LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
We wajua maana ya neno 'appeal' kama lilivyotumika ktk source niliyoiweka? (tazama screenshot ya kwanza hapo chini)

Maana ya appeal ni kuomba angalia tafsiri yake kwa mujibu wa kamusi (screenshot ya 2)

Halafu lete tafsiri yako unayoipenda ya maneno niliyoyapigia mstari

View attachment 2148747

View attachment 2148748
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah we jamaa ni konyo... Umeamua kuleta mpk kamusi akose kisingizio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimekuvulia kofia [emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Putin the Great ni kiongozi imara na ni mwamba wa kuigwa kwa nchi zote za kiimra. Kuanguka kwake ndio kuanguka kwa nchi zote za kiimra mfano China,Syria,North Korea, Afrika na kwingineko. Hii ni vita ya Democratic and non Democratic states na hakuna mshindi kwenye vita ya namna hii zaidi ya maumivu tu.
Kwa nchi za Afrika zitachagua upande mmoja kati ya pande hizo mbili. Sikirimimimasikini, Nyamizi DeepPond
 
Tupo pamoja Mkuu, Kherson imetembea, na aliyesababisha mfanya vurugu kwa raia wake kuwa na kiburi kwa karibu miaka nane analipa gharama bila kupenda.

Hivi kwa kitendo hiki cha US kumpigia magoti Maduro, Guaido rais wa mfukoni wa US anajisikiaje?
Angalau MAduro anaweza kucheka kidogo (maskini alijiweka katika hali ya huzuni tangu miaka) menginevyo: Pesa inashinda maadili.
 
Uzuri , Venezuela atapanga bei bila kutumia kipimo cha dola. Na hiyo hela atampa Russia kumalizia deni.

Tena yawezekana, Russia ndiyo kamuagiza US apeleke hela huko Venezuela kulipa faini ya kumsababishia usumbufu wa kudemilitarise na ku denazify Ukraine.

Hivi vikwazo, vinawatafuna kweli. Kutoka Oslo kwenda Hanoi bei ya tiketi ya ndege imepanda zaidi ya 150%. Hii ni baada ya Ulaya kuzuia airspace yao kwa Russia na Russia kujibu mapigo.
Halafu mtu anarukaruka kama kitenisi kikuu eti nimeweka vikwazo Russia vya kumtoa kwenye reli
===
Povu ruksa kwa watakao ghadhabika na bandiko hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rais wa Ukraine aikubali Russia kuwa kuwa ni hatari zaidi kuliko hata North Korea.

Anasema makombora wanayoshusha Russia nchini Ukraine ni balaa tupu

Mwambieni amalizane kwanza na Putin (Russia), asitafute kuanzisha ugomvi mwingine mpya na Kim wa North Korea

View attachment 2148759

Hahah uyo mzee analeta mipasho tu teknolojia anayotumia North korea kuna mikono ya mrussi na china pia hawa jamaa wanasiri kubwa sana Russia, china, north korea, India. Na inaonekana sahv wapo siriaz ikipatikana solution ya vikwazo bhs marekani hana chake.
 
Wapi pro NATO wapi pro Ukraine watu wemye huruma zao za kinafiki nafiki mapendesheee wa vikwazo anti-Putin watu wa tandahiba wazee wa kuua misafara ya kijeshi wazee wa nchi guru wanauchumi wachambuzi wa vifaa vya urusi in negative way aisee wazee wazee wa si mlisema siku mbili wazee wa mtabeba pesa kwenye lori kwenda kununua mkate wazee wa Putin kakurupuka Putin ni mjinga

Nazi iendeleee....tokomeza mashoga
 
Waziri wa Ulinzi wa Ukraine anasema walimu wa jeshi toka nchi za nje walikuwa bado wanafanya shughuli zao kwenye Ngome ya kijeshi ya Ukraine iliyoshambuliwa na makombora manane tu ya Russia leo hii huko karibu na mpaka wa Poland. Wariri huyo anasema wanaendelea kufatilia kama walimu hao wa kijeshi toka nchi za nje walikuwemo ktk ngome hiyo kipindi ikishambuli.

Aisee, inawezekana Putin kupitia shambulizi hili akatuma vilio kwa Marekani na NATO maana hao ndio walikuwa wakiendesha mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Ukraine ktk ngome hiyo.


SmartSelect_20220313-120814_Chrome.jpg


SmartSelect_20220313-120830_Chrome.jpg


SmartSelect_20220313-120856_Chrome.jpg
 
Rais wa Ukraine aikubali Russia kuwa kuwa ni hatari zaidi kuliko hata North Korea.

