Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mbona husemi kwamba hizo UAVs zinakuwa "neutralised" lakini bado zasababisha maafa?

Ni kweli ADS ya Ukraine yazibinya uwezo na makali hizo drones lakini bado zasababisha "damage" kubwa tu, magari yameunguzwa, miundombinu imeharibiwa, na kuna watu wamekufa na kujeruhiwa pia.

Kwa kifupi ni kwamba tayari Ukraine imeanzisha inoitwa Counter Offensive na Russia walikuwa waisubiria.

Na "air alert" imetolewa Ukraine nzima hadi mida hii.
Tatizo huna akili.

Chochote kinachotungulia gravity hukileta chini
 
In the 19th century, Moscow began suppressing the Ukrainian language and identity, afraid of separatism. Top writers and intellectuals were imprisoned or exiled. In 1876, Tsar Alexander II issued a decree banning the use of the Ukrainian language in print except for reprinting old documents.

Russia's centuries-long endeavor to conquer Ukraine is uncovered by delving into #UkrainesTrueHistory: Russia’s centuries-long quest to conquer Ukraine

Illustration by Alina Radomska

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tutazidi kuwachinja kadri iwezekanavyo. Leo tumechinja 900 kwenye warehouse yetu!
Mkuu,hao mia Tisa bila shaka utakuwa umerejelea kwenye takwimu za uko nyuma...,kwa mujibu wa takwimu za Jana,ni kwamba warusi waliochinjwa ni 540!
1683536203818.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • 1683567967540.jpg
    1683567967540.jpg
    43.3 KB · Views: 23
[emoji298][emoji298]“I don’t think that the loss of Wagner really would have a dramatic effect,” says Russia security expert Mark Galeotti on Russia. The Kyiv Independent spoke to Galeotti, one of the world’s most renowned experts on the Russian security landscape, about the internal conflict between Wagner mercenary group boss Yevgeny Prigozhin and the Russian Defense Ministry.[emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mapipa yake yanapukuchuliwa kama senene [emoji28]



[emoji298][emoji298][emoji298]On the night of May 8-9, Russian troops fired 25 Kalibr and Kh-101/Kh-555 cruise missiles at Ukraine. The air defense units destroyed 23 missiles.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]




[emoji298][emoji298]The enemy continues to concentrate its main efforts on Lyman, Bakhmut, Avdiyivka, and Maryinka directions. In total, over the past day, 42 enemy attacks were repelled on these sections

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wale walikuwa wakisema Hpersonic inatunguliwa,hii hapa ni Jana imefanya mambo.👇👇

The Ukrainian Red Cross is claiming that the Warehouse which was Destroyed by a Russian Air-Launched Kh-22 Anti-Ship Missile in the Odesa Region of Southern Ukraine last night was being used as a Storage Facility for Humanitarian Aid including Food, Water, and Medical Supplies.

View attachment 2614544
Tulishakubaliana hiyo warehouse ndio iliyotungua missile kwa sababu hiyo missile ndio iliyo ungua yote🤣🤣
 
[emoji298][emoji298]European Commission President Ursula von der Leyen has arrived in Kyiv to celebrate Europe Day together with Ukrainians and stated that Ukraine is part of a single European family.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Victory Day parade ya leo haina viewers wengi. Nasubiri parade inakaribia
Namuona Lukashenko ni mojawapo ya wageni. Pia yupo wa Armenia.
Patriarch Kirill pia yupo na watu muhimu wengine ndani ya Russia. Wageni wa kimataifa sio wengi itakuwa.
Shoigu kashakabidhi kwa sasa Putin anahutubia. Kukosa live streaming ya gwaride la Victory Day kwangu ni sawa na kukosa fainali ya UEFA. Mwaka jana ilikuwa kawaida hali ya hewa iliharibu, leo nadhani litakuwa sawa.

...........
Update: Maadhimisho yameisha. Kwa haraka ni hivi, yalikuwa mafupi na hotuba ya Putin sidhani kama imetumia dakika hata tano. Sijamuona Lt. General Surovikin wala General Gerasimov. T-14 Armata sijaiona ila Bumerang ilikuwepo, hizi mbili zilitokea kwa mara ya kwanza parade ya 2015.
Hakukuwa na fixed wing wala rotary wing angani sijui kwanini leo pia hawajaleta silaha za angani.
RS-24 Yars ICBM ilikuwepo, Iskander, some Soviet legacy gears. Hawajaleta Arctic weapons, naval weapons kwa kawaida systems kama Bastion huwa inakuwepo. Hakukuwa na radar wala EW platforms. Walikuwepo wanajeshi wachache na military wings sio zote zilikuwepo.

Ilikuwa very simple. Mwaka jana na huu Russia wamefanya parade kishkaji, mwaka 2015 was the best ever na 2017 ilikuwa nzuri pia. China parade yao nzuri ila rangi nyingi na zile shinning weapons, North Korea wanajazana wengi na silaha za uongo ila wanafanya show nzuri. Victory Day iko very significant
EPA_Russia_Victory_02_jrl_160509_16x9_992.jpg
 
Back
Top Bottom