Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ma-Sponsa wanasema kwamba walishampatia Zelensky kila silaha aliyohitaji kwa ajiri ya kufanya counter offensive. Lakini wana mashaka sana na hiyo counteroffensive yake.

Mkuu kp kipanya44 , kumbe silaha zote mmeshaletewa. Sasa mnaogopa nini kuanza counteroffensive.


1683639852707.png
 
[emoji298][emoji298]A new investigation by Radio Free Europe/Radio Liberty has found that the Russian war effort in Ukraine is being supported by a company owned by Mikhail Fridman, a Ukrainian-born oligarch who is currently under international sanctions; Reporters Without Borders (RSF) has confirmed through first-hand accounts that Ukrainian journalist Dmytro Khyliuk, whom the Kremlin denies capturing, was illegally detained by Russian soldiers during the occupation of his home village near Kyiv, taken to Russia and put in prison; and more.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nikalewa alafu nije niwaambie tumechinja wangapi leo!
Mkuu, huwezi kufanya kitu chenye kuleta maana ukiwa umelewa,hapa zinaitajika true statistics zinazoweza kuaminiwa..,kama takwimu hizi zilizotolewa ndani ya saa 24 hambapo inaonyesha warusi zaidi ya mia sita wamechinjwa
1683631974856.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ma-Sponsa wanasema kwamba walishampatia Zelensky kila silaha aliyohitaji kwa ajiri ya kufanya counter offensive. Lakini wana mashaka sana na hiyo counteroffensive yake.

Mkuu kp kipanya44 , kumbe silaha zote mmeshaletewa. Sasa mnaogopa nini kuanza counteroffensive.


View attachment 2615668
Tatizo lenu kubwa ni kudhani kwamba maofisa wa Ukraine wanaweza kufanya mambo kwa kukurupuka kama ilivyo huko urusi!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kipanya nimesema labda hujui your handlers the US,NWO Cabal,CIA or Khazarian Mafios wanayo wafanyia wanadamu.So I thought may be you are just stupid,and if I present what they are doing against humanity utastuka,so that together we can join hands in alerting humanity the evil of the US a.k.a NWO Cabal or Khazarian Mafia and ultimately together free ourselves from their enslament.

UOVU WA MAREKANI KWA WANADAMU

1.Marekani ndiyo nchi ya kwanza kutumia Atomic bomb,na kuua watu zaidi ya 100,000 Japan.

2.Marekani katika vita vyake vya kulazimisha nchi kufuata matakwa yake imeua zaidi ya watu millioni 20!

3. Marekani imeua viongozi wa nchi zaidi ya 10 na kupindua serikali zaidi ya 20 duniani kote katika harakati zake za kuiba rasilimali za Dunia.

4.Marekani inatekeleza mikakati mbali mbali ya kuua na kupunguza kwa siri binadamu duniani kote ikiwemo uzazi wa mpango,Chanjo,vyakulasumu,dawasumu nk.nk.Marekani pia ina a global network of over 300 biolab facilities all over the World,all aimed at killing people..

5.Marekani kwa kutumia CIA ndiyo muuzaji mkubwa wa siri wa Heroin kuliko nchi yeyote duniani.Umeshawahi kuwaza kwa nini Kilimo cha Heroin Poppy Afghanistan kinashamiri wakati M arekani wapo?Yes,CIA wakishirikiana na Taliban ndiyo walimaji na wauzaji wakubwa wa Heroin duniani,bila kusahau matumizi ya Opiods kama Fentanyl Marekani kwenyewe ambazo CIA ndio wahamasishaji wakubwa kwa siri wa matumizi yake.Opiods zimeharibi jamii ya Wamarekani kabisa.

6.Marekani inaiba mchana kweupe na kwa kutumia hila rasilimali za nchi mbalimbali zikiwepo Urusi,Syria,Iraq,Libya,Congo DRC nk.nk.

7.Marekani kwa kutumia Hollywood imeharibi moral values za Dunia nzima.

8.Marekani kwa kutumia covert means inaendelea kuharibu hali ya hewa ya Dunia nzima.

9.Marekani ina vituo vya kijeshi zaidi ya 800 Dunia nzima kwa nia ya kutekeleza mikakati yake miovu ya kupindua nchi huru kwa nia ovu za kuiba rasilimali na kutekeleza matakwa yake maovu dhidi ya nchi zingine

10.Marekani kwa kutumia its' technological advantage ina leta havoc duniani kote kwa kuleta mafuriko,volcanoes,Hurricanes,Tsunamis,joto kama lilitokea India,Ulaya,na hata Marekani kwenyewe na majanga mengine mengi duniani kote.Serikali ya Marekani ni ovu sana,na haijalishi ni Democrats au Republicans,ni mwendo mdundo.
Nikusifu....unajitolea kuelimisha....
 
@FUSO

Ukumbuke ile kauli yangu kwamba mpaka kufikia APRIL LPR na DPR (DON BASS) zitakua huru

Hio ARTEMOVSK(BAKHMUT) tayar ishaanguka nisuala la muda tuuu

Axel Lloyd pole na majukumu MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Bwana Utam ulisema hapa ikiwa tarehe 1 February kwamba Bakhmut ilishaanguka na kufikia Aprili Donbass itakuwa huru.

Aya sasa April imeisha tupo May, ngapi ngapi uko? Russia taifa kubwa au sio😂
 
Najaribu mkuu,lakini ni ngumu sana, kwa kuwa watu wameamishwa uongo kwa muda mrefu sana.
Mimi ni Mkristo Mkatoliki. Ila nimesoma Anglican schools" High church" .. naaa Islamic pia .Pale Makuburi .. .. "Versatile" .... Nimeishi India na China .. hizi DINI hizi .. niseme tu ni UJINGA KWA WAAFRIKA...
 
Back
Top Bottom