Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tunaomba na ripoti ya kurudisha ardhi ya ukraine.
 
Hawana muda wa kuwajibu vichaa na uongo wao
 
Russian forces delivered a massive strike by seaborne and airborne precision weapons against the Ukrainian army’s reserves and ammunition depots, hitting all the designated targets over the past day during the special military operation in Ukraine, Defense Ministry Spokesman Lieutenant-General Igor Konashenkov reported on Tuesday.
 
Urusi ni miamba aisee.
Urusi inapigana na silaha za Dunia nzima kazoro za china na Korea kaskazini 😁😁😁😁🇷🇺💪💪💪🇷🇺🤝🤝🇷🇺👏👏👏👏
 
Unataka tena kunifundisha IMANI!!? FUNGUA UZI .... Poti.. huku acha tuwakaaange ..
Sawa umekwepa maswali yangu,ila ipo siku you will come head-on with truth,truth which you will not be able to dodge.
Nikuambie hivi mkuu,ni bora ukaamini kwamba there is a God out there,you do not loose anything,kuliko kuto-kuamini halafu umkute,itakuwa kilio na kusaga meno.
 
"During the day, the enemy's losses amounted to more than 380 Ukrainian servicemen and mercenaries, 1 tank, 4 armored combat vehicles, 6 vehicles, an Akatsiya self-propelled howitzer, 2 D-20 howitzers, and a D-30 howitzer," he said.

In addition, two ammunition depots of the 54th mechanized and 80th air assault brigades of the Ukrainian armed forces were destroyed in the areas of the settlements of Verkhnekamenskoye and Kramatorsk of the Donetsk People's Republic.
Tass
 
Kinachompa kiburi ni pumzi anayovuta bila tabu,uhakika wa kula na kunya vinampumbaza,mwingine yule babu mwanasiasa aliishi kutokuwa na dini mwisho wa siku aliporaluliwa na mbwa alimkumbuka aliyemuumba.
 
Shamrashamra zenyewe hizi hapa supapawa kaja na kifaru kimoja cha enzi Nyerere anavaa kaptulaView attachment 2615694
Dah mwamba,unashangilia vitu vidogo sana Sasa hivi.
Urusi Iko vitani,so haiwezi kufanya shamra shamra kama ilivyokua kabla ya vita.hii inahitaji akili ndogo TU kuelewa.
Mara nyingine sio Kila kitu mtu unaandika.
Hali hii IPO Kila sehemu,huwezi kulundika watu na vifaa katika Hali iliyonayo Urusi Sasa,Kuna ugaindi na maadui wanaweza kufanya tukio.hii ni akili.sasa sikuona Cha ajabu kwa wewe kuleta taarifa hii Kwa kejeli.
Hivi unakumbuka September 11 Rais wa USA na Viongozi waandamizi walifichwa kwenye maficho?
Especially mahandaki maalumu?
Je Kuna mtu anaweza kubeza kitu kama hicho Cha kuwalinda Viongozi?

Ushauri ninaokupa T14Armata achana na michango kama ya watoto wa shule ya msingi ,jikite kwenye michango yenye fact na ukweli utaona Kila mtu anakurudishia heshima Yako iliyokua nayo mwanzo.

Amini nakuambia hata Mimi nilikua nafuatilia mada zako na nilijifunza mengi.
 
Kwann kilio na kusaga meno? Kwani haiwezekani wote waliokuwa hawaamini na wanaoamini wakajumuika pamoja kufurahia uhakika wa uwepo wa MUNGU ambao ndugu zetu wengine hawakuamini? Kwanini kusagana meno?
 
Hhhhhhhh SMO iendeleee
 
Kabisaaaa
 
Ni lin umeona urus ikitoa takwimu ya makombora yaliyohit target na yaliyo fail, wazee wanapigaga then wanawaavhia nyie mtoe takwimu wenyewe
 
Russia inapenda Sana kwenda kinyume na mategemeo ya west walizani Leo kutakuwa na silaha nyingi yeye kapga chini kaenda na kifaru kimoja tu wanabaki wanajiuliza imekuaje Nchi nzima imekuwa na kifaru kimoja? Tutawakimbiza mwaka huu maji mtaita mma.
Halafu hawa wana-upinde wanadanganyana kwamba bwana Putin kabakiwa na kifaru kimoja
 
“Today, civilization is again at a decisive turning point, [and] a real war has been unleashed against our Motherland. But we repelled international terrorism, [and] we will protect the residents of Donbass, ensuring our security,.
As always Putin is mega smart upstairs and extremly wise unlike "western has been leaders" who wastes a lot of time talking about how to teach Putin a hard lesson, on the controllary are the one ending up losing a lot of money, military personel including US/EU mercinallies and US hyped military hardware.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…