Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah we jamaa ni konyo... Umeamua kuleta mpk kamusi akose kisingizio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We wajua maana ya neno 'appeal' kama lilivyotumika ktk source niliyoiweka? (tazama screenshot ya kwanza hapo chini)
Maana ya appeal ni kuomba angalia tafsiri yake kwa mujibu wa kamusi (screenshot ya 2)
Halafu lete tafsiri yako unayoipenda ya maneno niliyoyapigia mstari
View attachment 2148747
View attachment 2148748
Ufike mwisho kwa amani, sio watuletee vita kila sehemu vijana wetu washindwe kusafiri kutuletea biashara.Kwahio uendelee kuburuzwa kama mbwa kwa sababu gani yani! Putin ni mwanaume wa shoka halina ubishi!
Ubabe wa US ufikie mwisho
Angalau MAduro anaweza kucheka kidogo (maskini alijiweka katika hali ya huzuni tangu miaka) menginevyo: Pesa inashinda maadili.Tupo pamoja Mkuu, Kherson imetembea, na aliyesababisha mfanya vurugu kwa raia wake kuwa na kiburi kwa karibu miaka nane analipa gharama bila kupenda.
Hivi kwa kitendo hiki cha US kumpigia magoti Maduro, Guaido rais wa mfukoni wa US anajisikiaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri , Venezuela atapanga bei bila kutumia kipimo cha dola. Na hiyo hela atampa Russia kumalizia deni.
Tena yawezekana, Russia ndiyo kamuagiza US apeleke hela huko Venezuela kulipa faini ya kumsababishia usumbufu wa kudemilitarise na ku denazify Ukraine.
Hivi vikwazo, vinawatafuna kweli. Kutoka Oslo kwenda Hanoi bei ya tiketi ya ndege imepanda zaidi ya 150%. Hii ni baada ya Ulaya kuzuia airspace yao kwa Russia na Russia kujibu mapigo.
Halafu mtu anarukaruka kama kitenisi kikuu eti nimeweka vikwazo Russia vya kumtoa kwenye reli
===
Povu ruksa kwa watakao ghadhabika na bandiko hili.
Rais wa Ukraine aikubali Russia kuwa kuwa ni hatari zaidi kuliko hata North Korea.
Anasema makombora wanayoshusha Russia nchini Ukraine ni balaa tupu
Mwambieni amalizane kwanza na Putin (Russia), asitafute kuanzisha ugomvi mwingine mpya na Kim wa North Korea
View attachment 2148759
whem12maisbzy2Rais wa Ukraine aikubali Russia kuwa kuwa ni hatari zaidi kuliko hata North Korea.
Anasema makombora wanayoshusha Russia nchini Ukraine ni balaa tupu
Mwambieni amalizane kwanza na Putin (Russia), asitafute kuanzisha ugomvi mwingine mpya na Kim wa North Korea
View attachment 2148759
Wanagwaya kuingia ndio maana wanasubiri wale magaidi kutoka Syria ndio wawatangulize mbele kwenye Brutal Urban Warfare.Mkuu hii sio vita bali ni operation ya kijeshi, ndio maana anatoa hata muda wa raia kuondoka...
Ndio maana wataalamu wa vita wanasema Urusi hakuna hata silaha moja ya hatari aliyoitumia Ukrane..
Fikiria toka jana jeshi la Urussilipo kilomita 25 kuingia katikati ya jiji la Kiev linasubiri amri tu... Sasa kwa muda huo si adui anakuwa ameshajipanga tayari.
Lakini jamaa wala hawana wasiwasi.
Hizo nimezifuma... Af ukiangalia vizuri ni kama Promo za Trump zinaanzwa kupigwa taratibu...
Ila siasa dah kweli "konyo" nimezinyooshea mikono...
View attachment 2148783
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2148780
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
View attachment 2148782
[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
View attachment 2148779
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Wamefikia mpk hatua ya kuprint mashati yao
View attachment 2148781
Af kuna mswahili mmoja waa JF ukimwambia wanaoisoma number ni wao wenyewe achilia mbali Mrusi wanaemsakama... Anakuijia juu na matusi zaidi anakuuliza na miswali ya ki*en*e eti we "ndo unajua kuliko Biden" au?
Bora ako we jamaa upo upande wa Ukraine ila huna mahaba lnapokuja issue ya msingi mbele...Urusi aache porojo amalize hiyo anayoiita operation isiambukize kwengine maana na sisi itatuathiri kama itasambaa, anatumia muda mrefu sana. Kuna watu wanamtaka sana Mmarekani wanatafuta tu sababu, na akiguswa akareapond tayari ni tatizo hadi huku na biashara zetu wakati ndo tumetoka kurecover from Covid.
Mkuu vita haina macho unajua😅 sema mi naona wadundane manyuklia tu ili Africa tupate akili ya kujitegemea maana tumelemazwa na misaada ya USUfike mwisho kwa amani, sio watuletee vita kila sehemu vijana wetu washindwe kusafiri kutuletea biashara.