HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Sasa wabongo wanafanya nini?Nasikia bongo kuna engineers lakini cha kusikitisha kila wanachofanya ni kopi za yaliyofanywa na wazungu.
Sasa wabongo wanafanya nini?Nasikia bongo kuna engineers lakini cha kusikitisha kila wanachofanya ni kopi za yaliyofanywa na wazungu.
Ni kweli Hali TeteKwa kipigo Cha usiku wa leo Wanajesh wa Ukraine walikuwa wamejiandaa kuanza counteroffensive. Vikosi vya Anga vya urusi vimewawahi na kuanza kushambulia vituo vyao, maghala ya silaha, mifumo ya ulinzi, madaraja na magari ya kivita waliyopewa na NATO.
southfront.org
Msisubiri wajichanganye,huyo nguchiro anayejiita Putin anatafutwa kwa udi na uvumba, ndio maana hatoki kwenye andakiWakijichanganya tunajifanya wamemuua Rais [emoji635] wetu ili tupate sababu ya kuwafumua wamagharibi. Uraaaaaaaa!
Siwampatie mkuu ili amalize kazi.Ukraine akipata Patriot 5 kazi imeisha
Bado miezi miwili askari wa ukrain na nato walio uliwa watafika 300000 wakati mrusi kapoteza wanajeshi 28,000 wakati huo huo urusi kafanikiwa kupunguza vifo vya askari wake kwa siku kwa zaidi ya asilimiq 70% yaani kama kwa siku walikuwa wanakufa 100 sasa hivi kapunguza hadi 30 tuUkraine akipata Patriot 5 kazi imeisha
Aisee, kumbe wanakufa?...urusi kafanikiwa kupunguza vifo vya askari wake kwa siku kwa zaidi ya asilimiq 70% yaani kama kwa siku walikuwa wanakufa 100 sasa hivi kapunguza hadi 30 tu
Nasikia bongo kuna engineers lakini cha kusikitisha kila wanachofanya ni kopi za yaliyofanywa na wazungu.
Walikufa sana mwanzo maana mrusi alikuwa ana wabembeleza waukrai ila kwa sasa mrusi mmoja anakufa na askari zaidi ya 12 hadi 20Aisee, kumbe wanakufa?
Tulisikia Javelin, zikaja himmars Mara Abrams na Leopard Sasa eti Patriot...duh...kazi mnayo..Ukraine akipata Patriot 5 kazi imeisha
[emoji298][emoji25]Ukraine expects the Russian command to panic when the anticipated Ukrainian counteroffensive begins, Deputy Defense Minister Volodymyr Havrylov told British newspaper The Independent in an article published on May 7.
Learn more: Military official: Ukraine expects counteroffensive to cause panic in Russia
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kipanya atasema yamepanguliwa yote ila yamelenga shabaha🤣🤣🤣Hali ni mbaya huko Ukraine mabomu yanashushwa kama mvua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji845][emoji635][emoji573][emoji573][emoji1255] New missile strike - atypical even by SMO standards.
Actively flies on the positions and objects of the Armed Forces of #Ukraine in several directions at once.
[emoji845][emoji635] Everything that can be used is used:
Geran-2 drones, Kh-22/32 missiles.
There are at least 5-7 Tu-22M3 aircraft in operation.
[emoji845][emoji635] Launches of Kh-101 and Kalibr cruise missiles are expected. Apparently, the list of targets to defeat is very large.
[emoji599] Air alerts have been declared not only in the southern regions of Ukraine, but also in the central regions - Vinnitsa, Kirovohrad, Cherkasy and Poltava. [emoji1255]View attachment 2613950View attachment 2613951
Kila tukijaribu kuwasha Ibrahimu,na leopadi vinalipuliwa tutaanzajeHivi inaanza lini maana kila siku itakapoanza itakapoanza
Mwezi wa tano sasa huu karibu tutagawa mwaka[emoji16]