no one was as "harsh" with Russia as he was. But despite Biden's "weakness, cowardice and incompetence," he said, there is still a way to resolve the situation diplomatically.
Galip SV Liwagu View attachment 2148698
Naam na kuna maelezo apo mengine hayapo ambapo alisema angekuwa yeye angemtishia kufungia mazima Oil Imports ya Mrusi....

Na kuna sehem nyingine anajinadi kua wakati wake hakukuwa na vita kwasabab ya "Personality" yake.

Kuna mda anazungumza unamwelewa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af kuna mengine anaongezea kiharakati za kikampeni [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Unaamini Venezuela italipa madeni ambayo yameshatazamiwa yamekufa? Venezuela imejichimba shimo kiasi, watafurahi kila senti ili warudishe kidogo hali ya kawaida (pamoja na wote wenye mamlaka ambao zamani waliweza kushiba, na sasa baada ya kuharibu nchi wameanza kuona njaa...)
Tupo pamoja Mkuu, Kherson imetembea, na aliyesababisha mfanya vurugu kwa raia wake kuwa na kiburi kwa karibu miaka nane analipa gharama bila kupenda.

Hivi kwa kitendo hiki cha US kumpigia magoti Maduro, Guaido rais wa mfukoni wa US anajisikiaje?
 
Afrika jinga sana, badala ya kuhangaika na matatizo yetu,sie tunakaa nyuma ya keyboard Kushabikia ya wenzetu huko.
Mkuu Wewe mwerevu Kuna mtu humu amekuomba bando la kupiga porojo? Kafanye kazi uje utuuzie bidhaa na malighafi sisi wajinga,yanini utupangie kipi Cha kufanya,by the way kila mtu huwa ana interest zake maishani,kwanini wewe wataka kutufanya tuwe na interest moja na tuzifuate za kwako?
 
Nilikuwa sijui kama Urusi inaogopwa kiasi hichi tena Marekani na NATO wamesema hadharani kuwa hawataingilia vita ya Urusi na Ukraine

Poleni sana Ukraine nyinyi sio wa kwanza kufanyiwa hivyo walishafanyiwa Iraq, Afikhanstani, na Libya
Kuna huyu jamaa kaniacha hoi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Attachments

  • 2_5287440779617244582.mp4
    2.5 MB
Nilikuwa sijui kama Urusi inaogopwa kiasi hichi tena Marekani na NATO wamesema hadharani kuwa hawataingilia vita ya Urusi na Ukraine

Poleni sana Ukraine nyinyi sio wa kwanza kufanyiwa hivyo walishafanyiwa Iraq, Afikhanstani, na Libya
Unashangaa?? Kwa nini? kanuni za Nato ni wanajitetea wakati mwanachama anashambuliwa. Ukraine si mwanachama wa NATO.
Ukraine ilitaka kuingia (na miaka 14 iliyopita rais wa Marekani alitaka waingie) lakini NATO waliamua hawawezi kupokelewa ilhali kuna matatizo kuhusu mipaka .

Kama wangepokelewa wakati ule sioni Urusi ingeshambulia sasa.
 
Watu 9 wauawa baada ya majeshi ya Russia kuishambulia ngome kubwa ya kijeshi ya Ukraine ambayo hutumika kufanya mazoezi ya pamoja ya kivita kati ya Ukraine na majeshi ya NATO (Mwezi jana tu wajuba wa NATO walikuwa wakijichua hapo, tazama Picha hapo chini).

Mashambulizi hayo yamejiri siku moja baada ya Putin kuonya kuwa misafara ya misaada ya silaha toka Marekani na NATO kwenda Ukraine itakuwa ni kitoweo chake (ataishambulia)

SmartSelect_20220313-115322_Chrome.jpg

SmartSelect_20220313-115354_Chrome.jpg
 
Watu 9 wauawa baada ya majeshi ya Russia kuishambulia ngome kubwa ya kijeshi ya Ukraine ambayo hutumika kufanya mazoezi ya pamoja ya kivita kati ya Ukraine na majeshi ya NATO. Ngome hiyo ipo karibu na mpaka wa Poland.

