Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
Duh mapema tu!Ule mtego wa Jana jamaa wamesha maliza kazi Waliposikia Urusi wamerudi nyuma wakaingia kichwa kichwa. Sasa wanachomeka.
Duh mapema tu!Ule mtego wa Jana jamaa wamesha maliza kazi Waliposikia Urusi wamerudi nyuma wakaingia kichwa kichwa. Sasa wanachomeka.
Kuna Upinde mmoja anasema hii Vita NATO na marekani hawahusiki wanatumia kila Aina ya silaha na galama kubwa kuliko hata Russia mwenyewe.[emoji41][emoji41]
idiots...thiz westernView attachment 2619866
Huyo jamaa Mahesabu hapo juu amekop andiko toka twita japo mchaw lugha lkn dizain km upande wa Zele wamesogea mbele na warus wamerudishwa nyuma lkn ww umeweka kinyume chakeUnits of PMC "Wagner" advanced up to 400 meters. Exactly 2 square kilometers of Bakhmut remained under the control of the enemy. The promotion area was 132 thousand square meters.
Rafiki mwema[emoji41][emoji41]
idiots...thiz westernView attachment 2619866
Wanajisahaulisha kuwa anaemlipa mpiga zumar ndie anaechagua wimboKuna Upinde mmoja anasema hii Vita NATO na marekani hawahusiki wanatumia kila Aina ya silaha na galama kubwa kuliko hata Russia mwenyewe.
Polen sannaKuna sehemu tumepigwa leo Western Ukraine
Kamikaze zimetenda wema
Hakuna cha urafiki mwema zaidi ya maslahi. Anachopigania marekani ni kumdhoofisha Mrusi kijeshi na kiuchumi jambo ambalo atarisubili sanaaRafiki mwema
Lakini Ukraine yenyewe ilidai imesonga mbele kwa kilomita 2.Wagner wanasema wameanza UA wanajeshi wa Russia wanaokimbia lindo
Ukraine imekamata 17.5sqkm
Ninayo hii taharifa mkuu,au Kuna nyingine??Kuna sehemu tumepigwa leo Western Ukraine
Kamikaze zimetenda wema
Mwenzako anakiri ametunguliwa we unasema zote zimekuwa interceptedNinayo hii taharifa mkuu,au Kuna nyingine??
[emoji298][emoji298]The enemy attempted to attack the Ukrainian capital with kamikaze drones overnight, but Ukraine's air defense units successfully destroyed all enemy drones that were moving toward Kyiv, according to Serhii Popko, head of the Kyiv city military administration.[emoji298][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndio maana nikauliza kama Kuna taharifa nyingine tofauti na hiiMwenzako anakiri ametunguliwa we unasema zote zimekuwa intercepted
Mkuu kwa nini wavamie Urusi? NATO haitaki kuvamia Urusi. Kazi yake si kushambulia nchi, ni maungano ya kuteteana. NATO haikuwahi kushambulia nchi.Kama Russia ni mzembe kama unavyotueleza humu why hao NATO wanaongelea nje tu..., why wasimfanye Russia kama Iraq, Libya, Yugoslavia...etc... ili iwe fundisho kwa akina China, NKorea, Iran....why!why!why!....!!!! HIMARS tumechoka midomo mitupu...kila siku vikao Brussels...mara Top commanders mara Ministers ...mara sijui Heads of State...wanaongea nn kila siku...mbona kwa Libya&Yugoslavia hatukuona vikao vya namna hii...ilikuwa fasta tu Rafale, f22 sijui Tornado zikawa hewani zinamwaga njungu...pls kama una mawasiliano na hawa NATO waambie tumechoka maneno tunataka vitendo...huyu Russia apukutiswe once and for all.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
HAWAWEZI KUELEWA!!Mkuu kwa nini wavamie Urusi? NATO haitaki kuvamia Urusi. Kazi yake si kushambulia nchi, ni maungano ya kuteteana. NATO haikuwahi kushambulia nchi.
Ni mkia tuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635]Kwenye habari zao utasikia:
Russia ndiye amepoteza wanajeshi wengi.
Russia ndiye amepoteza vifaa vita vingi.
Russia hana huwezo wa kuzaliza tena silaha kutokana na sanctions
Russia wanajeshi wake wamegoma kupigana.
Na mengine mengi....
Pamoja hayo yoooteee....
Ukraine ndiye kila siku anaomba omba silaha.
Kwenye news channels ndio tunaona wanajeshi wa Ukraine wakiuliwa kwa wingi
Ukraine kila siku inakuwa encircled
Russia kila siku wanasonga mbele.
Maeneo mengi yanazidi kuchukuliwa.
Inasikitisha sana mtu unaposhindwa kutumia akili yako japo kidogo tu ili kuangalia ukweli wa mambo.
Kwa namna hii, sasa tofauti yako wewe na ng'ombe ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Urussi ina silaha hadi zingine zinaitwa ccm[emoji1787][emoji1787]