Anasema makombora wanayoshusha Russia nchini Ukraine ni balaa tupu

Mwambieni amalizane kwanza na Putin (Russia), asitafute kuanzisha ugomvi mwingine mpya na Kim wa North Korea

View attachment 2148759
whem12maisbzy2
neil111, It is not over yet, if you want to kill a sneak you have to smash it head, you can't just wand it and let it go, it can still coming back. NATO is like a big sneak which the head is the US, if you just cut the tail of the sneak you won't kill it. You have to go to the head and cut it off, then the rest of the bad will dies. Th US is the only thing that hold the EU together because they are a bunch of little nation who can't defend themselves, so, things works in both way, the US provide cover for them while they going around making trouble pretending they are something to be recognize with. But in fact they are just nothing. North Korea alone could wipe them all out.
13 hr

1 reply
====
North Korea si mchezo soma hiyo komenti. Ha ha haaaaaa!
 
Mkuu hii sio vita bali ni operation ya kijeshi, ndio maana anatoa hata muda wa raia kuondoka...

Ndio maana wataalamu wa vita wanasema Urusi hakuna hata silaha moja ya hatari aliyoitumia Ukrane..

Fikiria toka jana jeshi la Urussilipo kilomita 25 kuingia katikati ya jiji la Kiev linasubiri amri tu... Sasa kwa muda huo si adui anakuwa ameshajipanga tayari.

Lakini jamaa wala hawana wasiwasi.
Wanagwaya kuingia ndio maana wanasubiri wale magaidi kutoka Syria ndio wawatangulize mbele kwenye Brutal Urban Warfare.
 
Hizo nimezifuma... Af ukiangalia vizuri ni kama Promo za Trump zinaanzwa kupigwa taratibu...

Ila siasa dah kweli "konyo" nimezinyooshea mikono...

View attachment 2148783

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2148780

[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

View attachment 2148782

[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]

View attachment 2148779

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Wamefikia mpk hatua ya kuprint mashati yao

View attachment 2148781

Af kuna mswahili mmoja waa JF ukimwambia wanaoisoma number ni wao wenyewe achilia mbali Mrusi wanaemsakama... Anakuijia juu na matusi zaidi anakuuliza na miswali ya ki*en*e eti we "ndo unajua kuliko Biden" au?

Biden huko anasugua kichwa, ilitakiwa atumie diplomasia coz putin aliongea point kabisa. Ilibidi watumie diplomasia lakn mzee baba Ana tangaza kupeleka silaha ukraine sasa si unachochea vita?
 
Rising US fuel prices have affected many areas of the economy and business.

According to The Washington Post, inflation is growing in the country, the number of flights is decreasing, fuel is increasing.
collection of truckers, even the prices for lawn mowing are rising.

"I've never seen prices jump so high and so fast," Rochester-based trucking company vice president John Migliorini, who nearly doubled his solar costs to $400,000 a month, told the publication.

The company delivers food and cargo, but now the price of delivery has increased, which means the cost of goods too.

Over the past week alone, fuel has risen in price in the country by an average of 13%. In some regions - by all 40%. Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220312-172326_Gallery.jpg
 
Urusi aache porojo amalize hiyo anayoiita operation isiambukize kwengine maana na sisi itatuathiri kama itasambaa, anatumia muda mrefu sana. Kuna watu wanamtaka sana Mmarekani wanatafuta tu sababu, na akiguswa akareapond tayari ni tatizo hadi huku na biashara zetu wakati ndo tumetoka kurecover from Covid.
Bora ako we jamaa upo upande wa Ukraine ila huna mahaba lnapokuja issue ya msingi mbele...


Sasa kuna wenzio et wanataka vita iendelee kua ndefu il Mrusi aharibike kiuchumi... Hizo ni fikra sahih kweli au shibe ya makande....
 
Naendelea kusisitiza Urusi imalize mapema huu mgogoro. Tuushabikie kwa kuangalia maslahi ya familia zetu na majirani zetu sio maslahi ya nchi kubwa tu.
images (76).jpeg


Kuna uwezekano mkubwa bajeti ya 2022/23 ya TZ ikawa na manufaa sana kwa raia na watumishi wa uma. Sasa mavita haya yasije yakasambaa na sisi yakatuumiza huku tunashabikia kwa kuchagua upande wa kuwashangilia.
 
Zelensky akiri huku akisikitika kuwa Ukraine italazimika kulipia misaada yote ya kiutu na silaha inayopokea toka kwa nchi za kimagharibi. Anasema kila kitu kina gharama yake, hakuna buree.

=======

SmartSelect_20220313-122941_Chrome.jpg


"The money allocated by Europe and other nations is spent only on humanitarian aid or weapons. Sometimes we receive weapons directly, but you have to understand that everything has its price," he claimed.

Zelensky added that "whenever the money that we get is mentioned - well, it all came at a cost, it’s not for free."

 
Back
Top Bottom