Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nadhani ni muda muafaka sasa Ukraine ajipange kumaliza vita kwa njia ya amani,vinginevyo naona watu,majengo,madaraja na vifaa mbali mbali vya kijeshi vikizidi kuangamia.
Well said, mkuu, tatizo kubwa hapa ni wangapi watakuelewa kwamba mwisho wa Ukraine unakaribia kama wataendeleza ubishi wao wa kitoto wa kutaka kutuniana misuli na super power (URUSI).
 
Ni historiaaaaa
Today's strike on logistics and warehouses in Ukraine, as well as the most powerful artillery attack on Chasov Yar, is similar to the events of 80 years ago, when the Red Army launched an artillery strike on the Germans, a few hours before their offensive, giving rise to the Battle of Kursk. The result of the arrival of the Kh-22 missile at the Ukrainian warehouse on the coast of the Odessa region.
 
Walikufa sana mwanzo maana mrusi alikuwa ana wabembeleza waukrai ila kwa sasa mrusi mmoja anakufa na askari zaidi ya 12 hadi 20
Mkuu!Unaweza kuweka credible source ya taarifa yako?
Maana katika kufuatilia kwangu sijawahi ona taarifa ya namna hiyo even vyombo vya habari vya Russia havijaripoti(kama RT,Spurtnik,TASS etc) hata MOD haijaripoti pia.
So nina mashaka na taarifa yako!
 
Walikufa sana mwanzo maana mrusi alikuwa ana wabembeleza waukrai ila kwa sasa mrusi mmoja anakufa na askari zaidi ya 12 hadi 20
Pia ni kwa mara ya kwanza nasikia kuwa wanajeshi wanakufa vitani kwa kumbembereza adui(in real world)na sidhani kama ni kweli,labda mambo haya yanatokea katika fantasy world(hisia,mawazo,mihemko nk)
 
Kushindwa kwa Dubu kwenye hii Smo inaweza ikatrigger WW3. Hata USA na vibaraka wake hawawezi taka itokee hivyo wanajua itakula kwao. Bwana zele inabidi akapige magoti Kremlin aombe msamaha na akubali matakwa ya Putin.
Bila hivyo atazidi kumwaga damu za wanamgambo wa Ukraine.Nikimbushie tu kidogo kipigo wanacho pokea wana mgambo wa Ukraine kina toka kwenye Kampuni binafsi ya kibaraka wa putin.Bado hata askari mmoja wa red Army hajatumika.
 
Well said, mkuu, tatizo kubwa hapa ni wangapi watakuelewa kwamba mwisho wa Ukraine unakaribia kama wataendeleza ubishi wao wa kitoto wa kutaka kutuniana misuli na super power (URUSI).
Mkuu tuwe logical!
Lengo la vita(kwa URUSI) ni nini?Then kwanini ilifikia hatua ya kupigana vita?
Ukishajua hayo mawili ndio unaweza kuona kama Ukraine anakosea kutofanya mazungumzo au yuko sahihi.
(kumbuka Kremlin ilishasema kuwa sharti la mazungumzo ni Ukraini kukubali kuachia majibo 4,Cremea,kutojiunga na NATO,kupingua utawala wa KYIV,kupunguza jeshi lake na siraha etc)

*Inafahamika kuwa Ukraini inajilinda
 
Mtu yuko bongo anakwambia anajua physics, ukimuuliza kwenye hio physics yako umegundua nini hana zaidi ya kukalili Archimedes Principles.
Acheni dharau aisee......kugundua ni kipaji sio kila mtu anacho.

Hata kusoma yaliyogunduliwa na wengine na kuweza kuyafanyia kazi ni usomi pia.
 
Amka kumekucha,usje ukajikojolea!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hao wanajiliwaza tu mkuu,Wala usiangaike nao,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sisi kazi yetu ni kuendelea kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…