Mashambulizi hayo yamejiri siku moja baada ya Putin kuonya kuwa misafara ya misaada ya silaha toka Marekani na NATO kwenda Ukraine itakuwa ni kitoweo chake (ataishambulia)

View attachment 2148776
View attachment 2148777
Poland ajiangalie sana naona kama vile bado ajamuelewa vzr Putin anamanisha nini
 
We wajua maana ya neno 'appeal' kama lilivyotumika ktk source niliyoiweka? (tazama screenshot ya kwanza hapo chini)

Maana ya appeal ni kuomba angalia tafsiri yake kwa mujibu wa kamusi (screenshot ya 2)

Halafu lete tafsiri yako unayoipenda ya maneno niliyoyapigia mstari

View attachment 2148747

View attachment 2148748
Screenshot_20220313-112754_Chrome.jpg~2.jpg

KAMA HIZI ZOTE ZIMETOKA KWENYE SOURCE MOJA YA HABARI, BASI TATIZO SI LAKO NI LA CHANZO CHAKO CHA HABARI.
 
Americans remind who is to blame for the rise in fuel prices: the “I did it” trend with Biden’s photo has gained popularity in social networks.

Residents of the United States put up stickers with this phrase at gas stations, print meme T-shirts and compare the cost of gasoline under Trump and the current president.
Galip SV Liwagu View attachment 2148719
Now the average cost of a gallon (3.7 liters), according to official figures, has reached a record $4.35. At the same time, in some states and capital cities, the price reaches $7.

Similar stickers began to appear after Biden accused Russia of rising fuel prices.
Hizo nimezifuma... Af ukiangalia vizuri ni kama Promo za Trump zinaanzwa kupigwa taratibu...

Ila siasa dah kweli "konyo" nimezinyooshea mikono...

IMG_20220313_120055_928.jpg

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2148780

[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

View attachment 2148782

[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]

View attachment 2148779

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Wamefikia mpk hatua ya kuprint mashati yao

View attachment 2148781

Af kuna mswahili mmoja waa JF ukimwambia wanaoisoma number ni wao wenyewe achilia mbali Mrusi wanaemsakama... Anakuijia juu na matusi zaidi anakuuliza na miswali ya ki*en*e eti we "ndo unajua kuliko Biden" au?
 
Viwanda kadhaa barani Ulaya vyasitisha shughuli za uzalishaji kutokana na gesi (nishati ya kuendeshea viwanda hivyo) ya Russia kupanda bei zaidi kufuatia vita inayoendelea nchini Ukraine. Habari imeripotiwa na U.S.News

Tutaheshimiana tu, na hapo ndio Russia hajasitisha kupeleka gesi hiyo Ulaya.

View attachment 2148723
Na apo sasa hawaja-switch Off supply...
 
Nilikuwa sijui kama Urusi inaogopwa kiasi hichi tena Marekani na NATO wamesema hadharani kuwa hawataingilia vita ya Urusi na Ukraine

Poleni sana Ukraine nyinyi sio wa kwanza kufanyiwa hivyo walishafanyiwa Iraq, Afikhanstani, na Libya

Kuna mtu anataka lile tsar bomb litue pale los angeles au Washington? Au litue pale paris au london??[emoji28][emoji28].

Unakumbuka ule mzozo wa kiduku na trump kiduku alisema yeye hana cha kupoteza atatuma kombora mji maarufu pale US uliona raia walivoanza kureact??[emoji28][emoji28]
 
Urusi aache porojo amalize hiyo anayoiita operation isiambukize kwengine maana na sisi itatuathiri kama itasambaa, anatumia muda mrefu sana. Kuna watu wanamtaka sana Mmarekani wanatafuta tu sababu, na akiguswa akareapond tayari ni tatizo hadi huku na biashara zetu wakati ndo tumetoka kurecover from Covid.
 
Americans remind who is to blame for the rise in fuel prices: the “I did it” trend with Biden’s photo has gained popularity in social networks.

Residents of the United States put up stickers with this phrase at gas stations, print meme T-shirts and compare the cost of gasoline under Trump and the current president.
Galip SV Liwagu View attachment 2148719
Now the average cost of a gallon (3.7 liters), according to official figures, has reached a record $4.35. At the same time, in some states and capital cities, the price reaches $7.

Similar stickers began to appear after Biden accused Russia of rising fuel prices.

Biden anajiharibia aseee hajui tu.
 
Back
Top Bottom