The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,254
- 2,170
mkuu sijakuelewa hapa,yaani wametumia warehouse?Last night, Ukrainian air defense successfully intercepted a Russian Kh-22 missile by using a warehouse in Odessa.
mkuu sijakuelewa hapa,yaani wametumia warehouse?Last night, Ukrainian air defense successfully intercepted a Russian Kh-22 missile by using a warehouse in Odessa.
Wametumia hardware.mkuu sijakuelewa hapa,yaani wametumia warehouse?
mkuu sijakuelewa hapa,yaani wametumia warehouse?
Wachechen ni Warusi kama ilivyokuwa Wahehe hapa TanzaniaHapa tena nilishachanganya. Nikajua kwamba huko Bakhmut ndiko ile Drone iliyopita Kremlin ilitokea. Hii vita nadhani inanoga sana kama ikielezewa kwa Kiarabu!! Maana kuna Iran na watu wa Checheny ambao wanapigana huko kuliko waingereza.
Au kitumimike Kirusi kabisa maana kinatumiwa Ukraine na Russia.
We jibu ...hawawezi vita vya ardhini....hapo bakhmut, Mariupol,kherson, zoporizhzhia ni mbinguni!!??Unaelewa maana ya Maudhui na Muktadha kwenye uandishi?
Jibu kuhusu nini??We jibu ...hawawezi vita vya ardhini....hapo bakhmut, Mariupol,kherson, zoporizhzhia ni mbinguni!!??
Yaaah....warehouse za Ukraine zimeintercept misilles mkuu.... Zime-engage na misilles hatimaye kuzishusha kwenye warehouses zao .wamezihifadhi kwa ajili ya KAUNTAOFWENSIVUmkuu sijakuelewa hapa,yaani wametumia warehouse?
Kutunguliwa na kuweza kushambulia ni mambo mawili tofauti kabisa. Kwani hilo Kombora liko moja? Likitunguliwa moja jingine linaishiwa uwezo wa kushambulia!!??Wale walikuwa wakisema Hpersonic inatunguliwa,hii hapa ni Jana imefanya mambo.👇👇
Wachechen ni Warusi kama ilivyokuwa Wahehe hapa Tanzania
Sasa kama wanatumia anga wanachukuaje ardhi!!? Ukraine wachukue ardhi Sasa .Urusi wa Baki na anga.... Nyie ndio kina Bulicheka .... Na vitabu vya Alfu lela ulela vinawaelezea visa vyenu....Jibu kuhusu nini??
Sehemu kubwa Russia inatumia anga kufanya mashambulizi yake na siyo ardhini!!
Wanaondoa mashuhudaMrusi anahamisha watu kwenye baadhi ya maeneo, cjui wamepanga kuwafanya nini wa Ukrain.
Unajua DHIMA!!! ... Usiwe mjuaji...Shida yenu mnataka kuchangia muda wote ..muda mwingine kuwa msikilizaji/msomaji....Unaelewa maana ya Maudhui na Muktadha kwenye uandishi?
Hakuna kitakachobadilika.
Kwa ivo ulivoona nimeandika "Maudhui" na wewe ukatumbukiza neno "Dhima". Mbona hakuna muwala na nilichokuwa nimekiandika kilichosababisha niulize kama unajua Maudhui na muktadha kwenye Uandishi!!Unajua DHIMA!!! ... Usiwe mjuaji...Shida yenu mnataka kuchangia muda wote ..muda mwingine kuwa msikilizaji/msomaji....