Mwana Taaluma
JF-Expert Member
- Oct 21, 2019
- 857
- 2,055
Ile ni mstari wa njano.Duuh aisee mlitoka kwenye javelin mkaja kwenye HIMARS mara tukasikia, challenger mara leopard mara Abraham leo tumehamia kwenye shadow.
Hizo silaha zimeshakwenda uwanja wa vita muda mrefu unafikiri West hawapendi kuona Russia ikisambaratika?. Impact yake wanafanya Ukraine iendelee kumegwa na kuharibika.
Zile depleted Uranium walipeleka?
Ivi huyu Chad si alikuaga team pinzani huyu. Au kaanza kuuona uhalisiaWatu husahau kwamba Russia nao wana mitambo ya satelite angani na wao pia hutumia hiyo mitambo kiufanisi.
Hivyo, wakiona shehena yaingia Ukraine wao huilia "timing" na kutuma makombora kuharibu.
Ila vyombo vya habari vya nchi za magharibi vimeambiwa kuweka pembeni misingi ya kutoa habari.
hakuna lingine ulilosahau Pro-UpindeVita dhidi Japani 1905 - Urusi ilishindwa ikaona mapinduzi
# Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia - iliisha katika uasi wa jeshi la Kirusi na mapinduzi
# Vita dhidi ya Poland mnamo 1920 - iliisha kwa ushindi wa Poland
# Vita dhidi ya Finland - iliisha kwa ushindi wa Urusi baada ya kupoteza askari wengi; Urusi ilipaswa kukubali kuwepo kwa Finland
# Vita Kuu ya Pili ya Dunia dhidi ya Ujerumani - Urusi ilkuwa mshindi mmojawapo, pamoja na kupokea misaada mingi kutoka Marekani
# Uvamizi wa Afghanistan 1979 - Urusi ilishindwa ikapaswa kuondoka
# Uvamizi wa kwanza wa Chechnya 1994 - Urusi ilishindwa ikapaswa kuondoka (hadi kurudi 1999
Mkuu nikiangalia habariDuuh aisee mlitoka kwenye javelin mkaja kwenye HIMARS mara tukasikia, challenger mara leopard mara Abraham leo tumehamia kwenye shadow.
Hizo silaha zimeshakwenda uwanja wa vita muda mrefu unafikiri West hawapendi kuona Russia ikisambaratika?. Impact yake wanafanya Ukraine iendelee kumegwa na kuharibika.
Zile depleted Uranium walipeleka?
Kama nimesahau - karibu kuongeza!
One Telegram account said there had been two explosions and that smoke was visible over the city. A video posted online shows a large column of black smoke.Huko Luhansky nini kinaendelea au kimetokea leo?
Je storm shadow tayari maana kwa umbali ule himars missiles haifiki
Sisi kimya kimya watatoa video wenyeweOne Telegram account said there had been two explosions and that smoke was visible over the city. A video posted online shows a large column of black smoke.
Russian news agency TASS quoted a former official in Luhansk as saying that “for the first time the Ukrainian armed forces have used missiles with a range of 150 kilometers (about 93 miles),” after at least two explosions in the city late Friday.
The United Kingdom announced this week that Storm Shadow cruise missiles had been transferred to Ukraine. They are typically air-launched.
Ukraine has made no comment about any attack against Russian forces in Luhansk.
Depleted Uranium shelles zilipelekwa Ukraine akaongea weee ila hajafanya kituJe, tunaye mmoja hapa anayeamini matishio hayo yatatekelezwa??
Russia Threatens to Destroy U.K. for Giving Ukraine Storm Shadow Missiles
The Kremlin's envoy to the annexed territory of Crimea said the U.K. risks being destroyed for its decision to supply Ukraine with long-range Storm Shadow missiles to assist in its fight against Russia.
Georgiy Muradov, permanent representative of Crimea under the Russian president, told Russia's state-run news agency RIA Novosti in an interview published on Friday that the U.K. may be turned "into a devastated territory" following the delivery of the weapons to Ukraine.
On Thursday, Britain became the first country to supply Ukraine with long-range cruise missiles.
Russia threatens to destroy U.K. for giving Ukraine Storm Shadow missiles
The U.K. "risks turning into a devastated territory," Georgiy Muradov, the Kremlin's envoy to the annexed territory of Crimea, said.www.newsweek.com
Si waingie rasmi mzigoni kumuondoa Russia kwenye ardhi ya Ukraine!Depleted Uranium shelles zilipelekwa Ukraine akaongea weee ila hajafanya kitu
Washamuona ni fala tu walimkuza tofauti na uhalisia.
Mara oooh tuna S400
Hawajaona huo umuhimu maana Ukraine ana mmuduSi waingie rasmi mzigoni kumuondoa Russia kwenye ardhi ya Ukraine!
Hawajaona umuhimu wakati Europe imejaa wakimbizi wa Ukraine,Nchi inaharibiwa vibaya sana na Bado vifo kibao mpaka wanafukiwa Kwa mamia kwenye kaburi Moja halafu unasema hawajaona umuhimu?Hawajaona huo umuhimu maana Ukraine ana mmudu
Kwamba hao wakimbizi wamekuomba kitu?Hawajaona umuhimu wakati Europe imejaa wakimbizi wa Ukraine,Nchi inaharibiwa vibaya sana na Bado vifo kibao mpaka wanafukiwa Kwa mamia kwenye kaburi Moja halafu unasema hawajaona umuhimu?
West wenyewe wanasema wanaogopa escalation,wewe pro NATO wa Buza unasema hawajaona umuhimu!
Hebu soma nilichoandika na wewe ulichojibu halafu jipige kifuani useme "Mimi ni mjinga"Kwamba hao wakimbizi wamekuomba kitu?
Aibu naona Mimi[emoji1787]Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema imeamua rudi nyuma Bakhmut ili kuweka nguvu sehemu nyingine