Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Linatoka Kiev!!!Haw
Hivi mpaka sasa go ahead ya namna ukraine apigane agizo linatoke wapi?
Linatoka Kiev!!!Haw
Hivi mpaka sasa go ahead ya namna ukraine apigane agizo linatoke wapi?
HahahahahahaLinatoka Kiev!!!
Nani kazuiwa kutumia makombora ya masafa marefu. Maana hayo hayajapelekwa Ukraine.Hahahahahaha
ndio walio panga marufuku hawa kutumia makombora ya masafa marefu sio.?
Nani kazuiwa kutumia makombora ya masafa marefu. Maana hayo hayajapelekwa Ukraine.
Kutoka wapi wakat nato hawahusiki ebu nitajie kutokea nchi zipi hazijapelekwa hukoNani kazuiwa kutumia makombora ya masafa marefu. Maana hayo hayajapelekwa Ukraine.
Kama unataka kuleta mabishano. Kuna masafa ya kati na masafa marefu. Yote watu wanapenda kuyaita makombora ya masafa Marefu.Kutoka wapi wakat nato hawahusiki ebu nitajie kutokea nchi zipi hazijapelekwa huko
Ungemuacha aendelee kaza fuvu wakati Ukraine anakaribia teka poteSwali zuri sana.
Vita si kama kitu kilichosimama, hali ya sasa inaweza kubadilika ndani ya muda mchache sana. Mara ya mwisho taarifa zikaja ni Kilomita 2.5 tena siyo kilomita mraba.
Kwenye Vita Kilomita moja si sawa na kilomita moja ya mshenga kwenda ukweni kuposa. Ili upate kilomita moja ni lazima uue watu na ili upande wa pili wakuachie hiyo kilomita moja, ni lazima mambo mawili yatokee. Kwanza uwaue ama wakimbie.
Sasa kufikia kilomita 17.5 ndani ya siku 3 inawezekana kama mojawapo ya hayo mambo mawili yatatokea. Ama uwaue adui zako ama adui zako wakimbie.
Sasa kwenye vita kuna Propaganda nyingi sana na ndiyo maana vyombo mahiri vya habari duniani vinaporipoti habari za vita huwa wanasema "Habari hii haijathibitishwa na watu wasio na upande wowote kwenye hii vita"
Wap iran kampa russia silaha urusi ananua silah anazo zitakaKama unataka kuleta mabishano. Kuna masafa ya kati na masafa marefu. Yote watu wanapenda kuyaita makombora ya masafa Marefu.
Hoja ni kwamba NATO haipigani kwenye hii vita. Hii vita wanapigana Ukraine na Russia. Mbona hamsemi kuwa Irani anayempa Russia silaha naye anapigana vita dhidi ya Ukraine?
Kalaga Baho na Ubozi wako!!Wap iran kampa russia silaha urusi ananua silah anazo zitaka
Lakn ukraine anapewa na nato sasa unataka kuukataa ukweli
au huoni hapa hoja ina majibu kabisa
wanaopigana ni watu waliokuwa armed...hao Wagner ni watu ambao wamepitia mafunzo ya jeshi ktk nchi mbali mbali duniani na wako pale kwa kandarasi na serikali ya Russia...na wengi wao ni special forces wastaafu...!!!..hawana tofauti yoyote na wanajeshi walioiva wa Russia, US, Germarny, Ukraine et all.Acheni maskhara nyie. Yaani kile kikundi cha mamluki ndiyo kipigane na NATO??
Hao Wagner wanatofauti gani na Blackwaters worldwide waliokuwa wanapigana kwa niaba ya Marekani kule Iraq?
Wale wenye IDs nyingi nyingi sasa wameanza kujitokeza. Vipi huko kwenye siasa ID hii imechoka?Zile nchi haziendeshwi kienyeji kama Russia.
Unadhani unaweza kupeleka wanajeshi wa NATO vitani kinyemela bila ya wananchi wa nchi zao kujua!!??
Sijui unachojaribu kunielewesha ni nini??wanaopigana ni watu waliokuwa armed...hao Wagner ni watu ambao wamepitia mafunzo ya jeshi ktk nchi mbali mbali duniani na wako pale kwa kandarasi na serikali ya Russia...na wengi wao ni special forces wastaafu...!!!..hawana tofauti yoyote na wanajeshi walioiva wa Russia, US, Germarny, Ukraine et all.
...so unaposikia Wagner au Blackwater PMC usifikirie ni wanakijiji waliokuwa na silaha...Noooo!!!.kwanza muanzilishi wa Wagner alikuwa ni Commando...Spetsnaz!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Sijawahi kuwa na ID zaidi ya hii.Wale wenye IDs nyingi nyingi sasa wameanza kujitokeza. Vipi huko kwenye siasa ID hii imechoka?
Je wewe upo upande gani kati ya Sukuma Gang na Born Town Gang?Sijawahi kuwa na ID zaidi ya hii.
Kama hujui hili nalo ni suala la kisiasa. Au hujui kwamba Putin na Zelensky ni wanasiasa na wao wakisema vita iishe inaisha??
@umshana jana nilikuambia kuwa hzo long range missiles za UK (Storm Shadow za range ya 250km) tayari ziko Ukrein ile kutangaza kwamba wataipa Ukrein ilikuwa ni zuga ...mzigo tayari uko ndani ya ukrein...nakumbuka ulikaza fuvu hapa...sasa hili shambulizi la jana Luhansk..hope limekupa kitu...Moscow said Saturday that Kyiv used British long-range missiles to target civilian sites in the eastern city of Lugansk, wounding six children.
The defence ministry said that on Friday evening Ukraine's armed forces had struck two civilian enterprises.
"Storm Shadow air-to-air missiles supplied to the Kyiv regime by Great Britain were used for the strike, despite London's declarations that these weapons would not be used against civilian targets", the ministry said in a statement.
"Nearby residential buildings were damaged. Civilians were injured, including six children," the statement added.
Chanzo:
France24.
Mimi sina Gang. Huwa siwi mateka wa mtu hata siku moja.Je wewe upo upande gani kati ya Sukuma Gang na Born Town Gang?
NImeziona comments zako za moto sana kuanzia jana. Hebu nieleze ni ugonvi upi hasa uliokuwa ukiumiza vichwa vya watu Kati bwana Musiba na CDE Membe?Mimi sina Gang. Huwa siwi mateka wa mtu hata siku moja.
Gangs huanzishwa na chawa wa wanasiasa na mimi siyo chawa wa yeyote yule.