Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mimi ni Mkristo Mkatoliki. Ila nimesoma Anglican schools" High church" .. naaa Islamic pia .Pale Makuburi .. .. "Versatile" .... Nimeishi India na China .. hizi DINI hizi .. niseme tu ni UJINGA KWA WAAFRIKA...
Sishangai mawazo yako kama umeishi India na China.Halafu mkuu,Ukatoliki sio Ukristo,nikuambie ukweli,wanamtaja Kristo but do not actually believe in Him.

Finally nikuulize maswali mawili.
1.Kwa nini upo Duniani.
2.Hii order unayoiona in the Universe, is it a game of chance au kuna organizer?
 
Hiyo statement ungewaambia ambao tangu February wanadai Bakhmut imekombolewa na Russia, ukiwaambia ukweli wanabisha. Hawa wanaoshinda wanasumbua humu mara Russia itaipiga nchi itakayotoa msaada kwa Ukraine, mara wataipiga nchi itakayotaka kujiunga na NATO.

Sihitaji Russia ifanye chochote, udhaifu unapimwa hata vita ikiendelea. Ukileta jeshi na silaha kwenye msururu likafyekwa ukaacha vyuma chakavu si udhaifu huo. Au unataka tuiite military strategy
 
Si waingie tu kama walivyomfanya SLOBODAN MILOSEVIC .. waingie hapo hao kenge.. Albania na Kosovo .. si NATO WALINGIA na SARAJEVO .. wanashindwa nini !!?
 
Unataka tena kunifundisha IMANI!!? FUNGUA UZI .... Poti.. huku acha tuwakaaange ..
 
“with effective and timely support from the international community, particularly NATO member countries, in 2023 Ukraine will win the all-out war launched by Russia against Ukraine on Feb. 24, 2022,” writes Eugene Czolij, president of the Ukraine-2050, in his recent op-ed.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]European Commission President Ursula von der Leyen and President Volodymyr Zelensky met in Kyiv on May 9, discussing the EU ammunition supply plan, an upcoming package of sanctions against Russia, and the bloc's ban on Ukrainian food exports.

The two leaders also discussed financial support for Kyiv and the country's progress on its path to EU membership, a day after Zelensky signed a decree on celebrating Europe Day in Ukraine.[emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️Putin failed the deadline for the capture of Bakhmut, President Zelensky said during a joint press conference with Ursula von der Leyen.

According to Zelensky, the increase in the number of missiles attacks on Ukraine in recent weeks is due to the fact that the Russian leadership needs to “sell something to its people, because there are no victories.”[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yeye Ni msemaji wa Putin?
 
Wapeleke ila air defence yao Ni warehouse zimeandaliwa na bwana harusi pale Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…